May 01, 2014

VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISAIDIE WAFANYA KAZI

Kumekuwa na vyama vingi vya wafanyakazi, lakini kero za wafanyakazi bado zinaendelea kuwapo. thumbnail 1 summary


Kumekuwa na vyama vingi vya wafanyakazi, lakini kero za wafanyakazi bado zinaendelea kuwapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:KWA MARA YA KWANZA KAJALA AFUNGUKA KUHUSU UGOMVI WAKE NA WEMA SEPETU NA JINSI ALIVYOZIMIA MARA BAADA YA KUTUKANWA SANA..!!

atika Hali ya simanzi na majonzi Kajala Masanja amefunguka kuhusu ugomvi wake na Wema Sepetu na ni kitu gani kilimpata mara baada ya kuw... thumbnail 1 summary
atika Hali ya simanzi na majonzi Kajala Masanja amefunguka kuhusu ugomvi wake na Wema Sepetu na ni kitu gani kilimpata mara baada ya kuwa anataukanwa sana kwenye mitandao ya kijamii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAINDA AGEUKIA KUIMBA INJILI

Ruth Suka ‘Mainda’  aliyewahi kutamba na filamu za kidunia, sasa ameamua kuimba muziki wa Injili ikiwa ni kumtukuza Mungu na kujiandalia ... thumbnail 1 summary

Ruth Suka ‘Mainda’  aliyewahi kutamba na filamu za kidunia, sasa ameamua kuimba muziki wa Injili ikiwa ni kumtukuza Mungu na kujiandalia maisha mema ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAHABA NIUE:WEMA NA DIAMOND MCHANA KWEUPE ..

Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo ni h... thumbnail 1 summary

Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo ni hatua chache kutoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

GARI LA GURUMO ALILO PEWA NA DIAMOND LAZUA UTATA KWENYE FAMILIA

AMA kweli asiyekuwepo na lake halipo! Lile gari la aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi aliyefariki dunia hivi karibuni, Muhidi... thumbnail 1 summary

AMA kweli asiyekuwepo na lake halipo! Lile gari la aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi aliyefariki dunia hivi karibuni, Muhidin ‘Maalim’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JB AFUNGUKA JUU YA KUMILIKI CASSINO MPYA "PRINCESS" ILIYOKO POSTA MPYA

BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amezua utata kwenye klabu mpya ya Princess Cassino iliyopo Posta mpya, Dar kufuatia m... thumbnail 1 summary

BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amezua utata kwenye klabu mpya ya Princess Cassino iliyopo Posta mpya, Dar kufuatia minong’ono kuwa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU MLELA KUWA TEJA LA MADAWA YA KULEVYA..

NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia ashindwe kujichanganya n... thumbnail 1 summary

NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia ashindwe kujichanganya na wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKAWA:TUTADAI TANGANYIKA NJE YA BUNGE

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa ... thumbnail 1 summary


Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa nguvu zote, ikiwamo kufanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUCTA "KIMA CHA CHINI CHA MFANYAKAZI KIWE 750,000"

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, D... thumbnail 1 summary

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE SNURA MAMA WA MAJANGA , JIONEE PICHA ZAKE ZA UTATA AKIWA JUKWAANI..!!NI SHIDAAA

 Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hi EW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa ... thumbnail 1 summary

 Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hi EW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAHADHARI KWA WANAWAKE..!!SOMA HAPA KUZIJUA TABIA ZA WANAUME PLAYERS..

1. SMAT Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni  midnight , Yaani ni msafi hadi anachana nywele thumbnail 1 summary


1. SMAT
Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni midnight, Yaani ni msafi hadi anachana nywele

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WADADA WATATU HUKO MAREKANI WAFANYA UCHAFU MBELE ZA WATU

Wasichana watatu wa Oregon, Marekani wamekamatwa na polisi Jumatatu hii kwa kutwerk (kukatika kwa kutingisha makalio) hadharani na kuwa... thumbnail 1 summary


Wasichana watatu wa Oregon, Marekani wamekamatwa na polisi Jumatatu hii kwa kutwerk (kukatika kwa kutingisha makalio) hadharani na kuwatamanishawanaume kimapenzi 

Coura Velazquez, Brittany Medak na Leokham Yothsombath waliokamatwa na polisi
 

Kama haitoshi, wasichana hao walionesha pia nyeti zao ambapo mmoja alibinua sketi yake na kutanua miguu katikati ya magari mawili kuonesha sehemu hizo. Mmoja wa wanawake hao, Leokham Yothsombath alionekana akirekodi tukio hilo kwenye simu. Video hizo azijasambaa Youtube kwakuwa walikamatwa na polisi na kukutwa pia na madawa ya kulevya.
 

Wasichana hao ni Coura Velazquez, Brittany Medak na Leokham Yothsombath. Polisi wa Beaverton wamesema kuwa Coura Velazquez alienda kwenye mahakama ya manispaa kulipa faini na yeye na marafiki zake wawili walipoondoka kwenye jengo hilo walianza kukatika mbele ya mahakama hiyo

huku watu wengi wakishuhudia. Velazquez na Brittney Medak, ambao wote wanatokea Vancouver, walionesha nyeti zao wakati wakitwerk na Medak alinyanyua sketi na kujisaidia haja ndogo katikati ya magari mawili.

Watatu hao walipanda kwenye gari la Medak na kukimbia japo hawakufika mbali kabla ya kukamatwa na polisi. Ndani ya gari polisi walikuta bangi, cocaine na madawa mengine. Wanakabiliwa na makosa mengi na bado wapo polisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND NA WEMA KUFANYA MAKUBWA MTWARA..NI SHIDAA AISEEE

Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini anayepasua anga ya Afrika, Rais wa wasafi kama wengi wanavyomuita, Diamond Platnum, Dangote ame... thumbnail 1 summary


Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini anayepasua anga ya Afrika, Rais wa wasafi kama wengi wanavyomuita, Diamond Platnum, Dangote ameahidi makubwa kwa mashabiki wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: