July 08, 2014

Kuhusu kipa Ochoa wa Mexico kuwa na vidole sita – ukweli huu hapa

Katika michuano ya kombe la dunia kumeibuka wachezaji wengi ambao wameonyesha uwezo mkubwa kiasi cha kuteka hisia za watu wengi, mmoj... thumbnail 1 summary


BqWzg71CIAAhaGC
Katika michuano ya kombe la dunia kumeibuka wachezaji wengi ambao wameonyesha uwezo mkubwa kiasi cha kuteka hisia za watu wengi, mmoja wapo ni golikipa wa Mexico Guillermo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Neno alilosema Bob Junior baada ya kuulizwa kama anatumia rangi ya mdomo.

Kwenye picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka thumbnail 1 summary


bobKwenye picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndiyo sehemu nyingine waliyohalalisha matumizi ya Bangi

Unaambiwa Matumizi ya Bangi kama kiburudisho yamehalalishwa kutumika kwenye jimbo la Washington nchini Marekani. thumbnail 1 summary


ganjaaaaUnaambiwa Matumizi ya Bangi kama kiburudisho yamehalalishwa kutumika kwenye jimbo la Washington nchini Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BILIONEA WA LAKE OIL ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMTESA MFANYAKAZI WAKE

Mfanyakazi aliyeteswa. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni bilionea Ally Edha Awadhi ambaye ni mmiliki wa Kamp... thumbnail 1 summary


Mfanyakazi aliyeteswa.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni bilionea Ally Edha Awadhi ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Lake Oil ya Mikocheni jijini Dar es Salaam kutokana na madai ya kumtesa mfanyakazi wake. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIO ALAMA 11 ZA KUKUONESHA KUWA MPENZI WAKO SIO MWAMINIFU.

Katika Jamii Ya Sasa Kumekuwa na Kusalitiana kwa Wapenzi kwa kiwango cha Juu sana, na wengine wamekuwa wakifanya usaliti huo kwa siri s... thumbnail 1 summary

Katika Jamii Ya Sasa Kumekuwa na Kusalitiana kwa Wapenzi kwa kiwango cha Juu sana, na wengine wamekuwa wakifanya usaliti huo kwa siri sana. Zifuatazo ni signs 11 za kutaka kubaini mtu mwenye tabia ya ku-cheat. Ishara moja pekee haiwezi kukusababishia uka fikia hatma ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIYO MAMBO YA PWANI.. NISHIDAAAAH!! JIONEE MWENYEWEEE HAPA

Jinsi ya kupata Utamu a.k.a Kileleni..... Kama ambavyo wengi tunatambua kuwa sehemu kubwa (asilimia 99.5) ya kufurahia ngono ni Map... thumbnail 1 summary

Jinsi ya kupata Utamu a.k.a Kileleni..... Kama
ambavyo wengi tunatambua kuwa sehemu
kubwa (asilimia 99.5) ya kufurahia ngono
ni
Mapenzi ya kweli juu ya mpenzi wako
ikisaidiwa na utundu wako wewe
mwenyewe mwanamke na sio mwanaume
japokuwa baadhi ya wanawake hutegemea
wanaume wawafanyie kila kitu mpaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU KWANINI WASICHANA HUWA WANAKUKIMBIA...NA KIPI UFANYE KUEPUKA HILO.

1. Wakikosa attention yako. Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakoseka... thumbnail 1 summary

1. Wakikosa attention yako. Wasichana
hupenda pale wanapofahamu kuwa
unawasikiliza na unafahamu nini wao
wanahitaji. Kama kutakosekana
mawasiliano mazuri na atagundua hilo
atauona uhusiano huo haumtimilizii haja
zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa.
Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati
penzi analolihitaji atatafuta mwingine
ambaye yupo tayarkumtimizia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIE ANAEJINADI KUWA YEYE NI BIKRA

Diana akiwa katika pozi. "Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu Mwigi... thumbnail 1 summary

Diana akiwa katika pozi.
"Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi
kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana
familia yangu baba yangu Mwigizaji wa kike
anayetesa katika tasnia ya filamu
Bongo Diana Rose kimaro 'Diana' amedai
kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ATOA SABABU ZA YEYE ZA KWANIN HAKUPANDA JUKWAANI KWENYE TUZO ZA BET AWARDS BAADA YA DAVIDO KUWAITA

WALIOKUWA WANAJIULIZA KWANINI DIAMOND HAKUPANDA JUKWAANI DAVIDO ALIPOPATA TUZO YA BET??....JIBU HILI HAPA... Kuhusu kwanini Diamond hakup... thumbnail 1 summary

WALIOKUWA WANAJIULIZA KWANINI DIAMOND HAKUPANDA JUKWAANI DAVIDO ALIPOPATA TUZO YA BET??....JIBU HILI HAPA... Kuhusu kwanini Diamond hakupanda jukwaani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJINA 403 YA WAUZA UNGA YAANIKWA:NI WABONGO WALIOKAMATWA UGHAIBUNI...WAPO WAFANYABIASHARA WAKUBWA NA WASANII.. WAONE HAPA

HATIMAYE gazeti namba moja kwa habari za uchunguzi Tanzania, JIJI LETU limeyanasa majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kus... thumbnail 1 summary
HATIMAYE gazeti namba moja kwa habari za uchunguzi Tanzania, JIJI LETU limeyanasa majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALICHOKISEMA WEMA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA DIAMOND PLATINUMZ

Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari  zilidai thumbnail 1 summary
mamaD
Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari  zilidai

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWA HAYA:BABY MADAHA AENDA KWAO KUTAMBIKA,,,MWENYEWE ATIRIRIKA

Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha anadaiwa kwenda kijijini kwao kutambika baada ya kuona mambo yake yanamwendea kombo. thumbnail 1 summary
Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha anadaiwa kwenda kijijini kwao kutambika baada ya kuona mambo yake yanamwendea kombo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA KUJUA KATI YA DIAMOND NA DAVIDO WADAU WANASEMA NANI MKALI JUKWAANI..SHUKA NAYO!!

Davido na Diamond ni wasanii wakali Afrika na wamewahi kushiriki tuzo nyingi kubwa za Afrika na duniani kama vile BET, AFRIMMA, MAMA AWAR... thumbnail 1 summary
Davido na Diamond ni wasanii wakali Afrika na wamewahi kushiriki tuzo nyingi kubwa za Afrika na duniani kama vile BET, AFRIMMA, MAMA AWARDS n.k

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz kamzawadia hili gari mama yake jana.

Ingawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila... thumbnail 1 summary
69bdyIngawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja wake kwa ajili ya kuiwasilisha kwa mama yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz kamzawadia hili gari mama yake jana.

Ingawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila... thumbnail 1 summary
69bdyIngawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja wake kwa ajili ya kuiwasilisha kwa mama yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya wadogo zake, kaka yao P Square kumuoa huyu mwanamke

Baada ya kuwashuhudia wadogo zake Peter na Paul wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye ameamua kufunga ndoa na mchumba wake Ifeoma Umeok... thumbnail 1 summary


OKOYE33
Baada ya kuwashuhudia wadogo zake Peter na Paul wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye ameamua kufunga ndoa na mchumba wake Ifeoma Umeokeke ambaye ameshamvisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA HII NDIYO IDADI YA MASTAA WA KIKE WA BONGO AMBAO PHD HEMEDI AMESHATEMBEA NAO TENA BILA KINGA

Muigizaji wa filamu za kibongo Hemed Suleiman  amesema yeye hana mazoea ya kutumia kinga wakati akifanya mapenzi. thumbnail 1 summary

Muigizaji wa filamu za kibongo Hemed Suleiman  amesema yeye hana mazoea ya kutumia kinga wakati akifanya mapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADEMU WANASEMA ET HUYU NDO MWANAMUZIKI ANAEONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA BONGO, KAWAFANUKA KINA DIAMOND, HEMED NA WENGINE

   J ux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanz... thumbnail 1 summary

 

 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE UNAMJUA TAJIRI AMBAYE DIAMOND PLATINUMZ KAJIPACHIKA JINA LAKE? (DANGOTE) TOKA NIGERIA CHEKI HAPA MALI ANAZOMILIKI

Aliko Dangote (aliyekaa ) akiwa katika moja ya ofisi zake huyu ni tajiri mkubwa nigeria na afrika kwa ujumla ambapo inasemekana anakosa... thumbnail 1 summary
Aliko Dangote (aliyekaa ) akiwa katika moja ya ofisi zake

huyu ni tajiri mkubwa nigeria na afrika kwa ujumla ambapo inasemekana anakosa pesa kidogo kumfikia billlgate kwa sasa, jamaa anamiliki kampuni kubwa zaidi ya ishirini na yumba za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: