May 13, 2015

Alitaka picha ya ‘Special Selfie’ akiwa juu ya treni inayotembea!!…hiki ndicho kilichomkuta

Upigaji wa picha za selfie Umeendelea kupata umaarufu kila siku duniani kutokana na kazi ya teknolojia inayozidi kukua. thumbnail 1 summary



Upigaji wa picha za selfie Umeendelea kupata umaarufu kila siku duniani kutokana na kazi ya teknolojia inayozidi kukua.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dk.Kanye West, Kim Kardashian kurudia viapo vya ndoa!!

May 24 mwaka huu itakua ni Anniversary ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West baada ya kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yao ambayo wali... thumbnail 1 summary



May 24 mwaka huu itakua ni Anniversary ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West baada ya kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yao ambayo walifunga mwaka jana katika sherehe iliyofanyika Italy na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kifo cha Waziri wa Ulinzi Korea Kaskazini kisa kasinzia mbele ya Rais.

Serikali ya Korea Kaskazini imeingia kwenye headlines baada ya waziri wake wa UlinziHyon Yong-chol kuuawa wakati kiongozi wa nchi hiyo Ki... thumbnail 1 summary
Serikali ya Korea Kaskazini imeingia kwenye headlines baada ya waziri wake wa UlinziHyon Yong-chol kuuawa wakati kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un alipokuwa akiwahutubia kwenye kambi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkuu wa jeshi wa Burundi atangaza kumpindua rais Pierre Nkurunziza

Mkuu wa jeshi la Burundi amedai kuwa rais Pierre Nkurunziza amepinduliwa kufuatia kuwepo kwa fujo zilizotokana na mpango wake wa kugombea m... thumbnail 1 summary
Mkuu wa jeshi la Burundi amedai kuwa rais Pierre Nkurunziza amepinduliwa kufuatia kuwepo kwa fujo zilizotokana na mpango wake wa kugombea muhula wa tatu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego Ameshajulikana..Nay Akuwahi Kuwa Mpenzi Wangu

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimap... thumbnail 1 summary
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kenyan Socialite Corazon Kwamboka Gets an Expensive Gift...Check it Out!!

It seems like ‘business’ is good for Corazon Kwamboka. The young lawyer has a new rich boyfriend who is showerng her with very expensive ... thumbnail 1 summary
It seems like ‘business’ is good for Corazon Kwamboka. The young lawyer has a new rich boyfriend who is showerng her with very expensive goody goodies. Check out her new watch and prada handbag;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANADADA Huyu Mkenya kwenye headlines za kunyongwa China! safari yake ilikua Nairobi – China.

Mwanadada mwenye umri wa miaka 26 huenda akanyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa ya kulevya nchini china ambapo Mkeny... thumbnail 1 summary
Mwanadada mwenye umri wa miaka 26 huenda akanyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa ya kulevya nchini china ambapo Mkenya huyu Floviance Owino, aliyehudumu kama msaidizi wa nyumbani alitiwa nguvuni May 2013 akisafiri kuelekea Beijing kutokea hapa Nairobi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

43 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO NCHINI PAKISTAN

WATU zaidi ya 43 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha walioshambulia b... thumbnail 1 summary

WATU zaidi ya 43 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha walioshambulia basi huko Karachi, Pakistan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lol...Diamond Platnumz Replies Nay Wa Mitego By Dissing His Ex Girlfriend Siwema.

Lol...Diamond Platnumz Replies Nay Wa Mitego By Dissing His Ex Girlfriend Siwema. thumbnail 1 summary
Lol...Diamond Platnumz Replies Nay Wa Mitego By Dissing His Ex Girlfriend Siwema.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ngassa asaini miaka 4 FREE STATE, Alamba $80,000,Mshahara $5,600, Nyumba Gari Bure

Ni baada Yanga kumshusha thamani.Sasa awa lulu bondeni. Gari atakayopewa ni mpya kabisa BMW made ya S.AFRICA. thumbnail 1 summary
Ni baada Yanga kumshusha thamani.Sasa awa lulu bondeni.
Gari atakayopewa ni mpya kabisa BMW made ya S.AFRICA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchezaji wa Kiungo PSG Akiri Kuwa Mwanamke..Acheza Mpaka Kombe la Dunia Bila Kujulikana

UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (... thumbnail 1 summary
UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG), Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Afande Selle: Picha niliyopigwa nikiwa na boxer haitonikosesha ubunge wa Morogoro Mjini

Seleman Msindi aka Afande Selle anawania kuwa mbunge mtarajiwa wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha chama cha ACT Tanzania, na haogo... thumbnail 1 summary
Seleman Msindi aka Afande Selle anawania kuwa mbunge mtarajiwa wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha chama cha ACT Tanzania, na haogopi maneno ya ‘haters’ wanaotaka kukiwekea mchanga kitumbua chake kwa mambo yaliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema: Kumiliki Au Kutomiliki Bastola ni Siri Yangu

Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amedai kwamba itabaki kuwa siri yake kama ni kweli anamiliki bastola ama la kwa kuwa si sifa kutangaza ... thumbnail 1 summary
Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amedai kwamba itabaki kuwa siri yake kama ni kweli anamiliki bastola ama la kwa kuwa si sifa kutangaza umiliki wa silaha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTOTO MZURI ODAMA Afunguka SIRI Kuhusu Wanaume Wakware!

STAA ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewataka mastaa wenzake wa kike kujituma kufanya kazi... thumbnail 1 summary
STAA ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewataka mastaa wenzake wa kike kujituma kufanya kazi, kwani ndiyo siri pekee ya kuwaepuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NISHA WA BONGO MUVI AFANYIWA KITU MBAYA USIKU WA MANANE NYUMBANI KWAKE NA WAHUNI!

Gladness Mallya MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvami... thumbnail 1 summary
Gladness Mallya MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na vibaka ambao walivunja gari lake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEY NAE AMPA MAKAVU YAKE DIAMOND JE? ANGEKUWA HIVI ZARI ANGEMKUBALI KWELI BONYEZA HAPA UJIONEE

Today Diamond Platnumz dissed Nay Wa Mitego's ex girlfriend and baby mama Siwema (read here). And Nay decided to respond by dissing D... thumbnail 1 summary
Today Diamond Platnumz dissed Nay Wa Mitego's ex girlfriend and baby mama Siwema (read here). And Nay decided to respond by dissing Diamond, Nay posted the below photo of Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mgomo ligi kuu Hispania .

Barcelona’s Lionel Messi from Argentina, centre left, scores his goal during a Spanish La Liga soccer match between Real Madrid and FC ... thumbnail 1 summary

Barcelona’s Lionel Messi from Argentina, centre left, scores his goal during a Spanish La Liga soccer match between Real Madrid and FC Barcelona at the Santiago Bernabeu stadium in Madrid, Spain, Sunday, March 23, 2014. (AP Photo/Andres Kudacki)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya thumbnail 1 summary

Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao.

BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAAJABU MBEYA: MTU MMOJA AFUFUKA WAKATI NDUGU ZAKE WALIPOKWENDA KUMCHUKUA MOCHWARI!

Mtu mmoja amefufuka mkoani Mbeya wakati ndugu na jamaa walipokwenda kuchukua maiti yake kwa ajili thumbnail 1 summary



Mtu mmoja amefufuka mkoani Mbeya wakati ndugu na jamaa walipokwenda kuchukua maiti yake kwa ajili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LUIS Suarez Kuikosa Copa America!

Mshambuliaji nyota wa timu ya Barcelona Luis Suarez atakuwa nje ya michuano ya mataifa ya Amerika ya kusini maarufu kama Copa America kut... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji nyota wa timu ya Barcelona Luis Suarez atakuwa nje ya michuano ya mataifa ya Amerika ya kusini maarufu kama Copa America kutokana na kuendelea kutumikia adhabu ya kukosa michezo tisa kufuatia kosa la kumng’ata beki wa Italia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CASILLAS NA RONALDO KUIHAMA REAL MADRID.

Los jugadores del Real Madrid, el portugués Cristiano Ronaldo e Iker Casillas, sonríen durante una conferencia de prensa en Los Angeles, ... thumbnail 1 summary
Los jugadores del Real Madrid, el portugués Cristiano Ronaldo e Iker Casillas, sonríen durante una conferencia de prensa en Los Angeles, el martes 12 de julio del 2011 (AP Foto/Nick Ut).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: