January 08, 2015

Usajili wa kwanza Man United huu hapa.

Manchester United  inatarajia kumtangaza kipa Mhispania,  Victor Valdez  kama usajili wake wa kwanza wa mwezi huu January wakati dirish... thumbnail 1 summary
Man Yuu
Manchester United inatarajia kumtangaza kipa Mhispania, Victor Valdez kama usajili wake wa kwanza wa mwezi huu January wakati dirisha dogo la usajili likiwa wazi baada ya ya kipa huyo kufanya mazoezi na United kwa zaidi ya miezi miwili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chanzo cha ugomvi wa Messi na kocha wake hiki hapa.

Habari za kuwepo kwa uhusiano mbaya kati ya nyota wa  Barcelona ,  Lionel Messi  na kocha wake  Luis Enrique  mpaka sasa sio mpya masik... thumbnail 1 summary
messio
Habari za kuwepo kwa uhusiano mbaya kati ya nyota wa BarcelonaLionel Messi na kocha wake Luis Enrique mpaka sasa sio mpya masikioni mwa mashabiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tuhuma za wizi kwa rapper Eminem…

Mkali wa Hiphop, Marshall Mathers aka  Eminem  ni mmoja kati ya wengi ambao tumewahi kuwasikia kwenye vituko, moja ya story iliyochuku... thumbnail 1 summary

Eminem-2014
Mkali wa Hiphop, Marshall Mathers aka Eminem ni mmoja kati ya wengi ambao tumewahi kuwasikia kwenye vituko, moja ya story iliyochukua headlines mara ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: