February 24, 2016

Ray C, Adai Analazimika Avae ‘Ninja’ ili Aweze Kutumia Usafiri wa Daladala....Aomba Msaada Kwa Wenye Uwezo

Msanii wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hali yake ya uchumi imekuwa mbaya zaidi hadi anashindwa kumudu baadhi ya gharam... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hali yake ya uchumi imekuwa mbaya zaidi hadi anashindwa kumudu baadhi ya gharama za maisha yake. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STAMINA FAKE AIBUKA INSTAGRAM, ACHAFUA HALI YA HEWA

kupitia akaunti yake ya Instagram rapper Stamina ametoa tahadhari kwa umma na mashabiki zake kuwa makini kwani kuna mtu mwingine anayet... thumbnail 1 summary

kupitia akaunti yake ya Instagram rapper Stamina ametoa tahadhari kwa umma na mashabiki zake kuwa makini kwani kuna mtu mwingine anayetumia jina lake kwenye mtandao wa Instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LICHA YA KILA MMOJA KUPOST PICHA ZA MWENZAKE, HARMONIZA AMKANA HUDDAHLICHA YA KILA MMOJA KUPOST PICHA ZA MWENZAKE, HARMONIZA AMKANA HUDDAH

By:Nasri Bakari BossNgasa Official Website Msanii wa bongo fleva ambaye yuko chini ya lebo ya wasafi classic,Harmonize amekanusha ku... thumbnail 1 summary

By:Nasri Bakari BossNgasa Official Website
Msanii wa bongo fleva ambaye yuko chini ya lebo ya wasafi classic,Harmonize amekanusha kuwa anatoka kimapenzi na staa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tekno kahojiwa kwenye Radio… hataki tena kuulizwa kuhusu Mrembo Mtanzania Gigy money.

Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa Nigeria Tekno  kwenye show ya Dar es salaam walipata kili... thumbnail 1 summary

Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa NigeriaTekno kwenye show ya Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya ‘wash‘ kuripotiwa kulala na Mrembo wa kitanzania

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama ni mtumiaji wa Instagram Tanzania inabidi uyajue haya mabadiliko.

Walisema Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa mtandao wa kijamii wa Instagram na ndio maana naamini mabadiliko yaliyo... thumbnail 1 summary
Walisema Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa mtandao wa kijamii wa Instagram na ndio maana naamini mabadiliko yaliyotokea yanatakiwa kuwafikia Watanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech

Usiku wa February 23 klabu ya  FC Barcelona  ya  Hispania  ilikuwa imesafiri kutoka Hispania  hadi  London Uingereza  kukutana na  ... thumbnail 1 summary

Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona ya Hispania ilikuwa imesafiri kutokaHispania hadi London Uingereza kukutana na Arsenal katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika, mchezo ambao ulikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: