November 06, 2014

MESSI AFIKIA REKODI YA MAGOLI YA KUFUNGA KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Mshambuliaji kutoka nchini Argentina na klabu ya Barcelona Lionel Andrés "Leo" Messi Cuccittini amekuwa wa kwanza kuifikia re... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji kutoka nchini Argentina na klabu ya Barcelona Lionel Andrés "Leo" Messi Cuccittini amekuwa wa kwanza kuifikia rekodi ya ufungaji mabao mengi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, iliyokuwa inashikiliwa na aliyekua mshambuliaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldo ajiongezea urefu…

Mchezaji bora wa dunia kwa sasa Cristiano Ronaldo ametoa kali baada ya kuonekana akisimamia vidole vya mbele ili aonekane mrefu kuwazid... thumbnail 1 summary
ronie
Mchezaji bora wa dunia kwa sasa Cristiano Ronaldo ametoa kali baada ya kuonekana akisimamia vidole vya mbele ili aonekane mrefu kuwazidi wenzie wakati wa kupiga picha .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Inabidi ujue kabisa kwamba ukiingia Mlimani City na gari lako utakutana na hii

Mlimani City  ni Shopping Mall ambayo ni maarufu kuliko zote za Tanzania kwa sasa, ni sehemu ambayo ina mkusanyiko mkubwa wa maduka na mi... thumbnail 1 summary
M City 4Mlimani City ni Shopping Mall ambayo ni maarufu kuliko zote za Tanzania kwa sasa, ni sehemu ambayo ina mkusanyiko mkubwa wa maduka na migahawa mbalimbali ambayo kwa miaka ya karibuni imesaidia kuleta mapinduzi ya sehemu za kufanyia shopping Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIJALIWA KUWA MSICHANA MZURI NA MREMBO BASI USIDHANI KAMWE UTATETEMESHA KILA MWANAUME

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako thumbnail 1 summary

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE RAIS WA KWANZA ALIYEVUNJA HISTORIA BAADA YA KUPANDA DALA DAL

Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambay ni... thumbnail 1 summary

kenyatta4

Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambay ni mara chache sana kumuona rais akifanya. Mfano ni kama lile tukio la kutoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MATUMIZI YA BANGI YANAVYOHATHIRI AKILI.

Matumizi ya bangi huwa na madhara mengi yakiwemo ya papo hapo au ya muda mrefu. thumbnail 1 summary

Matumizi ya bangi huwa na madhara mengi yakiwemo ya papo hapo au ya muda mrefu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU NA DALILI ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.

Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyoitwa Human papilloma, ambapo mtu anaweza kupatwa na virusi hawa wakati wa kujamiana na mtu mw... thumbnail 1 summary
Ugonjwa huu husababishwa na
virusi vinavyoitwa Human papilloma,
ambapo mtu anaweza kupatwa na
virusi hawa wakati wa kujamiana na
mtu mwenye maambukizi. Human
Papillomavirus aina ya 16 na 18

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ETI KISA FREEMASON MZEE WA UPAKO AMIMINA RISASI MTAANI,ILIKUWA NI USIKU

NI kama kimenuka tu!   Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar,  Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ usiku wa kuamkia ... thumbnail 1 summary

NI kama kimenuka tu! Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar,  Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita  alizua la kuzua kufuatia kumimina risasi kadhaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA STAA WA BONGO MUVI KAJALA NA MWANAYE WAZUA GUMZO MLIMANI CITY

Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. SEXY  lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka ... thumbnail 1 summary

Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.
SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAKATA LA JIDE NA GARDNER KUFIKIA PABAYA,YADAIWA KUPANDISHANA KIZIMBANI

Prizenta aliyetua Radio E-FM hivi karibuni akitokea Radio Times FM, Gardner G Habash ‘Kapteini’ anadaiwa kumpandisha kortini mkewe, Judith ... thumbnail 1 summary

Prizenta aliyetua Radio E-FM hivi karibuni akitokea Radio Times FM, Gardner G Habash ‘Kapteini’ anadaiwa kumpandisha kortini mkewe, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kisa kikisemekana ni mgawanyo wa mali hivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: