June 13, 2014

HIVI NDIVYO WASOMI WETU WANAVYOHANGAIKA KUPATA KAZI, WAPELEKWA UWANJA WA TAIFA KUPIGA MARATHON KWANZA

huu ndo muonekano wa watu walioenda kwenye interview ya idara ya uhamiaji uwanja wa taifa hiyo jana na wanahitajika ni 70 tu. thumbnail 1 summary

huu ndo muonekano wa watu walioenda kwenye interview ya idara ya uhamiaji uwanja wa taifa hiyo jana na wanahitajika ni 70 tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA KUOA MWANAMKE ALIYEKULIA MAISHA DUNI, NI KUJICHIMBIA KABURI NA KUKARIBISHA UMASKINI...HAWANA SHUKRANI KABISA,SOMA HAPA

Heshima kwenu wadau.. Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca.. Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe... thumbnail 1 summary

Heshima kwenu wadau..

Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..

Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLORA MBASHA AWAGAWA WACHUNGAJI BAADHI WASUSIA HUDUMA ZAKE KWA KUDAI HAWAWEZI KUWA NA MTU MZINZI

Mpasuko wa ndoa ya wasanii wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha na mkewe Florah umewagawa wachungaji wa makanisa mbalimbali nchini baa... thumbnail 1 summary

Mpasuko wa ndoa ya wasanii wa
nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha na
mkewe Florah umewagawa wachungaji
wa makanisa mbalimbali nchini baada
ya kibao kumgeukia Flora kwamba
ndiye anadaiwa kusuka mpango wa
kumwangamiza mumewe ili afungwe
kwa kosa la ubakaji.....
Wakizungumza na wanahabari wetu
kwa nyakati tofauti, wachungaji hao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOT NEWS: MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA KWA MIAEZI MITATU

Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy  Kamili Pichani  amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la thumbnail 1 summary

Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy 
Kamili Pichani  amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lori la mafuta lalipuka Mbeya...inahisiwa dereva aliasinzia...soma undani kamili hapa.

Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lo... thumbnail 1 summary
Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIBI KIZEE AZUA TAFRANI JIJINI MWANZA.......NI BAADA YA KUDAI AMEANGUKA KUTOKA ANGANI AKIWA NA WENZAKE BAADA YA KUGOMBANA WAKAMDONDOSHA.

Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni... thumbnail 1 summary

Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi kaanguka na ungo.

Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI NJEMA KWA WALIO AJIRIWA, KODI YA MISHAHARA KUPUNGUA

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13. thumbnail 1 summary

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI NJEMA KWA WALIOAJIRIWA,KODI YA MISHAHARA KUPUNGUA

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13. Serikali pia imeahid... thumbnail 1 summary

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini
cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE)
hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.
Serikali pia imeahidi kuongeza kima cha
chini cha mishahara, ambacho hata hivyo
hakikutajwa.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum
amelieleza Bunge mjini Dodoma kuwa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI NJEMA KWA WALIOAJIRIWA,KODI YA MISHAHARA KUPUNGUA

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13. Serikali pia imeahid... thumbnail 1 summary

SERIKALI imepunguza kiwango cha chini
cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE)
hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.
Serikali pia imeahidi kuongeza kima cha
chini cha mishahara, ambacho hata hivyo
hakikutajwa.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum
amelieleza Bunge mjini Dodoma kuwa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya Jux "Nitasubiri" kuzinduliwa jumapili hii ndani ya Billcanas

Video ya wimbo mpya wa Jux, ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa ham sana, hasa watu wakitaka kufahamu kama video queen thumbnail 1 summary

Video ya wimbo mpya wa Jux, ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa ham sana, hasa watu wakitaka kufahamu kama video queen

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vifo vya wasanii wanne mfulululizo...utabiri mzito watolewa tena,ni mbali na ule wa maalim Hassan,wasanii wazidi kuchangayikiwa.

HUKU  makovu ya maumivu ya kuondokewa mfululizo na mastaa wanne wa filamu za Kibongo katika kipindi cha mwezi mmoja yakiwa hayajapona n... thumbnail 1 summary

HUKU makovu ya maumivu ya kuondokewa mfululizo na mastaa wanne wa filamu za Kibongo katika kipindi cha mwezi mmoja yakiwa hayajapona nabii naye ameibuka na kuweka wazi utabiri wake mzito kuhusu wasanii nchini hivyo kuwa sanjari na Maalim Hassan Yahya Hussein.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIKANYAGE KANYAGE HATIMAYE LULU AFUNGUKIA PENZI NA NANDO WA BBA

Stori: Shakoor Jongo MTOTO  mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kufunguka kuwa amekerwa na kitendo cha mshiriki wa S... thumbnail 1 summary

Stori: Shakoor Jongo

MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kufunguka kuwa amekerwa na kitendo cha mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2013, Amir Khan Nando kujinadi kuwa aliwahi kuwa ‘mtu’ wake kitu ambacho si cha kweli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KANYE WEST AONDOA NENO ‘JAY Z’ KWENYE MASHAIRI YA NYIMBO ZAKE 3 WAKATI WA LIVE PERFORMANCE.

Kama ulidhani Kanye West alichukulia poa Jay Z na  Beyonce kuipotezea harusi yake na Kim Kardashian  mwezi uliopita, basi fikiria upya k... thumbnail 1 summary
Kama ulidhani Kanye West alichukulia poa Jay Z na Beyonce kuipotezea harusi yake na Kim Kardashian mwezi uliopita, basi fikiria upya kwakuwa Yeezy alimind.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CESC FABREGAS ASAJILIWA NA CHELSEA PICHA TAZAMA HAPA

Chelsea have signed former Arsenal midfielder Cesc Fabregas from Barcelona on a five-year deal. The Spaniard, 27, spent three years at... thumbnail 1 summary

Chelsea have signed former Arsenal midfielder Cesc Fabregas from Barcelona on a five-year deal. The Spaniard, 27, spent three years at Barca and joins the Blues

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHECK LIST YA MAKOCHA WANAOLIPWA MKWANZA MREFU KWENYE MPIRA WA MIGUU DUNIANI

Nikikuuliza kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa... thumbnail 1 summary
kapelooNikikuuliza kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa kocha wa zamani wa timu yataifa ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pichaz za utengenezaji wa video mpya ya Kala Jeremiah feat. Ney wa Mitego&Mo Music.

Hizi ni picha zitakazoonekana kwenye video mpya ya Kala Jeremiah ya wimbo wake unaoitwa Simu ya Mwisho,audio imetengenezwa na Mona Gangst... thumbnail 1 summary
18kalaHizi ni picha zitakazoonekana kwenye video mpya ya Kala Jeremiah ya wimbo wake unaoitwa Simu ya Mwisho,audio imetengenezwa na Mona Gangstar toka Classic Sound na upande wa video imetengenezwa na kampuni ya D360 Video chini ya Director Pablo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full time ya Brazil vs Croatia. Matokeo na wafungaji haya hapa

Hatimaye baada ya subira ya miaka minne, wapenzi wa soka ulimwenguni kote leo wamepata ladha ya fainali za michuano ya kombe la dun... thumbnail 1 summary


20140613-010343-3823241.jpgHatimaye baada ya subira ya miaka minne, wapenzi wa soka ulimwenguni kote leo wamepata ladha ya fainali za michuano ya kombe la dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AMEACHIA WIMBO HUU RASMI.. USIKILIZE NA KUDOWNLOAD HAPA

Ilitoka awali kama kitorondo kwa kiwango kibovu sana, Diamond aliongea na sammisago.com nakusema kuwa wimbo ulivuja na kuwa thumbnail 1 summary
Ilitoka awali kama kitorondo kwa kiwango kibovu sana, Diamond aliongea na sammisago.com nakusema kuwa wimbo ulivuja na kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII KALI SASA... JAMAA AAMUA KUFANYA SHEREHE BAADA YA MTU WASIYEMPENDA KUFARIKI DUNIA:

Kila siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi k... thumbnail 1 summary

hekaKila siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi kufariki dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJABU NA KWELI, TAZAMA PICHA/VIDEO YA ROBOT LA KWANZA LENYE MOYO NA UWEZO WA KUSOMA HISIA ZA MWANADAMU

Kampuni ya Soft Bank ya nchini Japan imetengeneza Robot ambayo ina uwezo ya kuwasiliana na kusoma hisia za mwanadamu. thumbnail 1 summary

Pepper-Personal-Robot-image-1-672x372

Kampuni ya Soft Bank ya nchini Japan imetengeneza Robot ambayo ina uwezo ya kuwasiliana na kusoma hisia za mwanadamu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: DIAMOND AELEZEA WALICHOZUNGUMZA NA MENEJA WA TREY SONGZ, KEVIN LILES ALIPOKUTANISHWA NAYE NA RAIS KIKWETE MAREKANI

Hivi karibuni Diamond Platnumz alipata nafasi ya kukutana na mtu mkubwa katika industry ya muziki wa Marekani Kevin Liles, ambaye ni r... thumbnail 1 summary

Hivi karibuni Diamond Platnumz alipata nafasi ya kukutana na mtu mkubwa katika industry ya muziki wa Marekani Kevin Liles, ambaye ni rais wa zamani wa Def Jam na kwasasa ni meneja wa muimbaji wa R&B Trey Songz na Big Sean.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wizi NMB Mwanga: Wakenya wawili wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Raia wawili wa Kenya, Samweli Saitoti (Saimoo) na Michael Kimani (Mike), wamehukumiwa kunyongwahadi kufa baada ya kupatikana na hatia y... thumbnail 1 summary

Raia wawili wa Kenya, Samweli Saitoti (Saimoo) na Michael Kimani
(Mike), wamehukumiwa kunyongwahadi kufa baada ya kupatikana na hatia
ya kumuua polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), PC Michael
Milanzi mwaka 2007.Raia hao ambao walipambana na polisi jijini Arusha
kwa saa sita wakijihami kwa silaha za kivita yakiwamo mabomu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI:- WAZIRI PROFESA TIBAIJUKA ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPATA AJALI YA GARI KUGONGA PUNDA-KAHAMA

Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba ... thumbnail 1 summary

Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka
amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba
kwenda Dodoma kugonga mnyama punda katika kijiji cha Wendele Wilayani
Kahama Mkoani Shinyanga.Walioshuhudia tukio hilo walisema lilitokea
jana majira ya saa 11 jioni ambapo garilenye namba za usajili STK

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE, UNAFAHAMU NINI KUHUSU USAJILI WA NDOANA TARAKA?

AINA ZA NDOANdoa ya mke mmoja, mume mmoja au inayokusudiwa kuwa ya mke mmoja, mumemmoja, na ndoa ya wake wengi au inayokusudiwa kuwa ya ... thumbnail 1 summary

AINA ZA NDOANdoa ya mke mmoja, mume mmoja au inayokusudiwa kuwa ya mke
mmoja, mumemmoja, na ndoa ya wake wengi au inayokusudiwa kuwa ya wake
wengi.Mamlaka ya kufungisha ndoa nchini Tanzania Bara yako mikononi
mwa:Ndoa za serikali, wakuu wa wilaya na makatibu tawala wa wilaya
ndio wenyemamlaka kisheria ya kufungisha ndoaNdoa za kidini,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: