June 01, 2017

TANAPA yatoa ofa kwa Watanzania

Kufuatia kuadhimisha siku ya Mazingira duniani, Wizara ya Maliasili na utalii pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na mazingira im... thumbnail 1 summary
Kufuatia kuadhimisha siku ya Mazingira duniani, Wizara ya Maliasili na utalii pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na mazingira imeruhusu Watanzania kuingia kwenye hifadhi za wanyamapori bila kiingilio.

Soma taarifa kamili:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: