Nuh Mziwanda wakiwa na Shilole Asubuhi ya leo Mjini Dodoma Ambapo walionekana wakiwa pamoja Muda wote bila kuachana kutokana na kila mmoj...
16:31
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRfL8g_koyM2wVWTjfAfLwHScmV54j7OU4KdGRJ8DoQW-LE8AR8aQAvmEcCm6kWFdy3DbfdAST0EEw9kzxhVnPAH-JdTPNKOq3aQTeoPIH8YzepiPkntMEQ7sQ5J5WsQvsuAxSZbVLHPI/s1600/IMG_3269.JPG) |
Nuh Mziwanda wakiwa na Shilole Asubuhi ya leo Mjini Dodoma Ambapo walionekana wakiwa pamoja Muda wote bila kuachana kutokana na kila mmoja kumwonea
wivu mwenzake bila kuachiana pumzi hata kwa dakika Moja, |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuzxkf990iXhK17wTatPzsknY1LqLqj4NF0nX9Jbrg9qxaQDnCgi9lnlxe7JQaHoAgIxS0SidqpSyFV-lNBbrxVb6_sPJtI-NKGFB-ullRM8CwTtVZkuVhpkhSNvuY3d73jynqtlR2_T4/s1600/IMG_3270.JPG) |
Inasemekana Nuh akiwa anasalimiana na washkaji zake wa Dom Shilole naye anakuwa pembeni
amekaba kinoma. Unaambiwa Shilole anawaogopa sana wanafunzi wa kike wa vyuo vya Dodoma kumpora bwana kwa kile kinachodaiwa nuh anafagiliwa sana na wanafunzi wa St John |
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: