August 19, 2015

Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano

Mnamo Tarehe 14.08.2015 Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Chadema Alikuja Mkoa Wa Mbeya Akiwa Ameandamana Na Viongozi Wa Vyama Vya Cuf, Nccr – ... thumbnail 1 summary
Mnamo Tarehe 14.08.2015 Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Chadema Alikuja Mkoa Wa Mbeya Akiwa Ameandamana Na Viongozi Wa Vyama Vya Cuf, Nccr – Mageuzi Na Nld Kwa Dhumuni La Kumtambulisha Na Kuomba Udhamini Wa Kupeperusha Bendera Ya Chadema Kwa Nafasi Ya Urais.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais JK na Dk. Magufuli walivyokutana kuongea na wazee Dar August 19 2015… (Pichaz)

Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mtu wanguvu.. hii inahusu Chama... thumbnail 1 summary
Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mtu wanguvu.. hii inahusu Chama cha CCM ambapo Rais Kikwete akiwa ameongozana na baadhi ya viongozi wa Chama hicho ikiwemo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Professor Jay achukua fomu ya kugombea ubunge 2015

Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania U... thumbnail 1 summary

Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idadi mpya ya wagonjwa wa kipindupindu hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam

Jana nilikusogezea stori kutoka hospitali ya Mwananyamala kuhusu kupokea idadi ya wagonjwa wa kipindupindu 20 na kufariki kwa watu watatu... thumbnail 1 summary
Jana nilikusogezea stori kutoka hospitali ya Mwananyamala kuhusu kupokea idadi ya wagonjwa wa kipindupindu 20 na kufariki kwa watu watatu, sasa leo ripota wamillardayo.com amefika tena hospitalini hapo kuhakikisha kinachoendelea Hospitalini hapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Anachokiamini Rafael Benitez kuhusu kiwango cha Gareth Bale

Kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez ameamua kuingilia kati ishu inayoendelea kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa ... thumbnail 1 summary

Kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez ameamua kuingilia kati ishu inayoendelea kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale na mashabiki ambao wamekuwa wakipiga kelele na kumzomea kufuatia kiwango

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mjukuu wa Nelson Mandela matatani afikishwa Mahakamani!

Historia ya Nelson Mandela ni historia ya kishupavu iliyosimamia ukweli, usawa na haki na pale mtu anapojaribu kuweka doa kwenye jina l... thumbnail 1 summary

Historia ya Nelson Mandela ni historia ya kishupavu iliyosimamia ukweli, usawa na haki na pale mtu anapojaribu kuweka doa kwenye jina la familia ya Nelson Mandela watu hawatakuelewa kabisa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ni staa mwingine kutoka Ghana aliyejiunga na Chelsea

Jose Mourinho ni miongoni mwa makocha wanaopenda wachezaji wenye asili ya AfrikaAugust 19 2015 habari za kumsajili beki wa kimataifa wa G... thumbnail 1 summary
Jose Mourinho ni miongoni mwa makocha wanaopenda wachezaji wenye asili ya AfrikaAugust 19 2015 habari za kumsajili beki wa kimataifa wa Ghana aliyekuwa anaichezea klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani Baba Rahman na kujiunga na klabu ya Chelsea kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 21.7.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Selena Gomez anaisambaza rasmi video ya “Good For You” feat. A$AP Rocky. (Video)

Baada ya kuachia audio ya wimbo wake  “Good For You”  staa wa muziki  Marekani Selena Gomez   amerudi kutupa video ya ngoma hiyo amba... thumbnail 1 summary
gomez3
Baada ya kuachia audio ya wimbo wake “Good For You” staa wa muziki MarekaniSelena Gomez amerudi kutupa video ya ngoma hiyo ambayo ndani staa waHipHop A$AP Rocky kutoka Marekani ameshirikishwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutoka Diamond: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

Kikwete: CCM haibahatishi, ni chama kikubwa kinawajua watu wake vizuri, sasa nataka nimlete ndugu Magufuli. Anaimbisha wimbo wa kumkaribi... thumbnail 1 summary
Kikwete: CCM haibahatishi, ni chama kikubwa kinawajua watu wake vizuri, sasa nataka nimlete ndugu Magufuli. Anaimbisha wimbo wa kumkaribisha Magufuli. Watu wajue leo CCM ndio imeanza, kama walikuwa wanchukua picha na kuunganisha kwenye computer, sasa zinakuja picha za kweli. John Magufuli ndio Rais na Samia ndio makamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMENUKA..Wana CCM 704 Toka Jimbo Analogombea Nape Ubunge Wahamia CHADEMA

Aliyekuwa mgombea wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi jimbo la mtama SELEMANI METHEW amekihama chama hicho na kuondoka na wana C... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa mgombea wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi jimbo la mtama SELEMANI METHEW amekihama chama hicho na kuondoka na wana CCM wapatao 704 na kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Asema Wataionesha Sura ya Tiffah Baada ya Siku…

Shauku kubwa ambayo mashabiki wa Diamond Platnumz na Zari the Boss Lady wako nayo kwa sasa ni kuiona sura ya mtoto wao wa kike Latiffah N... thumbnail 1 summary
Shauku kubwa ambayo mashabiki wa Diamond Platnumz na Zari the Boss Lady wako nayo kwa sasa ni kuiona sura ya mtoto wao wa kike Latiffah Naseeb a.k.a Princess Tiffah.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Jokate Habanduki kwa Kiba, Amfuata Kenya, Ashuhudia Wakirekodi na Sauti Sol

Jokate Mwegelo hatoki begani mwa mahabuba wake, Alikiba. Wawili hao wapo jijini Nairobi, ambapo Kiba yupo kurekodi kipindi cha Co... thumbnail 1 summary


Jokate Mwegelo hatoki begani mwa mahabuba wake, Alikiba.

Wawili hao wapo jijini Nairobi, ambapo Kiba yupo kurekodi kipindi cha Coke Studio na Jokate ameamua kuungana naye kumsaidia kumpunguzia baridi la jiji hilo ambalo kipindi hiki linadaiwa kuwa katika kilele chake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPOKEZI YA EDWARD LOWASSA ZANZIBAR KWENYE HIZI PICHA 16

Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Lowassa kusaka Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17 2015, k... thumbnail 1 summary

Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Lowassa kusaka Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17 2015, kilele cha Safari hiyo ni Visiwani Zanzibar ambapo umefanyika Mkutano eneo la Kibanda Maiti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Oscar Pistorious anarudi uraiani? Jela kuna VIP? haya hapa kutoka South Africa..

Oscar Pistorious wakati kesi yake inaendelea Mahakamani Afrika Kusini. Mwezi October 2014 iliytolewa hukumu ya kifungo cha miaka mi... thumbnail 1 summary

Oscar Pistorious wakati kesi yake inaendelea Mahakamani Afrika Kusini.

Mwezi October 2014 iliytolewa hukumu ya kifungo cha miaka mitano jela kwa kesi ya mauaji ambayo ilikuwa inamkabili Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorious.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DiamondPlatnumz kaonyesha anamsupport Mgombea Urais gani 2015.

Ni mwaka wa Uchaguzi Tanzania ambapo upinzani mkubwa unaonekana kwenye Wagombea wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea kupitia ... thumbnail 1 summary
Ni mwaka wa Uchaguzi Tanzania ambapo upinzani mkubwa unaonekana kwenye Wagombea wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea kupitia CCM na Edward Lowassa aliyechukua fomu ya CHADEMA kwenye headlines za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya kilichonaswa Party ya Dj wa Diamond na maneno ya Diamond kuhusu zile msg na Wema na DNA ya mtoto wake na Zari.

Ilikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vil... thumbnail 1 summary
Diamond AyoTVIlikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vilevile ndio official Dj wake ambapo vilevile AyoTV ilimpata Diamond kwenye Interview akiongelea msg ambazo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lowassa: Nitamtoa Babu Seya Gerezani

Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalil... thumbnail 1 summary
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM Yateka Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais ACT-Wazalendo..Yaliyotabiriwa Yametimia

|Hatimaye Profesa Kitila Mkumbo akataa kuwa msaliti wa safari ya mabadiliko. |CCM wahaha kutafuta mgombea mbadala. |Zitto Kabwe aingi... thumbnail 1 summary
|Hatimaye Profesa Kitila Mkumbo akataa kuwa msaliti wa safari ya mabadiliko.
|CCM wahaha kutafuta mgombea mbadala.
|Zitto Kabwe aingia makubaliano na CCM.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ridhiwani Kikwete: Sasa Kumekucha.... Nikiangalia Hiki Kikosi Naamini Kabisa Kuna Chama Kitamficha Mgombea Wake Ndani

Baada ya CCM Kutoa List ya Team Ambayo itahakikisha CCM inashinda Urais 2015 , Mtoto wa Rais Ridhiwani Kikwete Ameandika Meneno haya : thumbnail 1 summary
Baada ya CCM Kutoa List ya Team Ambayo itahakikisha CCM inashinda Urais 2015 , Mtoto wa Rais Ridhiwani Kikwete Ameandika Meneno haya :

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE Mrembo Machachari wa Kenya Huddah Monroe Atulizwa Kwa Kuvishwa Pete ya Uchumba

Huddah Monroe MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita. thumbnail 1 summary
Huddah Monroe
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Enyi Wanawake Mlioolewa Kuweni Makini sana na Waume Zenu Unapoleta Mdogo Wako wa Kike

Hili jambo ni kuwatahadharisha wanawake ambao wapo ndani ya ndoa na kuwaonya wanaume wote walio ndani ya ndoa waache tabia ya huyu jamaa,... thumbnail 1 summary
Hili jambo ni kuwatahadharisha wanawake ambao wapo ndani ya ndoa na kuwaonya wanaume wote walio ndani ya ndoa waache tabia ya huyu jamaa, pia kutaka ushauri wenu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mpenzi Wangu Simuelewi, na Nimekuta Picha yake FB imewekwa na Msichana

Nina mpenzi wangu tunakaribia kumaliza mwaka sasa. Kukutana kwetu ni mara chache sana kutokana na masomo. Kusema kweli tokea tumeanza... thumbnail 1 summary
Nina mpenzi wangu tunakaribia kumaliza mwaka sasa. Kukutana kwetu ni mara chache sana kutokana na masomo.

Kusema kweli tokea tumeanza mahusiano sijawahi pokea hata shs 10 toka kwake. Hapo mwanzo tulikuwa tunawasiliana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA LULU MICHAEL AMCHOKONOA ZARI BAADA YA KUJIACHIA KWA MASAA 5 NA DIAMOND

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiendelea ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. thumbnail 1 summary


Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiendelea ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSAMAHA UMETOLEWA KWA SHINDANO LA MISS TANZANIA,MAELEZO NIMEKUWEKEA HAPA

December 2014 baada ya shindano la Miss Tanzania kukamilika liliingia kwenye headlines baada ya Baraza la sanaa la Taifa kutangaza kulifung... thumbnail 1 summary
December 2014 baada ya shindano la Miss Tanzania kukamilika liliingia kwenye headlines baada ya Baraza la sanaa la Taifa kutangaza kulifungia shindano hilo kwa miaka miwili baada ya kujiridhisha kwamba limekiuka taratibu lakini leo August 17 2015 Miss Tanzania imeingia tena kwenye headlines baada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASA ''MKIENDELEA NA MCHEZO WA KUPIGA WATU MABOMU,TUKIMALIZA UCHAGUZI TUTAWAPELEKA THE HAGUE MKAKIPATE CHA MOTO

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema anawatakia kila la heri wanaobeza nguvu ya umma. Kutokana na umati wa watu ... thumbnail 1 summary
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema anawatakia kila la heri wanaobeza nguvu ya umma.

Kutokana na umati wa watu waliojitokeza jana kumlaki kuanzia Uwanja wa Ndege wa Mwanza alikowasili saa saba mchana, iliuchukua zaidi ya saa mbili msafara wake kuingia Viwanja vya Furahisha saa tisa alasiri, ambako ni takriban kilomita nane.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: