July 31, 2014

Messi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye La Liga ikiwa jambo hili la kisiasa litatokea….

Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote. thumbnail 1 summary
1277281-27538268-2560-1440Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA UJUMBE WA DIAMOND KWENDA KWA MASHABIKI WAKE INAKUHUSU SANA HII

Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo thumbnail 1 summary

Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIONGOZI WA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)WATOA TAMKO LAO KUHUSU WITO ULIOTOLEWA NA VIONGOZI WA DINI KUWATAKA WAREJEE BUNGENI

Viongozi wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kuto... thumbnail 1 summary
Viongozi wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko la Ukawa kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni kutoka kulia ni profesa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE NEYMAR AANIKA SIKU YA KURUDI UWANJANI

NEYMAR ameweka wazi kuwa atarudi uwanjani agosti 18 mwaka huu kuitumikia Barcelona katika mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu ya kom... thumbnail 1 summary
Neymar reveals return date

NEYMAR ameweka wazi kuwa atarudi uwanjani agosti 18 mwaka huu kuitumikia Barcelona katika mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu ya kombe la Joan Gamper dhidi ya Leon.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

“Arsenal haikuwa na hadhi ya kumsajili Suarez.” – mtambue aliyesema kauli hii

Wakati wa dirisha la usajili msimu uliopita mchezaji Luis Suarez alitingisha vichwa vya habri vya vyombo vya habari zote kutokana na ku... thumbnail 1 summary
BPKfv3-CMAAcsY9.jpg-large
Wakati wa dirisha la usajili msimu uliopita mchezaji Luis Suarez alitingisha vichwa vya habri vya vyombo vya habari zote kutokana na kuwania na vilabu vingi vikitaka kumsajili kutoka Liverpool.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI ROSE MUHANDO..WAHUNI WAMFANYIA KITU MBAYA MPAKA ANAJUTA SASA

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Ju... thumbnail 1 summary


MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE AULIA NA MCHUMBA WAKE KWA KUCHOMWACHOMWA VISU WAKATI WA SIKUKUUU

SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuc... thumbnail 1 summary
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPICHA YA KUUZUNISHA:MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI

TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiw... thumbnail 1 summary
TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiwa kumshambulia na kumjeruhi hadi kuzimia mkewe, Nasra Dafa (30) wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJANGA! MISUKULE YA GWAJIMA YATINGA POLISI…NDUGU KUITWA ILI KUTHIBITISHA VIFO VYAO

Baada  ya  hivi  karibuni  kutoa  waraka  mzito  unaowalenga  watumishi  wa  mungu  kwa  kile  alichodai  kuwa  ni  ukiukwaji  wa  sheri... thumbnail 1 summary
msukule1
Baada  ya  hivi  karibuni  kutoa  waraka  mzito  unaowalenga  watumishi  wa  mungu  kwa  kile  alichodai  kuwa  ni  ukiukwaji  wa  sheria  za  mungu, Nabii Hosea  Chamungu  ametangaza  rasmi  kuiwasilisha  ripoti  ya  misukule  feki 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVERPOOL YAITANDIKA MAN CITY 3-1 MAREKANI...YAYA TOURE AKOSA PENALTI

LIVERPOOL imaifunga kwa penalti 3-1 Manchester City kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Kombe la Kimataifa kujianda... thumbnail 1 summary
LIVERPOOL imaifunga kwa penalti 3-1 Manchester City kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Kombe la Kimataifa kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Yankee, Marekani. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KISA CHETI CHA UKIMWI:NDOA YA RUTH KOMBA NA MZUNGU WAKE YAINGIA KWENYE MIZENGWE..SOMA ZAIDI

HUKU  akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta thumbnail 1 summary
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASA AKANA KUKIFADHILI CHAMA KIPYA CHA SIASA NCHINI CHA ACT-TANZANIA

Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa ... thumbnail 1 summary
LOWASA
Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA KILA MDAU AMETIMIZA WAJIBU WAKE KWA ASILIMIA 100, TAIFA STARS ITAITOA MSUMBUJI

Mbwana Ally Samatta (kushoto) ni miongoni mwa silaha za Taifa Stars nchini Msumbiji TAIFA Stars imeondoka jana kwa ndege ya Air Tanzania... thumbnail 1 summary

Mbwana Ally Samatta (kushoto) ni miongoni mwa silaha za Taifa Stars nchini MsumbijiTAIFA Stars imeondoka jana kwa ndege ya Air Tanzania kuelekea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA NDANI YA BIFU ZITO NA MAMA YAKE, MWENYEWE AFUNGUKA HIVI, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

STAA   wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala... thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MR NICE AFUNGUKA CHANZO CHA YEYE KUFIRISIKA, ATOA SOMO KWA DIAMOND

MKONGWE  wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kuto... thumbnail 1 summary


MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kutoka kwa wapambe na matumizi mabaya ya fedha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu ajali iliyotokea asubuhi ya leo Dodoma.

July 30 imesambaa Taarifa ya ajali ambayo imetokea mapema leo na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma ajali iliyosababisha vifo vya watu 17 kat... thumbnail 1 summary
Capture5July 30 imesambaa Taarifa ya ajali ambayo imetokea mapema leo na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma ajali iliyosababisha vifo vya watu 17 kati yao wanaume 12, wanawake 5 na majeruhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: