November 21, 2014

Ukweli kuhusu utajiri wa Real Madrid.

Real M adrid iko mbioni kutimiza mwaka wake wa 10 huku ikiwa inaongoza kama taasisi ya michezo linapokuja suala la mapato au faida inay... thumbnail 1 summary

Real-Madrid-new-shirt

Real M adrid iko mbioni kutimiza mwaka wake wa 10 huku ikiwa inaongoza kama taasisi ya michezo linapokuja suala la mapato au faida inayotengenezwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kipa wa Chelsea yuko sokoni.

Klabu za Arsenal , Liverpool na Real Madrid ziko kwenye vita kali ya kuwania kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech . thumbnail 1 summary

Chelsea+v+Southampton+Premier+League+aQgqk_Wv1pBx

Klabu za Arsenal , Liverpool na Real Madrid ziko kwenye vita kali ya kuwania kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sentensi 5 za Adebayor kuhusu kumfukuza kwake mama yake na kumtelekeza

Mapema leo asubuhi ilitoka habari kuhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Togo kumfukuza mama yake kwenye moja ya nyumba zake huko nchini Tog... thumbnail 1 summary
Adebayor-and-mumMapema leo asubuhi ilitoka habari kuhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Togo kumfukuza mama yake kwenye moja ya nyumba zake huko nchini Togo kutokana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hivi ndivyo Whatsapp imevunja ndoa ya wawili hawa…

Wiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pi... thumbnail 1 summary
whatsapp2Wiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pia inaonyesha muda ambao mtu uliyemtumia message hiyo ameisoma, tayari kuna ndoa ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASOGANGE AWATUKANA WANAUME WANAOMPELEKEA HABARI ZAKE KWA JAMAA YAKE WA SAUZI

Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE an... thumbnail 1 summary


Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake  huko SAUZI kupitia jamaa ambao wanampa ripoti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMAZING ! Binti Wa Miaka 5 Abadilisha Maisha Ya Familia Yake.

Binti Mdogo Abadilisha Maisha Ya Familia Yake Kutoka Katika Hali Ya Kawaida Na Kuwa Katika Maisha Ya Hali Ya Juu,Jina Lake Anaitwa Brea... thumbnail 1 summary
Binti Mdogo Abadilisha Maisha Ya Familia Yake Kutoka Katika Hali Ya Kawaida Na Kuwa Katika Maisha Ya Hali Ya Juu,Jina Lake Anaitwa Breanna.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamke Aweka Historia ya Kubeba Mimba Miezi 9 Bila Kujua.

Mara nyingi ni vigumu kwa mwanamke kugundua kuwa ameshika mimba katika siku za mwanzo za mtungo hadi pale atakapokosa kuoa siku zake za ... thumbnail 1 summary

pregn

Mara nyingi ni vigumu kwa mwanamke kugundua kuwa ameshika mimba katika siku za mwanzo za mtungo hadi pale atakapokosa kuoa siku zake za hedhi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto na Kafulila Walibezwa na Kudhallilishwa je Waliowadhalilisha leo Wanajisikiaje?

Kiukweli nilisikitika sana pindi nilipoangalia bunge na kumsikia AG akimdhalilisha Kafulila kwa kumuita tumbili ulikuwa ni ubaguzi wa h... thumbnail 1 summary
Kiukweli nilisikitika sana pindi nilipoangalia bunge na kumsikia AG akimdhalilisha Kafulila kwa kumuita tumbili ulikuwa ni ubaguzi wa hali ya juu mwafrika kumuita mwafrika mwenzake tumbili tunayaona ulaya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sina Mahusiano na Sitti Mtemvu- Lundenga

Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefunguka na kuweka wazi kuwa hana mahusiano ya kimapenz... thumbnail 1 summary
Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefunguka na kuweka wazi kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mshindi wa kwanza wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diva @divathebawse Na Kampuni Yake Inakuletea Bonge La Party Ya Kufunga Mwaka 2014.

Diva a.k.a divathebawse anakuletea tena Bonge la Event ya kufunga mwaka huu hii ni baada ya Mashabiki wake kuwa na kiu kubwa ya Event ba... thumbnail 1 summary
Diva a.k.a divathebawse anakuletea tena Bonge la Event ya kufunga mwaka huu hii ni baada ya Mashabiki wake kuwa na kiu kubwa ya Event baada ya ile ya Diva With Friends "Turn Down For What" kufanya poa. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO MSANII ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO ZENYE MAJINA YA NGWAIR NA GEEZ MABOVU KIFUANI KWAKE.

Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu. thumbnail 1 summary
IMG-20141120-WA0005
Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROMA MKATOLIKI AFUNGUKA ‘ASIKWAMBIE MTU HAKUNA WATU WENYE STRESS KAMA WASANII’

Lawama‬ zinakuwa nyingi sana naona!!! Na wengi mnazipeleka eneo moja tu!! Askwambie mtu hakuna watu wenye ‪#‎Stress‬ kama sisi ‪#‎wasa... thumbnail 1 summary
Roma Tanzania_full
Lawama‬ zinakuwa nyingi sana naona!!! Na wengi mnazipeleka eneo moja tu!!
Askwambie mtu hakuna watu wenye ‪#‎Stress‬ kama sisi ‪#‎wasanii‬ aaaf mbaya zaidi sisi wengi wetu hatuwezi kuishinda hiyo ‪#‎Challenge‬ finally tunafail!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU MICHAEL ‘MASHAROBARO HAWANA NAFASI KWANGU KWENYE MAPENZI, KWA SABABU HAWAFIKIRII MAISHA KABISA’

Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimape... thumbnail 1 summary
LULU MICHAEL MAPESA
Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na masharobaro akidai kuwa siku zote ni pasua kichwa ila anazimikia watu wazima waliomzidi sana umri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIKIBA AJIBU TUHUMA ZA KUMTUMIA R.KELLY KUJIONGEZA KIMUZIKI

Mwana DSM hitmaker Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya ONE 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa wa afrika waliteuliwa n... thumbnail 1 summary

Mwana DSM hitmaker Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya ONE 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa wa afrika waliteuliwa na kwenda nchini marekani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uliwahi kuufikiria muunganiko wa Jaguar wa Kenya na Iyanya? single yao mpya iko hapa

Staa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya y... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-21 at 1.55.07 AMStaa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Na hii imfikie kila shabiki wa Manchester United!

Club hii imeripotiwa kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Victor Valdez  baada ya kufanya nae mazoezi kwa m... thumbnail 1 summary
Manchester-UnitedClub hii imeripotiwa kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya HispaniaVictor Valdez baada ya kufanya nae mazoezi kwa muda wa karibu mwezi mzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa ni wanawake pekee waliopo kwenye listi ya watu Matajiri zaidi Afrika.

Isabela dos Santos Unajua kwamba kwenye listi ya matajiri 50 Afrika kuna wanawake wawili wanaoingia kwenye listi ya matajiri hao? thumbnail 1 summary
Isabela dos Santos
Isabela dos Santos
Unajua kwamba kwenye listi ya matajiri 50 Afrika kuna wanawake wawili wanaoingia kwenye listi ya matajiri hao?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: