June 12, 2016

Watu 50 wauawa baada ya mtu mmoja kushambulia klabu ya mashoga Marekani

Raia wa Marekani, Omar Mateen, 29, ameishambulia kwa bunduki klabu ya mashoga iliyopo Orlando nchini Marekani. Mateen, anayetokea Port St... thumbnail 1 summary
Raia wa Marekani, Omar Mateen, 29, ameishambulia kwa bunduki klabu ya mashoga iliyopo Orlando nchini Marekani.
Mateen, anayetokea Port St. Lucie Florida, ameua takriban watu 50 na kujeruhi wengine 53 na kushikilia mateka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yusuph Manji achaguliwa kwa mara nyingine kuingoza Yanga

Yusuph Manji amechaguliwa kwa awamu nyingine kuwa mwenyekiti wa Timu ya Young Africans ‘Yanga’ pamoja na makamu wake Clement Sanga. thumbnail 1 summary
Yusuph Manji amechaguliwa kwa awamu nyingine kuwa mwenyekiti wa Timu ya Young Africans ‘Yanga’ pamoja na makamu wake Clement Sanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITTO KABWE apotea katika mazingira ya Utata. HAJULIKANI ALIKO HADI SASA

TAARIFA KWA UMMA. ————————————————- Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafu... thumbnail 1 summary
TAARIFA KWA UMMA.
————————————————-
Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku. Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHAZ 22 : Majengo ya kushangaza duniani.

June 12 2016 nakusogezea picha 22 za majengo yenye muonekano tofauti na majengo mengine uliyowahi kuyaona, Majengo haya yanapatikana nch... thumbnail 1 summary
June 12 2016 nakusogezea picha 22 za majengo yenye muonekano tofauti na majengo mengine uliyowahi kuyaona, Majengo haya yanapatikana nchi mbalimbali ikiwemoFrance, Marekani, Korea n.k imejengwa kwa staili ya kipekee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

kimenuka:Wanafunzi Waliofukuzwa chuo Wafungua Kesi Mahakamani

By:Nasri Bakari(0713 311 300) MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa kibali cha kufungua kesi ya uwakilishi, kwa wanafunzi wanne, ... thumbnail 1 summary
By:Nasri Bakari(0713 311 300)
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa kibali cha kufungua kesi ya uwakilishi, kwa wanafunzi wanne, waliofukuzwa katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph kwa madai ya kutokuwa na sifa za kudahiliwa kwenye vyuo vikuu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 5: UEFA inajipanga kutoa adhabu kwa Urusi

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA, kufuatia vurugu za mashabiki wa Urusi zilizotokea katika mchezo wa Euro 2016 kati ya England dhidi ... thumbnail 1 summary
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA, kufuatia vurugu za mashabiki wa Urusi zilizotokea katika mchezo wa Euro 2016 kati ya England dhidi ya timu ya taifa ya Urusi, limekaa na kuanza kujadili namna ya kuidhabu Urusi kutokana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni rahisi kugundua kama mpenzi wako katoka kukusaliti!

Miongoni mwa mambo yanayowafanya wapenzi wakose amani ni suala la usaliti. Katika makala zangu nyingi ambazo nimekuwa nikiandika kupiti... thumbnail 1 summary

Miongoni mwa mambo yanayowafanya wapenzi wakose amani ni suala la usaliti. Katika makala zangu nyingi ambazo nimekuwa nikiandika kupitia ukurasa huu, kila nilipogusia ishu ya usaliti nilipokea simu na sms nyingi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chris Brown chini ya ulinzi tena,ni baada ya kukutwa barabarani na pikipiki isiyokuwa na Plate number

Chris Brown amekamatwa akiwa anaendesha pikipiki isiyokuwa na Plate number huko Amsterdam na kuweza kujichomoa kutoka kwenye tatizo hilo. thumbnail 1 summary
Chris Brown amekamatwa akiwa anaendesha pikipiki isiyokuwa na Plate number huko Amsterdam na kuweza kujichomoa kutoka kwenye tatizo hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zifahamu Faida/Hasara za kurudiana na Mpenzi wako wa zamani

Kuna faida ya wapenzi kuachana na kurudiana? Vipi kuhusu hasara zake? Hiyo ndiyo mada yetu ya leo kama inavyojieleza. Bila shaka unawajua wa... thumbnail 1 summary


Kuna faida ya wapenzi kuachana na kurudiana? Vipi kuhusu hasara zake? Hiyo ndiyo mada yetu ya leo kama inavyojieleza. Bila shaka unawajua watu ambao walikuwa wakiishi pamoja kimapenzi, iwe ni ndoa, uchumba au uhusiano wa kawaida ambao wamewahi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE MSANII HARMONIZE ACHORA TATTOO YA SURA YA DIAMOND PLATNUMZ

Msanii wa bongo fleva Harmonize amechora tato ya Diamond Platnumz kwenye mkono wake, akijua jambo hili litashangaza wengi,haya ndio maele... thumbnail 1 summary
Msanii wa bongo fleva Harmonize amechora tato ya Diamond Platnumz kwenye mkono wake, akijua jambo hili litashangaza wengi,haya ndio maelezo yake juu ya swala hili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI HAMZA AMENYONGWA HADHARANI HUKU AKITABASAMU MPAKA ANAKUFA SOMA HAPA

HAMZA AMENYONGWA BAADA YA KUPATIKANA NA HATIA YA UDUKUZI KUTUMIA KUMPUTA AMBAPO ALIWEZA KUJIPATIA ZAIDI YA BILIONI 800 ZA KITANZANIA KU... thumbnail 1 summary

HAMZA AMENYONGWA BAADA YA KUPATIKANA NA HATIA YA UDUKUZI KUTUMIA KUMPUTA AMBAPO ALIWEZA KUJIPATIA ZAIDI YA BILIONI 800 ZA KITANZANIA KUTOKA KATIKA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Quick Racka Afunguka Haya Kuhusu Yeye na Kajala

Rapper Quick Rocka ambaye kwa sasa anafanya kazi na Switch Records, pia ameelezea mipango yake ya kufanya muziki wa aina tofauti tofuti, ... thumbnail 1 summary
Rapper Quick Rocka ambaye kwa sasa anafanya kazi na Switch Records, pia ameelezea mipango yake ya kufanya muziki wa aina tofauti tofuti, huku tetesi zikisema sasa anataka kufanya muziki wa bolingo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIMULIZI FUPI "KUPENDAPENDA KUBAYA"

James alikuwa ni kijana mtanashati, mwenye mvuto na pia alikuwa ni mfanyabiashara wa vifaa vya magari. Maisha yake alikuwa akipenda sana ... thumbnail 1 summary
James alikuwa ni kijana mtanashati, mwenye mvuto na pia alikuwa ni mfanyabiashara wa vifaa vya magari. Maisha yake alikuwa akipenda sana wanawake warembo, na kutokana na muonekano mzuri na pesa alizokuwa nazo aliwavutia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: England imelazimishwa sare na Urusi Euro 2016

June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeendelea kama kawaida, mechi kubwa ya Euro kwa leo ilikuwa ni mchezo kati ya t... thumbnail 1 summary
June 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeendelea kama kawaida, mechi kubwa ya Euro kwa leo ilikuwa ni mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi yaUrusi, huu ni mchezo ambao ulikuwa unatazamwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno ya Ruby na Aslay yanayoashiria kuwa ni wapenzi

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongoflev... thumbnail 1 summary
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslayambazo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 12, 2016 kwenye, Hardnews na michezo

June 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews i... thumbnail 1 summary
June 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: