August 19, 2014

ALI KIBA AELEZEA ALICHOCHUKIZWA NA DIAMOND

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali hu... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali huyo kutoka na wimbo wa ‘Kamwambie’ uliogeuka kuwa wimbo wa taifa wa Bongo Flava kwa muda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA ALICHOKISEMA HASHEEM THABEET KWENDA KWA MASHABIKI NA WATI WOTE ALIOWAKOSEA.

NINGEPENDA KUANZA KWA KUSEMA ASANTENI SANA KWA KUSHOW LOVE KWENYE HILI PAGE LANGU. BINADAMU WOTE TUMEUMBWA TOFAUTI, NA TUMEBARIKIWA TOFAUTI.  thumbnail 1 summary

http://larrybway91.files.wordpress.com/2014/07/hasheem-thabeet.jpgNINGEPENDA KUANZA KWA KUSEMA ASANTENI SANA KWA KUSHOW LOVE KWENYE HILI PAGE LANGU. BINADAMU WOTE TUMEUMBWA TOFAUTI, NA TUMEBARIKIWA TOFAUTI. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sentensi kuhusu Samwel Sitta kuongezewa ulinzi na gari.

Gazeti la Tanzania Daima August 19 2014 limeripoti kwamba Mwenyekiti wa bunge la katiba Samwel Sitta sasa hivi ameongezewa ulinzi ili kuh... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-19 at 1.36.09 PMGazeti la Tanzania Daima August 19 2014 limeripoti kwamba Mwenyekiti wa bunge la katiba Samwel Sitta sasa hivi ameongezewa ulinzi ili kuhakikisha anakuwa salama zaidi kila anapokwenda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA HUJUI ASI HUU NDIO UCHAWI WA KIJIJI CHA GAMBOSHI, KAMA UKIENDA JIPANGE

WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji... thumbnail 1 summary

gamboshi

WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani kwamba  hapo ni makao makuu ya maovu ya uchawi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasanii watatu wa Uganda walioalikwa kuimba na Nicki Minaj, Kid Inc na J Cole kwenye stage moja

Sony Music Africa pamoja na Rock star 4000 wametangaza list ya mastaa watatu kutoka Afrika Mashariki ambao watashiriki kwenye stage moja ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-19 at 9.56.13 AMSony Music Africa pamoja na Rock star 4000 wametangaza list ya mastaa watatu kutoka Afrika Mashariki ambao watashiriki kwenye stage moja ya show kubwa itakayowashusha mastaa wa dunia nchini Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 10 za mawe ya Mwanza yalivyoporomoka na kuua ndugu zetu wanne.

Ni wiki moja tu imepita baada ya kuondoka Mwanza nilikokwenda kwa ajili ya Tour ya Fiesta inayoendelea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania a... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-19 at 9.04.45 AMNi wiki moja tu imepita baada ya kuondoka Mwanza nilikokwenda kwa ajili ya Tour ya Fiesta inayoendelea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo mara zote ambazo nimekua nikiitembelea Mwanza, kila nikitazama watu walivyojenga pembeni au karibu ya mawe makubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE MUHANDO AFIKISHWA POLISI SOMA HAPA KISA CHOTE

MWANAMUZIKI  wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar baada ya m... thumbnail 1 summary

MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar baada ya mchungaji mmoja wa Kinigeria anayefanya shughuli zake nchini DR Congo,  Kabagambe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZINGATIA HAYA WAKATI WA KUMCHAGUA MKE WA KUOA, HUSIJE KUJUTA

MARA NYINGI VIJANA HUPATA TAABU SANA KATIKA SUALA LA KUCHAGUA MCHUMBA. VIJANA WA KIUME NDIO HASA HUPATA WAKATI MGUMU ZAIDI KWANI JAMII... thumbnail 1 summary

MARA NYINGI VIJANA HUPATA TAABU SANA KATIKA SUALA LA KUCHAGUA MCHUMBA. VIJANA WA KIUME NDIO HASA HUPATA WAKATI MGUMU ZAIDI KWANI JAMII IMEWAPA WAJIBU WA KUANZISHA MAZUNGUMZO YAHUSIANAYO NA MAPENZI. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU WA SASA SI KAMA WA ZAMANI, WEMA WA LEO .... MALIZIA KWA KUCHEKI KITAMBO HIYO WEMA NI SHIDAAH

AMA HAKIKA WEMA SEPETU KUMBE ALIKUA WA MAANA SANA ENZI HIZO, AU WADAU thumbnail 1 summary

Wema Sepetu
AMA HAKIKA WEMA SEPETU KUMBE ALIKUA WA MAANA SANA ENZI HIZO, AU WADAU

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: