January 03, 2014

KWELI DUNIA INAZUNGUKA...!! TAZAMA KALENDA YA MWAKA 2014 ILIVYOKUWA SAWA KABISA NA YA MWAKA 1947..

Dunia inazunguka na sasa tumerudi miaka ya 1900  Hii hapa chini ni kalenda ya ya mwaka 2014 unaoanza masaa machache yajayo thumbnail 1 summary

Dunia inazunguka na sasa tumerudi miaka ya 1900 
Hii hapa chini ni kalenda ya ya mwaka 2014 unaoanza masaa machache yajayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LAANA: MWANAFUNZI WA CHUO AJIUZA KWA KUWEKA PICHA ZA UCHI KWENYE PROFILE YAKE YA FACEBOOK

Katika hali ya kushangaza msichana mmoja anaejiita Seche Mautamu ambae anajiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa k... thumbnail 1 summary



Katika hali ya kushangaza msichana mmoja anaejiita Seche Mautamu ambae anajiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu. Zifuatazo ni picha zake hizo na baada ya hizo picha utakuta link ya PROFILE yake ya facebook.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LAANA: PICHA ZA UCHI ZA PEDESHEE AKIFANYA MAPENZI NA WASICHANA ZAVUJA MTANDAONI..!!

Mwanaume mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa  na  tabia  chafu  ya kuwafanyisha mapenzi  wanawake  mithili ya wanyam... thumbnail 1 summary


Mwanaume mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa  na  tabia  chafu  ya kuwafanyisha mapenzi  wanawake  mithili ya wanyama ndani  ya jumba lake  la  kifahari.......Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa, nyumba  hiyo ya kifahari ipo maeneo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OKOA NDOA YAKO SASA.!!! HAYA NDIYO MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KUBWA KWA MPENZI WAKO..SOMA HAPA KUYAJUA

KUNA mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe... thumbnail 1 summary


KUNA mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano. Wengi wakitaka kufanya jambo la kumfurahisha mpenzi wake, huwaza katika ukubwa.Wapo wanaofikiri labda kwa kutoka na mwezi wake kwenda naye kwenye hoteli

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMA...!!! MTANDAO WA UNGA WA JACK PATRICK UNATISHAA..SOMA HAPA KUWAJUA

Jack akiwa chini ya ulinzi baada ya kunaswa na dawa za kulevya China. Na Mwandishi Wetu BADO habari ya mjini ni skendo ya ... thumbnail 1 summary



Jack akiwa chini ya ulinzi baada ya kunaswa na dawa za kulevya China.
Na Mwandishi Wetu
BADO habari ya mjini ni skendo ya kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’ inayomtafuna Video Queen wa Bongo, Jacqueline Clifford Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ ambaye inadaiwa kuwa mtandao wake wa biashara hiyo ni wa kutisha, Ijumaa limetonywa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STAA WA BONGO MOVIE ""ROSE NDAUKA"" AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE...SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Rose Ndauka. STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii kat... thumbnail 1 summary

Rose Ndauka.
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY APEWA ZAWADI NZITO YA MWAKA MPYA ...... JIONEE MWENYEWE ZAWADI YAKE

  KATIKA staili ya aina yake ya kuuaga mwaka na kuukaribisha 2014, mtan... thumbnail 1 summary

 
KATIKA staili ya aina yake ya kuuaga mwaka na kuukaribisha 2014, mtangazaji Peniela Mungilwa ‘Penny’, ambaye ni zilipendwa wa Nasib Abdul ‘Diamond’ alipewa zawadi ikiwemo keki yenye maandishi ya kumsuta.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWSSS...HII NDIYO SARAFU MPYA YA 50,000 ITAKAYO PATIKANA KWENYE MATAWI YOTE YA BENKI KUU KUANZIA TAR 5 JANUARY...TAZAMA PICHA YAKE HAPA

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000. G... thumbnail 1 summary

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000.

Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, alisema jana kuwa sarafu hiyo iliyotengenezwa kwa madini ya fedha kwa asilimia 92.50, imetolewa kwa ajili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FUMANIZI LA MWAKA MPYA....!!!MKE AMTOROKA MUMEWE AFUMWA NA MUME WA THEA ...TAZAMA MAPICHA HAPA

Stori: Shakoor Jongo MWAKA ulianza vibaya kwa mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana mara moja kumkimbia mumewe na kumfuata m... thumbnail 1 summary

Stori: Shakoor Jongo
MWAKA ulianza vibaya kwa mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana mara moja kumkimbia mumewe na kumfuata mume wa msanii wa filamu, Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ aitwaye Michael Sangu ‘Mike’ jambo lililosababisha ale kichapo cha nguvu na kuuanza mwaka mpya vibaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KOCHA MPYA YANGA AJA NA MASHARTI MAGUMU...ATANGAZA KUMFUTA KASEJA KAMA KIPA NAMBA MOJA..SOMAZAIDI KUJUA UKWELI

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. MABADILIKO yanaendelea kutokea ndani ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga... thumbnail 1 summary


Kipa wa Yanga, Juma Kaseja.

MABADILIKO yanaendelea kutokea ndani ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga kwani tayari imepata kocha mpya wa makipa ambaye hata kabla ya kuanza kazi, ametangaza kumfuta kipa Juma Kaseja kama kipa namba moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha kuamua Uanachama wake CHADEMA..!!

  Taarifa ambazo zilizotufikia hivi punde ni kuwa Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho.Wan... thumbnail 1 summary


 

Taarifa ambazo
zilizotufikia hivi punde ni kuwa Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho.Wanasheria wa Chama wakiongozwa na Tundu Lissu wanaenda Mahakamani kusikiliza pingamizi hilo ambalo litakuwa limeenda kwa hati ya dharura.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAZBA ZATAWALA MKUTANO WA BONGO MOVIES, TRA

  Jacob Steven ‘JB’. JAZBA baab’kubwa imeibuka katika mkutano wa wasan... thumbnail 1 summary

 
Jacob Steven ‘JB’.
JAZBA baab’kubwa imeibuka katika mkutano wa wasanii wa filamu za Bongo ‘Bongo Movies’ na Bongo Fleva ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na chombo cha kusimamia haki za wasanii nchini, Cosota.Tukio hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchungaji Peter Msigwa asisitiza kuwa Zitto Kabwe ni lazima avuliwe uanachama wa CHADEMA kesho

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliy... thumbnail 1 summary


MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, Kabwe Zitto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA kumpokea SUMAYE kwa mikono miwili...!!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za ku... thumbnail 1 summary


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kimesema wanaombeza kwa madai kwamba rushwa anayoipigia kelele iliasisiwa wakati akiwa madarakani, hawalitakii mema taifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY C KATISHA JAMANI HEMBU SOMA HAPA :

Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangam... thumbnail 1 summary



Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPENZI HAYAFICHIKI...DINA MARIOS NA RUBEN NDEGE "NCHA KALI" NDANI YA MAPENZI MAZITO..DINA MARIOUS MWENYEWE AFUNGUKA...

SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ ... thumbnail 1 summary


SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INASHANGAZA HII..RAY AONA AIBU KUMKISS LULU..SOMA HAPA KUJUA KISA NA CHANZO CHA TUKIO HILI

Elizabeth Michael ‘Lulu’. STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati mgumu kumpanga mwi... thumbnail 1 summary


Elizabeth Michael ‘Lulu’.
STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema alipata wakati mgumu kumpanga mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye filamu yake ambayo walipaswa kucheza kama wapenzi kwa kuhofia kumbusu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT EZEKIEL AFUNGUKA KUHUSU SUALA LA MUMEWE KUKAMATWA HUKO DUBAI

STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungw... thumbnail 1 summary

http://api.ning.com/files/MN6ZNqVOIKOj4UGweglrZ7yo2eHgFV0ZU-eQnP5tErLW4PbZZ9Zb84QoA41aCDvL26jOJJb5G7i9cBqgodCdlcfPSY-h3SI8/AUNTNADEMONTE.jpg?width=650

STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA JACK CLIF KUKAMATWANA MADAWA YA KULEVYA HUKO CHINA..RAY C AIBUKA NA KUBARIKI KUNYONWA KWA JACK CLIFF..SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa... thumbnail 1 summary

235a5edea41c11e2a03a22000a1fbd56_7 Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013. Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: