May 31, 2017

Mazishi ya Ivan: Watoto wa marehemu watoa ujumbe wa mwisho (Picha)

Shughuli ya kuuzika mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Ssemwag... thumbnail 1 summary
Shughuli ya kuuzika mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Ssemwaga zinaendelea katika makaburi ya ukoo wake yaliyoko Kayunga, nchini Uganda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mjomba wa IVAN ( baba) Amuomba Msamaha Zari

Siku chache baada ya aliekiwa mume wa Zari kufariki aliibuka mzee herbet Lunyinda uncle wa IVAN na kujitambulisha kama baba wa ivan huku ... thumbnail 1 summary
Siku chache baada ya aliekiwa mume wa Zari kufariki aliibuka mzee herbet Lunyinda uncle wa IVAN na kujitambulisha kama baba wa ivan huku akisema hawamtambui zari na hausiki na chochote
Lakini leo wakati wa kuaga mwili wa kanisani alimuomba zari msamaha na watu wote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking: Mzee Aliyechora Nembo ya Taifa afariki Dunia

Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Muhimbili Hospital thumbnail 1 summary
Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Muhimbili Hospital

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: