December 26, 2016

Watanzania tuchape kazi kwelikweli kwa sababu hakuna cha bure – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii kama ilivyokuwa kwa Ye... thumbnail 1 summary


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo ambaye alikuwa chini ya malezi ya fundi seremala.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndege ya kijeshi yenye watu 90 yapotea kwenye radar

Ndege ya kijeshi ya Urusi imepotea kwenye radar dakika chache tu baada ya kupaa angani kutoka kwenye mji wa Sochi. Wizara ya ... thumbnail 1 summary


Ndege ya kijeshi ya Urusi imepotea kwenye radar dakika chache tu baada ya kupaa angani kutoka kwenye mji wa Sochi.


Wizara ya ulinzi imedai kuwa ndege hiyo, Tu-154 ilikuwa na watu 91 wakiwemo wanajeshi, bendi ya jeshi na waandishi wa habari.

Ndege hiyo ilitoweka kwenye radar dakika 20 baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Adler. Taarifa ambazo hazijathibitishwa, zimedai kuwa ndege hiyo ilikuwa inaenda kwenye jimbo la Syria, Latakia.

Msemaji wa wizara ya ulinzi, Igor Konashenkov amedai kuwa ndege hiyo ilikuwa inaenda kushiriki kwenye mkesha wa mwaka mpya na wanajeshi wa Urusi walioko Syria.

Majeshi ya Urusi, nchi yenye ukaribu na rais wa Syria, Bashar al-Assad yamekuwa yakifanya mashambulio dhidi ya makundi ya kigaidi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Wanamitindo waonesha mavazi katika Sanaa Fashion Show

Jumamosi, lilifanyika onesho la mitindo la Sanaa Fashion Show kwenye viwanja vya kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama jijini Dar es Sal... thumbnail 1 summary


Jumamosi, lilifanyika onesho la mitindo la Sanaa Fashion Show kwenye viwanja vya kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.


Onesho hilo lililoandaliwa na mdau wa mitindo nchini, Shaksy liliambatana pamoja na utoaji tuzo kwa watu waliotoa mchango wao mkubwa kwa mwaka huu kwenye tasnia ya mitindo nchini na lilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo madisgner kibao akiwemo Asia Idarous, Martin Kadinda, Kulwa Mkwandule, Walter Dimaria, Agness, Alex na wengine wengi.

Tazama picha zaidi hapa chini.








SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamuziki mkongwe wa UK, George Michael afariki dunia

Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53. thumbnail 1 summary


Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: