May 13, 2016

Tigo Yapinga Kuwalipa AY, MwanaFA Shilingi Bilioni Mbili

Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na H... thumbnail 1 summary
Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao, nyimbo za wasanii hao nyota nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maamuzi mapya ya Chelsea juu ya nahodha wake John Terry

Klabu ya soka ya Chelsea leo May 13 2016 imeamua kutangaza maamuzi ambayo yalikuwa hayatarajiwi na wengi, kuhusu nahodha wake na beki wak... thumbnail 1 summary
Klabu ya soka ya Chelsea leo May 13 2016 imeamua kutangaza maamuzi ambayo yalikuwa hayatarajiwi na wengi, kuhusu nahodha wake na beki wake wa kati John Terryambaye ameichezea klabu hiyo kwa zaidi ya miaka 15,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama unawaza kwenda Dubai hivi ni vitu 11 ambavyo hutakiwi kuvifanya ukiwa Dubai

Dubai ni moja ya miji ambayo kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, sasa mtu wangu nimekutana na hi... thumbnail 1 summary
Dubai ni moja ya miji ambayo kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, sasa mtu wangu nimekutana na hivi vitu kumi na moja ambavyo hutakiwi kuvifanya ukiwa Dubai.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pregnant Blac Chyna goes shopping with Rob in tiny shorts

After celebrating her birthday at a strip club, Rob and Blac Chyna went for some retail therapy .Pregnant Chyna rocked very tiny shorts, ... thumbnail 1 summary
After celebrating her birthday at a strip club, Rob and Blac Chyna went for some retail therapy .Pregnant Chyna rocked very tiny shorts, showing off her huge thigh tattoo..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Who has Bigger But* than Other? Wema Sepetu Or Zarinah Hassan?

On Instagram there is the Debate concerning these Celebrities, and all has happened after these stars having photos hanging out while wea... thumbnail 1 summary
On Instagram there is the Debate concerning these Celebrities, and all has happened after these stars having photos hanging out while wearing red gowns, Zari with red gown was with her Baby Daddy, Diamond Platnumz while Wema Sepetu with her

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tyga Breaks His Silence on Kylie Jenner Breakup

Just hours after news of Kylie Jenner and Tyga's split was revealed,E! News caught up with Kylie's ex to see how he's been do... thumbnail 1 summary
Just hours after news of Kylie Jenner and Tyga's split was revealed,E! News caught up with Kylie's ex to see how he's been doing since the breakup and he admitted, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

D.I.A.M.O.N.D Herufi za Jina Zina Siri Nzito

Inawezekana kabisa unatamani uwe kama Diamond Platnumz, kukusanya mkwanja kila siku, kwenda unapopataka na hata kula unachokitaka. Sawa! ... thumbnail 1 summary
Inawezekana kabisa unatamani uwe kama Diamond Platnumz, kukusanya mkwanja kila siku, kwenda unapopataka na hata kula unachokitaka. Sawa! Inawezekana, juhudi zako ndiyo kitu cha msingi sana, si kuwa kama yeye bali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Corazon Kwamboka Forced To Hire Security Personnels Days After She Was Attacked At A Club

Business lady cum socialite Corazon Kwamboka is very upset about an incident that took place at Kiza Lounge on Galana Road, Kilimani wher... thumbnail 1 summary
Business lady cum socialite Corazon Kwamboka is very upset about an incident that took place at Kiza Lounge on Galana Road, Kilimani where some random lady snatched her wig as she(Corazon) tried to intervene

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YOUNG AFRICANS KUKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA NA WAZIRI

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba Madelu kesho Jumamosi Mei 14, 201 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi K... thumbnail 1 summary
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba Madelu kesho Jumamosi Mei 14, 201 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ndanda na Young Africans katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHOMBO ZA SAMAKI MARUFUKU MABASI YAENDAYO HARAKA.

Abiria wenye mizigo mikubwa na samaki wasiohifadhiwa vizuri, hawataruhusiwa kupanda mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam. Hatua ... thumbnail 1 summary
Abiria wenye mizigo mikubwa na samaki wasiohifadhiwa vizuri, hawataruhusiwa kupanda mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo imelenga kuwapunguzia bugudha na shombo watumiaji wengine wa vyombo hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKONDA AMKINGIA KIFUA RAIS MAGUFULI

Mwaka jana zilisikika kila mahali sauti za baadhi ya Watanzania kwamba “TANZANIA INAHITAJI RAIS DIKTETA” kulingana na kile walichodai walic... thumbnail 1 summary
Mwaka jana zilisikika kila mahali sauti za baadhi ya Watanzania kwamba “TANZANIA INAHITAJI RAIS DIKTETA” kulingana na kile walichodai walichoshwa na hali ya nchi.
Baada ya Rais Magufuli kuuvaa uhusika kwa ajili ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Big But* of Vera Sidika Causes a Standstill at a Chinese Airport

Vera Sidika’s bum is big, but in a country of big bu**ocks, it kind of disappears into the crowd of bigger bums like Risper Faith’s. But... thumbnail 1 summary


Vera Sidika’s bum is big, but in a country of big bu**ocks, it kind of disappears into the crowd of bigger bums like Risper Faith’s.
But not in China, in the land of non-mountainous bottoms,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kumbe Hii Ndio SIRI ya Baby Madaha Kutulia...

Msanii wa filamu, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kum... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hot Babe Lyyn Shows Off Her Beauty

See How Lovely This Young Video Queen is with Less Make Ups... She Made Her Way To Bongo Video Vixen After her Appearance in the "Kw... thumbnail 1 summary
See How Lovely This Young Video Queen is with Less Make Ups... She Made Her Way To Bongo Video Vixen After her Appearance in the "Kwetu" Video Of Raymond. And Yeah Rumours say She and Diamond Platnumz are Seeing Each

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mume wa Janet Jackson Afichua Mazito!

Aliyekuwa mume wa zamani wa Janet Jackson, James DeBarge ameibuka na kudai kuwa aliwahi kumpa mimba Janet lakini mwanadada huyo akambambi... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa mume wa zamani wa Janet Jackson, James DeBarge ameibuka na kudai kuwa aliwahi kumpa mimba Janet lakini mwanadada huyo akambambikia mtu mwingine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nikitaka Kuolewa Nitaolewa tu Muda Wowote -Wastara Afunguka!

Msanii wa bongo Movie Wastara Juma afunguka juu ya stori zinazozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na magazeti ya udaku kuwa hataki... thumbnail 1 summary
Msanii wa bongo Movie Wastara Juma afunguka juu ya stori zinazozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na magazeti ya udaku kuwa hataki tena Ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za LULU Michael na Muna Love Zawa Gumzo Mtandaoni!

Mrembo Lulu Michael na rafiki wa Wema Sepetu Munalove wameachia picha walizopiga pamoja kwenye mtandao wa instagram ambapo zimevuta fans ... thumbnail 1 summary
Mrembo Lulu Michael na rafiki wa Wema Sepetu Munalove wameachia picha walizopiga pamoja kwenye mtandao wa instagram ambapo zimevuta fans wengi wakiwasifia na wengine kuwasema!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DJ Maarufu Dar Adai: Nimezaa na Mama DIAMOND

Jerry Kato aliyedai kuzaa na mama Diamond. STORI: Issa Mnally na Mussa Mateja, Ijumaa Dar es Salaam: Kumekuwepo na usiri juu ya baba ... thumbnail 1 summary
Jerry Kato aliyedai kuzaa na mama Diamond.
STORI: Issa Mnally na Mussa Mateja, Ijumaa
Dar es Salaam: Kumekuwepo na usiri juu ya baba wa mdogo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz lakini huenda utata ukafika mwisho baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DRAKE AELEZA KWANINI AMEACHA KUWABUSU MASHABIKI WAKE.

Rapper Drake ametoa sababu kwanini ameiacha tabia yake ya kuwabusu mashabiki kwenye shows zake. Mkali huyo ambaye ni mzaliwa wa Canada,... thumbnail 1 summary
Rapper Drake ametoa sababu kwanini ameiacha tabia yake ya kuwabusu mashabiki kwenye shows zake.
Mkali huyo ambaye ni mzaliwa wa Canada, amedai mabadiliko ya vizazi mara kwa mara yamefanya kubadilisha mtazamo wake pia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU NDIO MGAHAWA AMBAO AKIINGIA KANYE WEST WAHUDUMU NA WATEJA WENGINE HAWARUHUSIWI KUMUANGALIA INABIDI UTIZAME PEMBENI.

Hii sasa kali kuwahi kusikika kuhusiana na familia ya Yeezus Kanye West, i mean ni ya kushangaza. Muhudumu maarufu wa Chakula mjini New... thumbnail 1 summary
Hii sasa kali kuwahi kusikika kuhusiana na familia ya Yeezus Kanye West, i mean ni ya kushangaza.
Muhudumu maarufu wa Chakula mjini New York aitwae Stacy Adler ’50’, ameelezea tukio alilowahi kufanyiwa na Kanye West ambalo hatakuja kulisahau.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bongo Flava Musican and Producer, Barnaba has Acquired his own Music Production Studio.

He ads the number to the list of fellow musicians with studoios of their own such as Diamond Platinumz, Navy Kenzo and Dully Sykes... See... thumbnail 1 summary
He ads the number to the list of fellow musicians with studoios of their own such as Diamond Platinumz, Navy Kenzo and Dully Sykes... See More PIcs

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND na ZARI Wanachepuka? Ukweli Wote Huu Hapa

Star wa Bongo fleva Diamond Platnum akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan ... thumbnail 1 summary
Star wa Bongo fleva Diamond Platnum akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SILVIO BERLUSCONI AJIPANGA KUIREJESHEA MAKALI AC MILAN

Rais wa klabu ya AC Milan ya nchini Italia, Silvio Berlusconi amekubali kufanya mazungumzo upya kuhusu ofa ya iliyowasilishwa na wawekeza... thumbnail 1 summary
Rais wa klabu ya AC Milan ya nchini Italia, Silvio Berlusconi amekubali kufanya mazungumzo upya kuhusu ofa ya iliyowasilishwa na wawekezaji kutoka nchini China, ambao wapo tayari kuwekeza klabuni hapo kwa kusaidiana na uongozi uliopo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tanzanian Rapper, Cyrill Kamikaze has denied having a relationship with Kidoa

Rapper Cyrill Kamikaze has denied having a relationship with the Video Queen of his video 'Shori' known as Kidoa. thumbnail 1 summary
Rapper Cyrill Kamikaze has denied having a relationship with the Video Queen of his video 'Shori' known as Kidoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kumbe Ni Kweli Madee Alikwichikwichi na Shilole na Nuh Mziwanda Akawafumania !

Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe Leo akihojiwa na D... thumbnail 1 summary
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe
Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Je Diamond Platnumz Anachepuka na Video Queen Wa Video Ya Kwetu ? Majibu Yapo Hapa

Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Iv... thumbnail 1 summary
Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video vixen wa Ketu ya Raymond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alivyoagwa Rais Magufuli nchini Uganda

May 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliwasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapis... thumbnail 1 summary
May 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliwasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na siku niliyofuata Rais Magufuli alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni kazi ambayo Jux angefanya kama asingekuwa msanii

Unadhani kama Jux asingekuwa msanii angefanya kazi gani? Msanii huyo wa muziki wa R&B,amesema kama asingekuwa msanii angeingia kwen... thumbnail 1 summary
Unadhani kama Jux asingekuwa msanii angefanya kazi gani?
Msanii huyo wa muziki wa R&B,amesema kama asingekuwa msanii angeingia kwenye fashion na kuwa kama mshauri tu. Akiongea na I advertising Magazine, Jux amesema,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Selena Gomez kwenye kashfa ya kuiba mchumba wa mtu

Selena Gomez amehusishwa kwenye mahusiano na Orlando Bloom baada ya kuonekana usiku wakiwa wote klabu baada ya show huko Las Vegas, nchini ... thumbnail 1 summary
Selena Gomez amehusishwa kwenye mahusiano na Orlando Bloom baada ya kuonekana usiku wakiwa wote klabu baada ya show huko Las Vegas, nchini Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA :RAIS MAGUFULI AKIWA MWANAFUNZI WA UDSM MWANZONI MWA MIAKA YA 1990

Pichani ni Rais John Pombe Magufuli akiwa mwanafunzi wa Masters ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam miaka ya mwanzo ya 1990. Dkt... thumbnail 1 summary
Pichani ni Rais John Pombe Magufuli akiwa mwanafunzi wa Masters ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam miaka ya mwanzo ya 1990. Dkt Magufuli alishinda kiti cha Urais wa Tanzania Oktoba 2015 na kwa sasa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Haujalipia king’amuzi chako? Usijali – Fainali za Europa na Champions League kuonyeshwa Bure YouTube

Kuangalia mechi live kupitia TV zetu ni jambo la gharama sana, na ndio maana shirikisho la soka la barani ulaya UEFA limechukua maamuzi amb... thumbnail 1 summary
Kuangalia mechi live kupitia TV zetu ni jambo la gharama sana, na ndio maana shirikisho la soka la barani ulaya UEFA limechukua maamuzi ambayo huenda yakakufurahisha wewe mpenzi wa soka kuelekea fainali za michuano ya Champions League na Europa League.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aje ya Alikiba kuchezwa kwa mara ya kwanza MTV Base Ijumaa hii

Video ya wimbo mpya wa Alikiba, Aje itaanza kuchezwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha runinga cha MTV Base, Ijumaa hii. thumbnail 1 summary
Video ya wimbo mpya wa Alikiba, Aje itaanza kuchezwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha runinga cha MTV Base, Ijumaa hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MeTL yakanusha kuficha sukari

Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imekanusha taarifa ambayo ilitolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa kampuni hiy... thumbnail 1 summary
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imekanusha taarifa ambayo ilitolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa kampuni hiyo imeficha sukari tani 2,990 katika Bandari Kavu (ICD) ya PMM iliyopo Vingunguti,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nyota ya Wizkid yazidi kung’aa Ulaya

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid amepata dili la kufanya show London kwenye tamasha Wireless Festival 2016 litakalofanyika mwezi Jul... thumbnail 1 summary
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid amepata dili la kufanya show London kwenye tamasha Wireless Festival 2016 litakalofanyika mwezi Julai mwaka huu. Tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka jijini London,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni Historia... KilivyoHappen Dodoma Kwenye Show ya DIAMOND na Mafikizolo wakisindikizwa na Waziri Nape

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya ... thumbnail 1 summary
May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma, show iliyopewa jina la ‘Colors of Afrika’ 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPAMBANO YA RONALDO NA MESSI HADI KWENYE MSHIKO

Ni Cristiano Ronaldo aliyezaliwa February 5, 1985 huko Santo António jijini Lisbon Ureno, Huyu ni fundi sana wa uwekezaji ukiachana na uw... thumbnail 1 summary
Ni Cristiano Ronaldo aliyezaliwa February 5, 1985 huko Santo António jijini Lisbon Ureno, Huyu ni fundi sana wa uwekezaji ukiachana na uwezo wake wa kuutendea haki mchezo wa soka. Kwasasa Ronaldo anafanya kazi na makampuni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz has shared amazing pic On Instagram...He soon to introduce his New Video?

On his instagram account he has shared a new pic of himself alongside with another girl and not Zari who is his baby mama, This showing t... thumbnail 1 summary
On his instagram account he has shared a new pic of himself alongside with another girl and not Zari who is his baby mama, This showing that at anytime he is expecting to release new Song altogether with Video of that Single. We are waiting for that bro!!!
Health Tip: Choosing a good mesothelioma lawyer

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole: Kuengea Kingereza ni Kipaji Wala Sio Mchezo

Msanii wa Bongo fleva Shilole a.k.a Shishi Baby amekiri kwamba kuzungumza lugha ya kingereza ni kipaji na wala si hivi hivi tu na amesema... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo fleva Shilole a.k.a Shishi Baby amekiri kwamba kuzungumza lugha ya kingereza ni kipaji na wala si hivi hivi tu na amesema yeye anajua kuongea vizuri kingereza ila anapenda kuongea kingereza kibovu ili kuchekesha watu tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah: Sitosahau Kilichonipata Nikisaka Mpenzi Kwenye Simu

Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi visahau katika maisha yake yote. Akizungumza na... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi visahau katika maisha yake yote.
Akizungumza na Enewz Linna alisema kwamba moja ya kitu hicho ni tukio ambalo walilifanya yeye na mwenzie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAKIKA 90 ZA ETHIOPIA VS GHANA KUSIMAMIWA NA WATANZANIA

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali... thumbnail 1 summary
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana 2017 utakaofanyika Uwanja wa Addis Ababa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAURICIO POCHETTINO AIGWAYA MAN UTD

Hatimae fununu za uongozi wa klabu ya Man Utd za kutaka kuvunja mkataba wa meneja wa klabu ya Tottenham, Mauricio Pochettino na kisha kum... thumbnail 1 summary
Hatimae fununu za uongozi wa klabu ya Man Utd za kutaka kuvunja mkataba wa meneja wa klabu ya Tottenham, Mauricio Pochettino na kisha kumtangaza kama mbadala wa Louis Van Gaal, zimeingia gizani, baada ya uongozi wa Spurs

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EVERTON WAMFUNGASHIA VIRAGO ROBERTO MARTINEZ

Uongozi wa klabu ya Everton, umeripotiwa kumfuta kazi Roberto Martinez kama meneja wa klabu hiyo. Taarifa zilizoelezwa na kituo cha tel... thumbnail 1 summary
Uongozi wa klabu ya Everton, umeripotiwa kumfuta kazi Roberto Martinez kama meneja wa klabu hiyo.
Taarifa zilizoelezwa na kituo cha televisheni cha Sky Sports, zimeeleza kwamba uongozi wa The Toffees, umefikia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Instagram Yazindua Na Kuanza Kutumia Nembo Mpya

Instagram imezindua nembo mpya katika hatua ya kutaka kujiboresha na kutoonekana kuwa programu ya picha pekee. Nembo hiyo imetengezwa... thumbnail 1 summary
Instagram imezindua nembo mpya katika hatua ya kutaka kujiboresha na kutoonekana kuwa programu ya picha pekee.

Nembo hiyo imetengezwa kuimarisha ujumbe unaotumwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WAJUA !?:KUTOVAA CHUPI KUNA FAIDA NYINGI IKIWEMO HII AMBAYO NI MUHIMU

Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa ... thumbnail 1 summary
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: