January 22, 2015

DIAMOND PLATNUMZ ATIKISA NCHI YA NIGERIA KWA NYIMBO YAKE YA KAMWAMBIE BLOGS ZA NIGERIA ZINAJUA KUWA NI WIMBO WAKE MPYAA

Huwezi kuamini hili, lakini blog za Nigeria zimedata na ngoma iliyomtambulisha Diamond miaka minne iliyopita, Kamwambie.   Haijulikani ni... thumbnail 1 summary

Huwezi kuamini hili, lakini blog za Nigeria zimedata na ngoma iliyomtambulisha Diamond miaka minne iliyopita, Kamwambie. 

Haijulikani ni vipi wimbo huo jana umeonekana kuwa dhahabu kwenye blog za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU HAJAMPELEKA DIAMOND MAHAKAMANI KWA DENI LA MIL 10 MARTIN KADINDA AFUNGUKA

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mta... thumbnail 1 summary
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tayari hukumu ya kesi ya Rihanna na waliotumia picha yake kwenye nguo imetolewa…

Kuna vitu ambavyo Bongo mara nyingi watu huwa hawafuatilii lakini kumbe upande mwingine ni big deal. Kuna siku nimekutana na tshirt zen... thumbnail 1 summary
Rihanna BebzKuna vitu ambavyo Bongo mara nyingi watu huwa hawafuatilii lakini kumbe upande mwingine ni big deal.
Kuna siku nimekutana na tshirt zenye picha za mastaa wa Bongo zikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDINGA MPYA AINA YA MARK X YA GK YAZUA UTATA DODOMA....CHEZEA MARK X GK WEWE

Kijana maarufu mjini Dodoma anayefahamika kwa jina la GK amakuwa gumzo baada ya kununua ndinga mpya Aina Mark X ambayo imeongezewa mbwem... thumbnail 1 summary


Kijana maarufu mjini Dodoma anayefahamika kwa jina la GK amakuwa gumzo baada ya kununua ndinga mpya Aina Mark X ambayo imeongezewa mbwembwe kwa kuandikwa jina lake la GK...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI MAISHA NI KAMA SIFURI..HATIMAYE WOLPER SASA KUWA FUNDI NGUO ZA KUSHONA

STAA   wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili... thumbnail 1 summary

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili kuepukana na ‘masnichi’ waliopo kwenye tasnia ya uigizaji.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO MAJAMBAZI WALIVYOVAMIA KITUO CHA POLISI IKWIRIRI NA KUUA ASKARI WAWILI TAZAMA PICHA NA HABARI KAMILI JUU YA TUKIO HILO

Askari wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na ... thumbnail 1 summary
Askari wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na majambazi, waliovamia kituo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND NA RAISI JAKAYA KIKWETE KUNA SIRI NZITO PLATNUM AZIPELEKA TUZO ZAKE MPAKA IKULU

NYUMA ya ukaribu wa Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ja... thumbnail 1 summary
NYUMA ya ukaribu wa Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KIMYA KIREFU "TID" AAMUA KUPOST PICHA AKIWA NA HOUSEGIRL WAKE VIFUA WAZI, JIONEE HAPA

Reentry T.I.D posted a posing picture on his instagram page praising his housegirl for doing a good job.. He captioned the picture with w... thumbnail 1 summary

Reentry T.I.D posted a posing picture on his instagram page praising his housegirl for doing a good job.. He captioned the picture with words.. "Me and my house Girl... anajitahidi as

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHINDANO LA NANI MKAL JOKATE AMGALAGAZA LULU MICHAEL

Mwanamitindo  na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo  na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa ni wengine waliotajwa kuperform kwenye stage ya Tuzo za Grammy 2015

February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa  Tuzo za Grammy , mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako m... thumbnail 1 summary
The 54th Annual GRAMMY Awards - Press Room
February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa Tuzo za Grammy, mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako mengine mapya leo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI SHEMEJI YANGU KABISA MKE WA KAKA YANGU, ILA UTANI WAKE UMEPITILIZA

Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yang... thumbnail 1 summary
shemeji
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AZINYOFOA SEHEMU ZA SIRI ZA MUMEWE KWA WIVU NA UGOMVI WA KIMAPENZI

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mu... thumbnail 1 summary


Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe Jumane Mwalami (21) baada ya kumvuta sehemu za siri na kuzinyofoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE NI KWELI JOKATE ANAPENDA KUIGA MASTAA WA MAMTONI?!!! CHEKI PICHA HIZI

Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba thumbnail 1 summary

Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SASA JACK WOLPER AMESANDA.... TUMEGUNDUA JANJA YAKE KUMBE NI USHAMBA M2PU NDIO UNAMSUMBUA

Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika... thumbnail 1 summary

http://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-prn/10518263_675398179220391_100588132_n.jpg
Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika kila kukicha.. lakini hilo si ambalo sana nataka kulizungumzia hapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA WALE WAPENZI WA RIHANNA HII ITAKUWA INAWAHUSU....KANGUO ALIKOVA NI AIBU TUPU

BONYEZA HAPA ILI KUPATA UMBEA ZAIDI WA MASTAA thumbnail 1 summary

BONYEZA HAPA ILI KUPATA UMBEA ZAIDI WA MASTAA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: