June 25, 2014

Wajumbe wa CHADEMA waandamana hadi ofisi za CAG kuwasilisha barua za malalamiko ya Ufisadi ndani ya Chama Zisome hapa.

  Leo ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 78 wa baraza kuu na viongozi wengine wa mabaraza ya vij... thumbnail 1 summary
  Leo ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 78 wa baraza kuu na viongozi wengine wa mabaraza ya vijana na wanawake 4 na kufanya kuwa jumla ya wajumbe 82 kwa pamoja kuzungumzia maswala mbali mbali waliyosema yanatishia ustawi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bosnia waisaidia Nigeria kuwa timu ya kwanza kutoa Afrika kuingia hatua ya 16 Bora. FT Nigeria 2-3 Argentina.

Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Argentina. thumbnail 1 summary

Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Argentina.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STAILI NZURI KWENYE CHEMBA ZA 6 x 6 WAKATI WA USIKU .....

  Nasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kutokana na ama kutojua staili au kuwafikilia zaidi wanaume wawapo kw... thumbnail 1 summary

 

Nasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kutokana na ama kutojua staili au kuwafikilia zaidi wanaume wawapo kwenye majamvozi hivyo basi kwa kutambua hili nimeamua kuwadondoshea 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO MPYA YA DIAMOND, TIWA SAVAGE NA MR. FLAVA, DAVIDO, SARKODIE....NI HOOOT

MultiChoice Africa has launched it’s biggest  campaign yet, to celebrate Africa’s positivity , successes and the ability to  t... thumbnail 1 summary



MultiChoice Africa has launched it’s biggest 
campaign yet, to celebrate Africa’s positivity
, successes and the ability to
 tell the African story by Africans. The campaign
 dubbed “Africa Rising” is put up to honor
 and celebrate all that is

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mzee Yusuph jipange kwa maana Diamond Platnumz aivamia Taarabu... sikiliza wimbo wake hapa

Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana thumbnail 1 summary


Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZIFAHAMU DALILI ZA MSICHANA MWENYE MAPENZI KWAKO JAPO HAWEZI KUSEMA.....

  1 KUONGEA NA KUKAA MUDA MWINGI NA WEWE kama msichana anakupenda hatoichezea nafasi ya kukuona kukaa na kuongea na  wewe. Siku zote atat... thumbnail 1 summary
 

1 KUONGEA NA KUKAA MUDA MWINGI NA WEWE
kama msichana anakupenda hatoichezea nafasi ya kukuona kukaa na kuongea na wewe. Siku zote atatafuta nafasi ya kuongea au kukuona. Unapoongea naye anakuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuhusu uamuzi wa kocha wa Italy baada ya timu yake kuondolewa kombe la dunia.

  Muda mfupi baada ya timu yake ya Italia kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi... thumbnail 1 summary

20140625-080553-29153617.jpg


 Muda mfupi baada ya timu yake ya Italia kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Libya imeingia kwenye uchaguzi mpya kumaliza vurugu.

Raia wa Libya wamepiga kura hii leo katika uchaguzi wa kuchagua bunge jipya ambao ni muhimu kwa mustakabali wa nchi hiyo iliyokumbwa na... thumbnail 1 summary
libya
Raia wa Libya wamepiga kura hii leo katika uchaguzi wa kuchagua bunge jipya ambao ni muhimu kwa mustakabali wa nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko kwa miezi kadhaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa mpya ya Luis Suarez, hii ndio adhabu atakayopata akikutwa na hatia ya kumn’gata mchezaji mwenzake.

Mchezaji wa Uruguay Luis Suarez atakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kwa muda mrefu kucheza mechi zikiwemo za Kombe la dunia ikiwa atakut... thumbnail 1 summary
luisss
Mchezaji wa Uruguay Luis Suarez atakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kwa muda mrefu kucheza mechi zikiwemo za Kombe la dunia ikiwa atakutwa na hatia ya kumng’ata mchezaji mwenzake wa Italia Giorgio Chiellini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lupita Nyong’o Athibitisha Kuwa na uhusiano wa Kimapenzi na Rapa Huyu.

Lupita amezidi kuchukua headlines za vyombo mbalimbali vya habari tangu afanikiwe kuchukua tuzo za Oscar na kutajwa kama mwanamke mr... thumbnail 1 summary

Lupita amezidi kuchukua headlines za
vyombo mbalimbali vya habari tangu
afanikiwe kuchukua tuzo za Oscar na
kutajwa kama mwanamke mrembo zaidi
duniani, sasa amethibitisha kuhusu upande
wake wa mahusiano kuwa ni kweli ana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MILARD AYO AFICHUA SIRI NZITO YA WEMA SEPETU,SOMA ZAIDI HAPA.....

Watu wengi sana watakuwawanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm ... thumbnail 1 summary

Watu wengi sana
watakuwawanamfahamu mkali huyu wa
kuwakilisha habari kali za nguvu kwa
watu wake kupitia kipindi chake cha
ClaoudsFm cha Amplifaya, Milard Ayo
amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TBS yakamata Shehena ya Nguo za Ndani za Mitumba

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekamata shehena ya marobota ya nguo za ndani za mitumba ambazo thamani yake haijajulikana kwa kuw... thumbnail 1 summary

Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
limekamata shehena ya marobota ya nguo
za ndani za mitumba ambazo thamani yake
haijajulikana kwa kuwa zimechangaywa na
nguo za watoto.
Mkaguzi wa TBS, Donald Manyama alisema
wamefanikiwa kukamata nguo hizo juzi
bandarini zikiwa kwenye kontena mbili
ambapo walilazimika kuongozana na
wahusika ambao ni Kampuni ya Dema ili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Batuli: Sijawahi kula hela ya mume wa mtu na kamwe siwezi kuugeuza mwili wangu kuwa mtaji

Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya fillamu Yobnesh Yusuph 'Batuli' amefunguka na kudai kuwa hajawahi kula hela ... thumbnail 1 summary

Staa wa kike anayefanya vizuri katika
tasnia ya fillamu Yobnesh Yusuph 'Batuli'
amefunguka na kudai kuwa hajawahi
kula hela ya mume wa mtu na kama
watu wanamhisi hivyo basi watakuwa
wanakosea sana.....
Batuli alitoa kauli hiyo ili kuwathibitishia
mashabiki wake juu ya kauli mbovu za
watu kuwa urembo wake unategemea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tangazo la Nafasi za Mafunzo na Kazi toka RafikiElimu Foundation.....Ada ya mafunzo ni BURE.

Taasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia MRADI WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA inatangaza nafasi za mafunzo ya UANDAAJI NA UTENGENEZAJI... thumbnail 1 summary

Taasisi ya RafikiElimu Foundation
kupitia MRADI WA WANAWAKE SALAMA
TANZANIA inatangaza nafasi za mafunzo
ya UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA
VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA WAGONJWA
NA WENYE MATATIZO MBALIMBALI YA
KIAFYA.
Wahitimu wa mafunzo haya watapata
nafasi ya kufanya kazi kama waandaji
na watayarishaji wa Vyakula –Lishe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kitale akana kulinasa penzi la Penny

Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na ... thumbnail 1 summary

PENNY

Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BANGI ZAMDATISHA BABY MADAHA, TAZAMA HAPA ALICHOKIZUNGUM

Baby Madaha mwigizaji wa filamu Swahiliwood BABY Madaha mwigizaji wa kike wa filamu Bongo amejinadi kuwa yeye ndio atakuwa Rais wa kw... thumbnail 1 summary

Baby Madaha

Baby Madaha mwigizaji wa filamu Swahiliwood
BABY Madaha mwigizaji wa kike wa filamu Bongo amejinadi kuwa yeye ndio atakuwa Rais wa kwanza wa kike Tanzania, na ili kufanikisha ndoto yake hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAJENTI AFUNGUKA HAYA, SIMTOI MWANANGU KWA CHAZ BABA NG’O

BAADA  ya mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ kudai ana mpango wa kumchukua mwanaye ili akaishi ... thumbnail 1 summary



BAADA ya mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ kudai ana mpango wa kumchukua mwanaye ili akaishi naye, hatimaye mzazi mwenzake, Husna Idd ‘Sajenti’,  amesema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PATA PICHA HII NGUO ANGEVAA WEMA SEPETU, UNAFIKIRI MAGAZETI YANGEANDIKA NN???

Pata sinema kama mwanadada maarufu wa Bongo angetinga hiki kiwalo?? mmmmh kweli wa bongo nuksi angesemwa yeye na msidiria wake na maga... thumbnail 1 summary

Pata sinema kama mwanadada maarufu wa Bongo angetinga hiki kiwalo?? mmmmh kweli wa bongo nuksi angesemwa yeye na msidiria wake na magazetini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU KATIKA BIFU JIPYA NA WASANII HAWA ! SOMA FULL STORY HAPA

Baada ya msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael kuwakana waimbaji wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi lijulikanalo kwa ji... thumbnail 1 summary



Baada ya msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael kuwakana waimbaji wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi lijulikanalo kwa jina la mapacha kuwakana kufanyanao wimbo unaojulikana kwa jina la   ‘Time For The Money’. mapya yaibuka.. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baby Madaha : "Wema Sepetu Tuachie Na Sisi Huyo Diamond Tumfaidi "

Star wa filamu na muziki wa Bongoflava Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea penzi la Diamond Platnumz na kumtaka Wema Sepetu awaachie na... thumbnail 1 summary

Star wa filamu na muziki wa Bongoflava
Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea
penzi la Diamond Platnumz na kumtaka
Wema Sepetu awaachie na wao Diamond
a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama
anavyojiachia.
Chanzo kimoja kilicho karibu na Baby
Madaha ambacho pia kinafanya juu chini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA yakumbwa na Majanga tena...Vigogo 82 wawatolea Uvivu Mbowe na Slaa, Madai ya Ufisadi kufikishwa kwa msajili wa vyama

BAADA ya kujaribu kuficha migogoro nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa migogoro ameibuka ten... thumbnail 1 summary

BAADA ya kujaribu kuficha migogoro
nyuma ya kichaka cha Umoja wa Katiba ya
Wananchi (UKAWA), hatimaye bundi wa
migogoro ameibuka tena ndani ya
CHADEMA.
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwemo
mvutano kutokana na kile kinachodaiwa
ukiukwaji wa Katiba na matumizi mabaya
ya madaraka na fedha za chama.
Hatua hiyo ilisababisha baadhi ya viongozi
wakiwemo wa ngazi za juu kuvuliwa
uanachama na wengine kutimuliwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kajala Masanja adai hana hamu ya kuendelea kuishi Tanzania

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi... thumbnail 1 summary

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja
amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa
ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya
kuendelea kuishi nchini kutokana na
kuzushiwa mambo kila kukicha.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko
wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali Yajibu hoja ya Ukosefu wa Ajira Nchini.....Yatumia Mawaziri wanne kujibu Mapigo, yawataka wapinzani kuacha Uchonganishi

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu tatizo la ajira nchini, huku wanasiasa waliozungumzia tatizo hilo kuwa ni bomu, wakitakiwa kutoa usha... thumbnail 1 summary

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu tatizo la
ajira nchini, huku wanasiasa
waliozungumzia tatizo hilo kuwa ni bomu,
wakitakiwa kutoa ushauri wa namna ya
kulitegua au kupunguza athari zake kama
likilipuka.
Mbali na ushauri huo, Serikali pia
imewataka wanasiasa wanaotumia tatizo
hilo kisiasa, kuonesha mfano wa kusaidia
vijana katika majimbo yao kwanza, badala
ya kusubiri siku wakipewa nchi.
Mawaziri wanne walitumia muda wao jana
kujibu hoja hiyo, ambayo ni hoja lulu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Polisi Yatangaza Msako Mkali kwa watu waliomuu Sista wa Kanisa Katoliki....Msako huo utahusisha Traffiki Wote,Askari wa doria, Wapelelezi na Askari wa kawaida

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Paro... thumbnail 1 summary

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu
waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa
Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar
es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50),
ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi.
Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari
wa doria wanaotumia pikipiki na magari,
wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAUME TU: TYPE HII YA WANAWAKE USIBONYEZE...NI SHIDAAA AISEEE...!

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….. 1.Demu wako wa zamani Ni v... thumbnail 1 summary

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASANII WABONGO NA NINYI KUWENI WABUNIFU BANA, KUMBE PICHA ZENU ZA UCHI HUWA MNAMUIGA HUYU DADA. ANGALIA PICHA HIZI

Angalia ile picha  anavyoonyesha nyeti, hapa si kama wasanii wabongo? Sasa  utaamini mwenyewe kama hawa wasanii kazi yao ni kuig... thumbnail 1 summary


Angalia ile picha  anavyoonyesha nyeti, hapa si kama wasanii wabongo? Sasa 
utaamini mwenyewe kama hawa wasanii kazi yao ni kuiga tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA ZA MASTA LEO HUKO INSTAGRAM...



Hamisa Mabeto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJIRA: Haya ni Majina ya Walimu Wapya ( na vituo vya kazi ) waliohitimu vyuo vya Ualimu mwaka 2013 ambao hawakubahatika kupangiwa hapo awali

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu Mwaka 2013 kuchukua nafasi za w... thumbnail 1 summary

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa ajira ya Machi 2014.

Baadhi ya waombaji hawakupangiwa vituo vya kazi kutokana na kutokuwa na sifa zinazostahili kuajiriwa katika utumishi wa umma kwa mfano:- umri na maombi kutoambatanishwa na vithibitisho muhimu n.k.


Maelekezo kwa Walimu Ajira Mpya
1. Kuripoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri walizopangiwa kwa ajili ya kupangiwa vituo kuanzia tarehe 25/6/2014, hadi tarehe 30/6/2014.
2. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 30/6/2014 hatapokelewa tena na nafasi yake atakuwa ameipoteza.
3. Walimu hawa ni wa kuziba nafasi zilizoachwa wazi kufuatia Orodha iliyotangazwa Machi 2014 hivyo OWM – TAMISEMI haitafanya mabadiliko  yeyote ya vituo katika orodha hii.

Yafuatayo  ni  Majina  ya  Walimu   Wapya   (  na  vituo  vya  kazi  )  waliohitimu  vyuo  vya  Ualimu  mwaka  2013 
-------------------------------------------------------------------

1. Walimu  wa  Astashahada   <<  Bofya  Hapa >>

2. Walimu  wa  Stashahada    <<  Bofya  Hapa >>

3. Walimu  wa   Shahada   <<  Bofya  Hapa >> 
- See more at: http://langolajiji.blogspot.com/2014/06/ajira-haya-ni-majina-ya-walimu-wapya-na.html#sthash.CARMbALZ.dpuf

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YABAINIKA SASA KUMBE SNURA ANA MIMBA, BABA KIJACHO ATAJWA

Snura Mushi KWA mujibu wa mtu wa karibu wa mwanadada Snura ambaye jina lake thumbnail 1 summary

Snura Mushi

KWA mujibu wa mtu wa karibu wa mwanadada Snura ambaye jina lake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LUIS SUAREZ AENDELEZA UVAMPIRE, AMNG'ATA MCHEZAJI WA ITALIA UWANJANI, HII NI MARA YA TATU

tabia ya mchezaji wa liverpool kung'ata wachezaji wa timu pinzani imendelea kushika kasi mara baada ya hii leo mcheza ji huyo kumng&#... thumbnail 1 summary
tabia ya mchezaji wa liverpool kung'ata wachezaji wa timu pinzani imendelea kushika kasi mara baada ya hii leo mcheza ji huyo kumng'ata mchezaji wa timu ya italy  Giorgio Chiellini  , suarez alimkita meno katika parika za kujipanga kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BILA KUJALI ENGLAND KUTOLEWA WORLD CUP, MKE WA ROONEY AONEKANA AKITANUA MBUGA ZA WANYAMA

katika kile kilichotafsiriwa kama kujipunguzia machungu na kukamilisha ziara ya brazil kombe la dunia , mke wa star wa timu ya taifa ya... thumbnail 1 summary

katika kile kilichotafsiriwa kama kujipunguzia machungu na kukamilisha ziara ya brazil kombe la dunia , mke wa star wa timu ya taifa ya uingereza Rooney amewapeleka watoto wa mchezaji uyo katika moja wapo ya zuu kubwa nchini brazil bila kujali kutolewa kwa mumewe katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA DADA WA MCHEZAJI WA ARSENAL THEO WALCOTT ALIVYO NA MISULI, JOHN CENA HAONI NDANI

kwa haraka haraka ukiangalia mchezaji wa arsenal jinsi alivyo sura yake ya mvuto na mpole bila shaka wengi wamekuwa wakisema "sipat... thumbnail 1 summary

kwa haraka haraka ukiangalia mchezaji wa arsenal jinsi alivyo sura yake ya mvuto na mpole bila shaka wengi wamekuwa wakisema "sipati picha dada yake yuko vipi atakua wa ukweli balaa" ukweli ni kwamba umzaniae ndiye kumbe sie, dada wa mwanasoka huyo ni kipande cha mtu na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: