December 10, 2015

DUU!! MWANAMITINDO KATIMIZA AHADI YAKE YA KUVUA NGUO BAADA YA PALMEIRAS KUTWAA UBINGWA …(+PICHAZ)

Headlines za Brazil kufanya vizuri katika soka zimekuwa kawaida sana ila siku hizi hii ni mpya kutoka kwa mashabiki wao, inashang... thumbnail 1 summary



Headlines za Brazil kufanya vizuri katika soka zimekuwa kawaida sana ila siku hizi hii ni mpya kutoka kwa mashabiki wao, inashangaza kidogo, tumewahi kusikia Mrisho Ngassaakiahidi kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndio Top 10 ya wachezaji soka maarufu katika mtandao wa Instagram duniani …

Mtandao wa kijamii wa Instagram umeanzishwa miaka mitano iliyopita ila toka kuanzishwa kwake unatajwa kuwa miongoni mwa mitandao ya kijam... thumbnail 1 summary
Mtandao wa kijamii wa Instagram umeanzishwa miaka mitano iliyopita ila toka kuanzishwa kwake unatajwa kuwa miongoni mwa mitandao ya kijamii inayokuwa kwa kasi zaidi duniani, huu ndio mtandao ambao maarufu kwa watu kupost picha na video zao. December 10 mtu wangu naomba nikusogezee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama Louis van Gaal ataondoka Man United, hii ndio list ya makocha watano wanaotajwa kurithi nafasi yake …

Klabu ya Manchester United ambayo bado inahusishwa kuwa katika kipindi kigumu cha mpito, kwani toka aondoke aliyekuwa kocha wa klabu hiyo... thumbnail 1 summary
Klabu ya Manchester United ambayo bado inahusishwa kuwa katika kipindi kigumu cha mpito, kwani toka aondoke aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Sir Alex Fergusonkunaonekana kutokuwa na matokeo mazuri kwa timu hiyo licha ya kuwa Louis van Gaalni kocha wa pili kuifundisha Man

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa mashabiki waliwekwa chumba kimoja na Justin Bieber bila kujua ni suprise. (suprise video)

Mwimbaji  Justin Bieber  ambaye sasa hivi jina lake linatajwa sana kwenye Radio na TV kutokana na hit single yake ya  ‘sorry’  alii... thumbnail 1 summary
Mwimbaji Justin Bieber ambaye sasa hivi jina lake linatajwa sana kwenye Radio na TV kutokana na hit single yake ya ‘sorry’ aliitwa kwenye TV show

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hat-trick ya Giroud yaipeleka Arsenal 16 bora, Cheki matokeo ya mechi za UEFA Dec 9 na list ya 16 bora (+Pichaz&Video)

Michezo ya kuhitimisha hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani  Ulaya  imeendelea tena usiku wa December 9 kwa kupigwa mechi na... thumbnail 1 summary
Michezo ya kuhitimisha hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea tena usiku wa December 9 kwa kupigwa mechi nane baada ya usiku wa December 8 kupigwa michezo nane ya Kundi ABC na D ila December 9

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jibu la Ronaldo baada ya kunong’onezana na kocha wa PSG, ni kweli anahamia PSG? Jibu lipo hapa …

Headlines za staa wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo kama ataendelea kuitumikia klabu hiyo au ataihama izmechukua nafasi. Sababu k... thumbnail 1 summary
Headlines za staa wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo kama ataendelea kuitumikia klabu hiyo au ataihama izmechukua nafasi. Sababu kubwa zinatajwa ni namna mwenendo wa timu yake ulivyo sasa, wengi wamekuwa wakisema hana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMZIKI DIAMOND PLATNUMZ ASHTUKA,AGOMA KUTOA WIMBO MPYA KWA SASA,HIZI HAPA NDIO SABABU

Diamond Platnumz MWANAMUZIKI wa Afro Pop, Diamond Platinum anatamani kuachia ngoma nyingine lakini amekiri kupata kikwazo kutokana na... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz

MWANAMUZIKI wa Afro Pop, Diamond Platinum anatamani kuachia ngoma nyingine lakini amekiri kupata kikwazo kutokana na matokeo ya Wimbo wa Nana aliouachia mara ya mwisho.
Diamond au Chibu amefunguka kuwa kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KASI YA RAIS MAGUFULI YAIBUA UPYA SAKATA LA UBOMOAJI WA JENGO LA GHOROFA 16 AMBALO LILIAMIWA LIBOMOLEWE TANGU 2013

Kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli, imeibua upya sakata la ubomoaji wa jengo la ghorofa 16 ambalo serikali iliamuru libomolewe baada ... thumbnail 1 summary
Kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli, imeibua upya sakata la ubomoaji wa jengo la ghorofa 16 ambalo serikali iliamuru libomolewe baada ya kutokidhi viwango lakini viongozi walionekana kulega lega katika utekelezaji wa agizo hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATI YA MAKAMPUNI YALIYOKWEPAKULIPA KODI MBONA HATUSIKII YANAYOMILIKIWA NA LOWASSA?

Zile siasa chafu za nchi hii zinaelekea kujidhiirisha baada ya watanzania kushuhudia makampuni ya wakwepa kodi bila kutajwa kampuni hata ... thumbnail 1 summary
Zile siasa chafu za nchi hii zinaelekea kujidhiirisha baada ya watanzania kushuhudia makampuni ya wakwepa kodi bila kutajwa kampuni hata moja yenye mahusiano na Lowassa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI YA WEEK NI KWAMBA OSAMA BIN LADEN BADO YUPO HAI...HII IMESHTUA DUNIA NZIMA

Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhaki... thumbnail 1 summary
Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHIRIKA LA UMEME NCHINI,TANESCO LIMEBAINI WIZI WA UMEME NYUMBANI KWA WEMA SEPETU

Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu. thumbnail 1 summary
Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UFISADI BANDARI NA MABEHEWA,KAMATI KUU YA CCM YAWAKINGIA KIFUA SITTA NA MWAKYEMBE

Katika hali inayoashiria kuwa CCM haijajifunza somo kuwa wananchi wamekerwa na ufisadi. CCM inataka kuwafanya wananchi wakose matumaini... thumbnail 1 summary
Katika hali inayoashiria kuwa CCM haijajifunza somo kuwa wananchi wamekerwa na ufisadi.
CCM inataka kuwafanya wananchi wakose matumaini kwa serikali yao, na hivyo kupelekea kuona kuwa juhudi za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AJITOKEZA BARABARANI KUFANYA USAFI NA WANANCHI

Raisi John Pombe Magufuli nae amejitokeza barabarani maeneo karibu na Ikulu kuungana na Wananchi kufanya Usafi. Tuamkeni wote kwa pamoj... thumbnail 1 summary

Raisi John Pombe Magufuli nae amejitokeza barabarani maeneo karibu na Ikulu kuungana na Wananchi kufanya Usafi. Tuamkeni wote kwa pamoja tusafishe maeneo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA KWELI KUITAWALA TANZANIA NI KAZI NYEPESI SANA...ANACHOKIFANYA MAGUFULI KWA SASA NI HICHI HAPA

Wahenga walisema adui muombee njaa, lakini la pili na lipenda sana kuliko la kwanza " ukitaka kumtawala mwanadamu siku zote mnyime e... thumbnail 1 summary
Wahenga walisema adui muombee njaa, lakini la pili na lipenda sana kuliko la kwanza " ukitaka kumtawala mwanadamu siku zote mnyime elimu bora"

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: