September 17, 2014

NISHA AWACHEZEA WANAFUNZI POSTA

MWANADADA  anayefanya poa katika tasnia ya filamu za Kibongo Salma Jabu ‘Nisha’ hivi karibuni alilazimika kuwachezea wanafunzi waliomtaka k... thumbnail 1 summary
MWANADADA anayefanya poa katika tasnia ya filamu za Kibongo Salma Jabu ‘Nisha’ hivi karibuni alilazimika kuwachezea wanafunzi waliomtaka kufanya hivyo wakati wao wakimuimbia katika maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ODAMA LAIVU NA MUME WA MTU

MSANII  nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka maarufu kwa jina la kisanii kama Odama, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita alinaswa Liv... thumbnail 1 summary
MSANII nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka maarufu kwa jina la kisanii kama Odama, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita alinaswa Live akiwa kwenye pozi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA AZIMA JEURI YA KAJALA

FEDHA  haina mwenyewe! Siku chache baada ya kudaiwa kuyumba kiuchumi kiasi cha kuzidiwa jeuri na aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’,... thumbnail 1 summary
FEDHA haina mwenyewe! Siku chache baada ya kudaiwa kuyumba kiuchumi kiasi cha kuzidiwa jeuri na aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ameibuka na kujibu mapigo kwa kumwaga ‘mafedha’ ukumbini,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDOA YENYE MZOZO KILA SIKU, MKE ANA KASORO!

NAFURAHI  sana kukutana nanyi wapenzi wasomaji wangu wa safu hii inayozungumzia maisha ya mapenzi kwa ujumla.Wiki iliyopita tulikuwa na ... thumbnail 1 summary
NAFURAHI sana kukutana nanyi wapenzi wasomaji wangu wa safu hii inayozungumzia maisha ya mapenzi kwa ujumla.Wiki iliyopita tulikuwa na mada iliyokuwa na utambulisho usemao; Ni afadhali ukimfumania mumeo na demu mzuri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUDDAH ATOA KALI,..! ATUPIA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI..!!! CHEKI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI

  Kutafuta Umaarufu yataka Moyo, Ona Picha ya Aibu aliyoweka Instagram Mrembo Huddah  Monroe Kutoka Kenya ..Kwenye hiyo Picha hapo chini am... thumbnail 1 summary

 Kutafuta Umaarufu yataka Moyo, Ona Picha ya Aibu aliyoweka Instagram Mrembo Huddah Monroe Kutoka Kenya ..Kwenye hiyo Picha hapo chini ameambatanisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOHARI AFUNGUKA KUHUSU MAGAZETI YA UDAKU

  Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yanayodhalilish... thumbnail 1 summary

 

Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yanayodhalilisha ndiyo mambo yanayokwaza na kukatisha tamaa katika uigizaji.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: