September 07, 2014

Sakata la Okwi kuhusu Yanga na Simba,hili hapa tamko la TFF.

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7) na kupitia masuala mbali... thumbnail 1 summary
ballKamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Emmanuel Okwi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IMEBAINIKA KUMBE HII NDIYO SABABU YA MTVBASE KUMSHOOT VIDEO DIAMOND KILA AENDAKO SOUTH AFRICA

MTV Base jana ilikuwa inazunguka na Diamond Platnumz kwenye mitaa mbalimbali jijini Johannesburg, Afrika Kusini kushoot kipindi chao kipya ... thumbnail 1 summary


MTV Base jana ilikuwa inazunguka na Diamond Platnumz kwenye mitaa mbalimbali jijini Johannesburg, Afrika Kusini kushoot kipindi chao kipya kitakachoanza kuonekana kwenye kituo hicho mwezi October mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BENKI KUU YA TANZANIA IMETOA TOLEO JIPYA LA SARAFU YA SHILINGI MIA TANO (500).

Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo thumbnail 1 summary
1Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AL-SHABAAB WAKIRI KIFO CHA KIONGOZI WAO!

Wapiganaji wa Al-shabaab Kundi la wapiganaji wa kisomali Al-shabaab limethibitisha kuwa kiongozi wake thumbnail 1 summary
Wapiganaji wa Al-shabaab
Kundi la wapiganaji wa kisomali Al-shabaab limethibitisha kuwa kiongozi wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAWEZA KUEPUKA UZIWI UNAOSABABISHWA NA MATUMIZI YA EARPHONES/HEADPHONES

Tumezoea kuwaona watu wengi wakivaa wanaofanya kazi studio, viwandani, uwanja wa ndege na sehemu za ujenzi wakivaa thumbnail 1 summary


Tumezoea kuwaona watu wengi wakivaa wanaofanya kazi studio, viwandani, uwanja wa ndege na sehemu za ujenzi wakivaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VYAKULA MUHIMU SANA AMBAVYO UKIZIDISHA HUWA SUMU MWILINI.

Vifuatavyo ni vyakula muhimu sana kwa afya ya mwili wako ambavyo ukizidisha vinaweza kuwa hatari sana na kukusababishia maradhi thumbnail 1 summary
Vifuatavyo ni vyakula muhimu sana kwa afya ya mwili wako ambavyo ukizidisha vinaweza kuwa hatari sana na kukusababishia maradhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

U.T.I YAWEZA KUSABABISHA USIZAE KABISA SOMA ZAIDI HAPA

U.T.I ni maambukuzi katika mfumo wa mkojo ambao hutibika kabisa. Huwa maambukizi haya yanaendelea kuathiri mfumo wako wa mkojo hata pale un... thumbnail 1 summary

U.T.I ni maambukuzi katika mfumo wa mkojo ambao hutibika kabisa. Huwa maambukizi haya yanaendelea kuathiri mfumo wako wa mkojo hata pale unapopata tiba sahii au baada ya tiba sahihi huweza kujirudia tena.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHEIKH FARID HADI AHMED, AVUNJA UKIMYA MAHAKAMANI

Mmoja wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Far... thumbnail 1 summary

Mmoja wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole Afunguka 'Mpenzi Wangu Nuhu Ndio Anayenitibu Vizuri Wengine Wote mambulula tu...!!!

STAA wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri ku... thumbnail 1 summary

STAA wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VYAKULA 10 VINAVYOFAA KWA WANAUME.

1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na thumbnail 1 summary
1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MATANGAZO YA TIBA ZA ASILI YAPIGWA MARUFUKU SASA

Baraza la Tiba za Asili na Tiba Mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyot... thumbnail 1 summary


Baraza la Tiba za Asili na Tiba Mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari kwa kile kilichoelezwa kuwa yanapotosha jamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NINI MAONI YAKO JUU YA UKAGUZI WA MASHINE ZA EFD?

Ukaguzi wa mashine za EFD umepelekea Wamiliki wa maduka ya bidhaa mbalimbali Kariakoo jijini Dar es salaam kufunga maduka hayo, wali... thumbnail 1 summary


Ukaguzi wa mashine za EFD umepelekea Wamiliki wa maduka ya bidhaa mbalimbali Kariakoo jijini Dar es salaam kufunga maduka hayo, waliamua kuyafunga maduka yao kwa kinachodaiwa kuhofia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3)... thumbnail 1 summary


WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU DAMU YA WALIOPONA EBOLA KUTUMIKA KAMA TIBA

Shirika la afya duniani WHO limesema kuwa damu ya watu ambao wameponea ugonjwa wa Ebola inaweza kutumiwa kuwauguza wagonjwa wengine.  thumbnail 1 summary

Shirika la afya duniani WHO limesema kuwa damu ya watu ambao wameponea ugonjwa wa Ebola inaweza kutumiwa kuwauguza wagonjwa wengine. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RONALDINHO APATA MKATABA MPYA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA ATLETICO MINEIRO

MWANASOKA bora wa zamani wa dunia, Ronaldinho Gaucho amepewa ofa ya kuendelea kucheza na klabu ya Basingstoke Town. Timu hiyo ya thumbnail 1 summary

MWANASOKA bora wa zamani wa dunia, Ronaldinho Gaucho amepewa ofa ya kuendelea kucheza na klabu ya Basingstoke Town. Timu hiyo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHAZ: HATARI SANA...ETI HAWA NDIO VIONGOZI WA KESHO WA TAIFA HILI JAMANI...MBONA MAJANGA HAYA!

Hawa ni wanafunzi ambao ndio watakuwa viongozi wa Taifa hili kesho....Kupiga picha za uchi, mavazi ya kihasara, starehe kwa wingi wa... thumbnail 1 summary

Hawa ni wanafunzi ambao ndio watakuwa viongozi wa Taifa hili kesho....Kupiga picha za uchi, mavazi ya kihasara, starehe kwa wingi wakidai wanakula ujana ndivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KHADIJA KOPA NDANI YA KILI MUSIC TOUR 2014 LEADERS CLUB PICHA ZIKO HAPA

Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la thumbnail 1 summary
Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIMPOZ, BEN POL WAFANYA KWELI KILI MUSIC TOUR DAR

Mwanamuziki Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakikamua wimbo thumbnail 1 summary
Mwanamuziki Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakikamua wimbo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO SIMBA SASA TUNAYOIJUA SISI, YAMSHUSHIA MTU KICHAPO CHA 3-0

Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. thumbnail 1 summary
Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KWA AWAMU YA PILI HAYA HAPA.

Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na nakidato cha tano awamu ya pili haya thumbnail 1 summary

afunzi walio chaguliwa kujiunga na nakidato cha tano awamu ya pili haya hapa chini



Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na nakidato cha tano awamu ya pili haya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tofauti kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Marais wengine wa Kenya.

Ripota wa TZA (millardayo.com na AyoTV) Kenya Julius Kepkoich anatiririka kwamba Uhuru Kenyatta ametajwa kama rais anayejitokeza kwa njia... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-07 at 12.39.52 AMRipota wa TZA (millardayo.com na AyoTV) Kenya Julius Kepkoich anatiririka kwamba Uhuru Kenyatta ametajwa kama rais anayejitokeza kwa njia ya kipekee toka Kenya ianze kutawaliwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kifo kingine tena, ni Simone Battle wa X Factor kafariki.

Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-07 at 1.08.31 AMSimone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ya Majambazi kuvamia kituo cha Polisi Geita uliipata?

Pamoja na idadi ya matukio mengi ya Majambazi Tanzania imekua ni nadra sana kusikia Majambazi wamevamia kituo cha Polisi na kusababisha m... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-07 at 12.30.26 AMPamoja na idadi ya matukio mengi ya Majambazi Tanzania imekua ni nadra sana kusikia Majambazi wamevamia kituo cha Polisi na kusababisha mauaji ya askari pamoja na kuiba silaha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Namba mpya za pikipiki na bajaji kuanza kutolewa Tanzania, ni tofauti na zile za magari.

Toka namba mpya za magari zianze kutumika nchini Tanzania tulizoea kuona namba hizo zikifanana na zile za pikipiki, yani hakukuwa na tofa... thumbnail 1 summary
pikipiki 2Toka namba mpya za magari zianze kutumika nchini Tanzania tulizoea kuona namba hizo zikifanana na zile za pikipiki, yani hakukuwa na tofauti kati ya namba za pikipiki na za magari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASTARA.AFUNFISHWA. KUVAA NUSU UTUPU

WIKI iliyopita tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma alipokuwa akimwelezea mchumba wake wa pili alivyokuwa hajatulia kiasi cha kumchan... thumbnail 1 summary
WIKI iliyopita tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma
alipokuwa akimwelezea mchumba wake wa pili
alivyokuwa hajatulia kiasi cha kumchanganya na
wanawake watatu tofauti. Leo anaelezea
alivyokutana na majanga mengine kwa mwanaume
mwingine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKAVU LIVE: BABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI VIBAYA!

MOJA  ya tatizo kubwa linalowasumbua wasanii wetu, hasa hawa wa muziki wa kizazi kipya, ni ukosefu wa usimamizi makini wa kazi zao za san... thumbnail 1 summary
MOJA ya tatizo kubwa linalowasumbua wasanii wetu, hasa hawa wa muziki wa kizazi kipya, ni ukosefu wa usimamizi makini wa kazi zao za sanaa, au kama wazungu wanavyosema, Management.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIRI IMEFICHUKA KUMBE.NUHU.MZIWANDA ANQMTUMIA SHILOLE TU.WALA.HAMPENDI

Mwaka 2013 ni watu wachache tu waliokuwa wakilifahamu jina la Nuh Mziwanda kwakuwa alikuwa msanii mchanga anayetafuta nafasi yake kw... thumbnail 1 summary
Mwaka 2013 ni watu wachache tu waliokuwa
wakilifahamu jina la Nuh Mziwanda kwakuwa
alikuwa msanii mchanga anayetafuta nafasi yake
kwenye muziki wa Tanzania. Wimbo wake ulioanza
kumtambulisha uliitwa ‘Otea Nani’ ambao ulipata
nafasi kiasi kwenye vituo vya redio.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: