May 12, 2014

SI MCHEZOO...LULU AKATA MAUNO BAADA YA KAZI YA KUSAKA VIPAJI HUKO MTWARA....ANGALIA VIDEO HAPA

Elizabeth Michael ametupia video clip hii kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM.....nakuandika, thumbnail 1 summary
Elizabeth Michael ametupia video clip hii kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM.....nakuandika,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAZUNGU WAFANYA KUFURU! TIZAMA HIVI VYOO VINAVYOCHOCHEA VITENDO VYA NGONO!! NI AIBU

Una maoni Gani juu ya Choo hiki kilichotengenezwa huko ushonga na kuchochea usagaji!! thumbnail 1 summary

Una maoni Gani juu ya Choo hiki kilichotengenezwa huko ushonga na kuchochea usagaji!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AVUNJA NDOA YAKE KWA KUTAMANI MAISHA YA WEMA SEPETU..

Kuiga  ni  kawaida  kwa  wengi.Wapo  walioiga  mambo  fulani  na   hatimaye  wakafanikiwa, na  pia  wapo  walioiga  vitu  flani  waka... thumbnail 1 summary


Kuiga  ni  kawaida  kwa  wengi.Wapo  walioiga  mambo  fulani  na   hatimaye  wakafanikiwa, na  pia  wapo  walioiga  vitu  flani  wakaharibikiwa.Huyu  aliiga  na  akaharibu  kila  kitu...



Ni  msanii  wa  siku  nyingi  katika  fani.Alitamba  zaidi  akiwa  Kaole, na  hata  mwanzoni  mwa  ujio  wa  filamu  za  Kanumba  alizidi  tu  kashaini....



Kiasili  ni  mweusi  japo  siku  hizi  kuna  weupe  fulani  katika  ngozi  yake  nyororo.Ana  sura  nzuri  yenye  mvuto,umbo  aslia  la  kibantu,meno  yake  meupe  yamepambwa  na  mwanya  mdogo  na  kufanya  iwe  fahari  kumuona  akitabasamu...



Hana  kashfa  ya  kuvaa  nguo  fupi  sana  ila  aliwahi  kukumbwa  na  skendo  kubwa  zaidi.Mkumbuke  vizuri.Mrefu  wa  wastani,anajua  kutembea,anaongea  kwa  mapozi  huku  akipenda  kulamba  papi  ya  midomo  yake. Umemjua???....Hapana, siyo  huyo...!!



Huyu  ni  mpole  kiasili  na  anapendwa  sana  na  mama  yake.Katika  maigizo  ana  uwezo  wa  kukufanya  uamini  unachoangalia  ni  kitu  halisi.Japo  huwezi  kumtaja, ila  ndani  ya  wasanii  kumi  anapaswa  kuwamo...



Na  ingawa  mvuto  wake  umepungua  kiasi,ila  bado  mrembo  sana.Lakini  wakati  anaigiza  Kaole  alikuwa  mrembo  zaidi.Kwa  uzuri  wake ,  alivuma  na  kila  habari  inayohusu  mwanaume  maarufu  na  mwenye  pesa


Habari  ya  kutakiwa  na  kila  mwanaume , wenye  rangi  na    vipato  tofauti  zilisikika  kila  kona.Baadhi  alitoka  nao  na  wengine  haikuwa  bahati  yao....



Toka  kitambo  almanusura  aolewe, ila  ni  miaka  ya  juzi juzi  ndipo  aliolewa.Uzuri  wake  si  wa  kutafuta, kila  mwenye  macho  na  ngozi  ya  kuhisi  atautambua....



Mbali  na  majanga  yote  aliyopitia  katika  maisha  yake,mengine  yakibaki  kumchafua  na  watu  kudhani  hawezi  kuolewa  na  mwanaume  yeyote  kabla  ya  ile  bahati  ya  mtende  akaolewa; yeye  aliamua  kuachana  na  ndoa  yake  kwa  kuona  aishi  katika  umaarufu  wake....

Mara  kadhaa  alikuwa  akiwaambia marafiki  zake  kuwa, mwenye  hadhi  na  anayetakiwa  kuishi  kama  Wema  Sepetu  sio  Wema  bali  ni  yeye  na  wakongwe wengine  waliosotea  sanaa  na  kuipigania  kama  roho  zao  na  kuilinda  kama  mboni  ya  jicho  lao.....



Akaona  ndoa  sio  mahala  pake,bila  sababu  za  msngi  akaamua  kumwambia  mumewe  watengane....Japo  haikuwa  rahisi ,lakini  walitengana!!



Cha  kufurahisha  ni  kwamba  bado  Wema  anaishi  kama  Wema  na  bado  yeye  haishi  kama  Wema  Sepetu  na  ndoa  haipo  tena...Umemjua  ninayemzungumzia?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA KUMBURUZA MPOKI KORTINI..SOMA MWENYEWE HAPA..

KIMENUKA!  Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery ‘Mpoki’ yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai... thumbnail 1 summary
KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery ‘Mpoki’ yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA 20 ZA VIFAA VYA KIJESHI WALIVYOONESHA RUSSIA KWENYE SIKU YA MASHUJAAA

Russia has been showing off its military muscle in the annual Red Square parade marking victory over Nazi Germany while the world'... thumbnail 1 summary
Russia has been showing off its military muscle in the annual Red Square parade marking victory over Nazi Germany while the world's attention is

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Boko Haram: Waonyesha wasichana waliotekwa.

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara thumbnail 1 summary

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII NATASHA NAYE AUGUA DENGUE NA KULAZWA...."NILIHISI NAAGA DUNIA KIUKWELI LAKINI NILIWAHI KWENDA HOSPITALI, NIMEPATA TIBA, NIMERUHUSIWA

STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengue  (Dengue Fever). thumbnail 1 summary

STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengue  (Dengue Fever).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JADA PINKETT AMTETEA MWANAE 'WILLOW' KUFUATIA PICHA TATA ALIYOPIGA AKIWA KITANDANI NA MWANAUME, ICHEKI HAPA

Familia ya bwana na bibi Will Smith iliyojaa vipaji ilikubwa na kashfa hivi karibuni baada ya kusambaa kwenye Instagram na Tumblr ... thumbnail 1 summary


Familia ya bwana na bibi Will Smith iliyojaa vipaji ilikubwa na kashfa hivi karibuni baada ya kusambaa kwenye Instagram na Tumblr picha ya Willow Smith akiwa kitandani na muigizaji wa kiume, Moises Arias.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKWELI KUHUSU UHUSIANO WA KIMAPENZI KATI YA WASTARA NA BOND

ANATOKA KIMAPENZI NA WASTARA? Nakukubali sana kaka Bond lakini napenda kukuuliza kwamba kuna madai kuwa unatoka kimapenzi na Wastara Juma... thumbnail 1 summary
ANATOKA KIMAPENZI NA WASTARA?
Nakukubali sana kaka Bond lakini napenda kukuuliza kwamba kuna madai kuwa unatoka kimapenzi na Wastara Juma (mwigizaji). Je, ni kweli? Husna,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tazama picha za Wasanii 6 wa kike walivyokua mwanzo kabla ya kuanza mambo yetu yale…..Ya mkorogo

Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana m... thumbnail 1 summary
DJ-Penny-Kajichubua
Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MUONEKANO YUPI HAPA NI MBUNGE MREMBO KULIKO WOTE KATI YA HAWA???

Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mw... thumbnail 1 summary

Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA ASHAURIWA AACHE UMAARUFU WA KUBEBWA NA SCANDAL.

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity,  Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameibuka na  thumbnail 1 summary
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, 
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameibuka na 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA JUU YA MADAI YA WENGI KUA KAVAA VIATU VYA KIKE. SOMA HAPA

Picha ya cover la Vibe Magazine, lililotoka siku ya jana, imeonekana kutengeneza gumzo miongoni mwa raia kibao, hasa kutokana na surua... thumbnail 1 summary
Picha ya cover la Vibe Magazine, lililotoka siku ya jana, imeonekana kutengeneza gumzo miongoni mwa raia kibao, hasa kutokana na suruali na viatu alivyokuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO COMEDY YA MAPENZI ILIYOFUNGIWA HUKO KENYA

“House of Lungula” ni comedy ya kwanza ya mapenzi inaonyesha maisha halisi ya kimapenzi ya jamii za watu wa Africa hasa wa Kenya, movie ... thumbnail 1 summary

1

“House of Lungula” ni comedy ya kwanza ya mapenzi inaonyesha maisha halisi ya kimapenzi ya jamii za watu wa Africa hasa wa Kenya, movie hii ni ya comedy

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPICHA NA STORI KAMILI:ANGALIA MADAWA YA KULEVYA YALIVYOMUHARIBU VIDEO QUEEN WA NGOMA YA ICE CREAM YA NOORAH

Hakuna asiye kumbuka how big video ya Noorah aka Baba styles ilivyosumbua TV za watu na ngoma yake ya Ice cream akimshirikisha Sumalee. thumbnail 1 summary

Hakuna asiye kumbuka how big video ya Noorah aka Baba styles ilivyosumbua TV za watu na ngoma yake ya Ice cream akimshirikisha Sumalee.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NATASHA GONJWANI NA HOMA YA DENGUE

STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengu (Dengue Fever). thumbnail 1 summary
STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengu (Dengue Fever).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWENYE KIBAO KATA:WOLPER AANGUKA UKUMBINI

Mbovumbovu za staa! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shugh... thumbnail 1 summary

Mbovumbovu za staa! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO JEURI YA DIAMOND AKIWA KAZINI, JUA MTONYO ANAOBEBA NA SPEND YAKE AKIWA TOUR ZA NJE.

Waandaaji wa show nyingi wametokea kumlinganisha sana umaarufu wa Diamond na Davido bila kupata jibu kamili, na kama unadhani ni wasan... thumbnail 1 summary

927682_738685642830175_1039120426_n
Waandaaji wa show nyingi wametokea kumlinganisha sana umaarufu wa Diamond na Davido bila kupata jibu kamili, na kama unadhani ni wasanii wa nje

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA TENA: ACHAFUA HALI YA HEWA INSTAGRAM

Ni baada ya kupost picha akiwa na rafiki zake aunt Ezekiel na Rommy Jons club huku Rommy Jons akiwa amevaa vazi la kanzu ambalo wengi thumbnail 1 summary

Ni baada ya kupost picha akiwa na rafiki zake aunt Ezekiel na Rommy Jons club huku Rommy Jons akiwa amevaa vazi la kanzu ambalo wengi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:ROSE NDAUKA KUTOLEWA MAHALI LEO HII NA BABA MTOTO WAKE "MALICK BANDAWE"

  Hii ni exclusive! Star mkubwa wa filamu nchini anayetamba na filamu kibao sokoni Rose Ndauka anatolewa mahari leo hii baada ya kuwa k... thumbnail 1 summary

 
Hii ni exclusive! Star mkubwa wa filamu nchini anayetamba na filamu kibao sokoni Rose Ndauka anatolewa mahari leo hii baada ya kuwa katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA WAKIONYESHA LOVE KWA MAMA ZAO:HIVI NDIVYO MASUPER STAR WA BONGO WALIVYOSHEREKEA MAMA'S DAY

Leo ni siku ya akina mama duniani, mastar mbali mbali wa bongo wamesherekea siku hii kwa kuonyesha upendo kwa mama zao kwa kupost picha ... thumbnail 1 summary
Leo ni siku ya akina mama duniani, mastar mbali mbali wa bongo wamesherekea siku hii kwa kuonyesha upendo kwa mama zao kwa kupost picha za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: