June 23, 2014

List ya wachezaji 11 watakaoachwa na Yanga msimu huu, Chuji mmoja wao

Ikiwa dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu wiki iliyopita kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikian... thumbnail 1 summary

chuji   tegete

Ikiwa dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu wiki iliyopita kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi, timu ya Young Africans imeweza kuweka wazi majina ya awali ya baadhi ya wachezaji ambao hawataitumikia katika msimu ujao wa 2014/2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA MAGARI MAPYA YA KIFAHARI YA PSQUARE NA GHARAMA ZAKE

PETER OKOYE WA P SQUARE AMEONESHA MAGARI MAPYA YA KIFAHARI YALIYOINGIA HIVI KARIBUNI KATIKA GARAGE YA FAMILIA YAO thumbnail 1 summary
Magari moja

PETER OKOYE WA P SQUARE AMEONESHA MAGARI MAPYA YA KIFAHARI YALIYOINGIA HIVI KARIBUNI KATIKA GARAGE YA FAMILIA YAO

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUDDAH MONROE ACHIA PICHA AKIONYESHA SEHEMU KUBWA YA MAKALIO WAZI IKO HAPA.

Mshiriki wa zamani wa BBA  Huddah Monroe ameendelea kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa kuweka picha zake zikiendelea kuonyesha... thumbnail 1 summary


Mshiriki wa zamani wa BBA  Huddah Monroe ameendelea kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa kuweka picha zake zikiendelea kuonyesha baadhi ya maungo yake lakini hii ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NUH MZIWANDA NA SHILOLE WAONEKANA ZENJI WAKILA BATA, NUH AWA KIVUTIO NA KIPIMAJOTO CHA SHILOLE

Paparazi wetu aliyeko huko Zanzibar alifanikiwa kuwanasa Shilole na Nuh akiwa na Mahabuba wake, Asali wake wa Roho,tunda lake la Roha la ... thumbnail 1 summary

Paparazi wetu aliyeko huko Zanzibar alifanikiwa kuwanasa Shilole na Nuh akiwa na Mahabuba wake, Asali wake wa Roho,tunda lake la Roha la kufa na kuzikana na Tattoo wakila bata huko zenji,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WABUNGE SABA WALIOTIKISA BUNGE LA JAMHURI WA TANZANIA.

Dodoma. Wabunge saba wamelitikisa Bunge tangu mkutano wa Bunge la Bajeti ulipoanza kutokana na michango yao binafsi. Mwandishi wetu a... thumbnail 1 summary

Dodoma.
Wabunge saba wamelitikisa Bunge tangu
mkutano wa Bunge la Bajeti ulipoanza
kutokana na michango yao binafsi.
Mwandishi wetu ambaye amekuwa
bungeni tangu Mkutano wa Bajeti
ulipoanza ametoa tathmini yake kuhusu
michango ya wabunge iliyosisimua katika
mjadala na kuibuka na orodha ya wabunge
hao saba.
Hata hivyo, katika tathmini hiyo, majina ya
wabunge ambao walichangia kwa niaba ya
kamati au kutokana na nafasi zao za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BODA BODA WAANDALIWA MWAROBAINI NCHI NZIMA.

POLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo... thumbnail 1 summary

POLISI imetangaza operesheni nchi nzima
ya kukamata madereva wa pikipiki
(bodaboda), wasiofuata sheria za usalama
barabarani, wakiwemo wanaopita taa
nyekundu bila kuruhusiwa.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso
alitoa tamko jijini Dar es Salaam jana wakati
akizungumza na waandishi wa habari.
Licha ya operesheni kulenga kudhibiti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni Ulimbukeni (UBOYA) Kuwa na Simu ya Gharama Wakati Hata Kitanda Huna

Ninasikitishwa na ulimbukeni wa vijana hasa wa kibongo kutumia fedha nyingi kununua simu za gharama ili mradi eti kufanana na fulani a... thumbnail 1 summary

Ninasikitishwa na ulimbukeni wa vijana
hasa wa kibongo kutumia fedha nyingi
kununua simu za gharama ili mradi eti
kufanana na fulani au nae
aonekane...unakuta kijana mwingine
kapanga chumba hana hata hata stuli lakini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Agenda ya siri ya CUF katika mchakato wa Katiba Mpya

Wakati viongozi wa CCM wakizunguka jimbo kwa jimbo kutetea Mfumo wa Muungano wa Serikali mbili, Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema hak... thumbnail 1 summary

Wakati viongozi wa CCM wakizunguka
jimbo kwa jimbo kutetea Mfumo wa
Muungano wa Serikali mbili, Chama Cha
Wananchi (CUF), kimesema hakiungi mkono
hata pendekezo lililotolewa na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba la kutaka Muungano
wa Serikali tatu.
Migongano hiyo ya kimtazamo inazidi
kuliweka taifa katika umbile la mshazari,
huku matumaini ya kupatikana kwa Katiba
mpya ya Jamhuri ya Muungano yakionekana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMINI NDANI YA MAISHA YA NDOA SOMA HAPA

Anaweza kuingia kwenye stori za siku tena kubwa na si ukubwa wa kuoa tu ni ukubwa wa kufunga ndoa tena ikiwa ya kimya kimya bila baadhi... thumbnail 1 summary
Amini2

Anaweza kuingia kwenye stori za siku tena kubwa na si ukubwa wa kuoa tu ni ukubwa wa kufunga ndoa tena ikiwa ya kimya kimya bila baadhi ya mastar wenzake kuhusika na harusi hiyo ambayo wengi wamesema ilikua kama ya ghafla.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDOA NDOANO:Binti Aolewa, Agundua kuwa ni Mke wa 9…!

MAKUBWA!   Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Miinza Matoki (20), ameikimbia ndoa yake kisa kikielezwa kuwa ni mauzauza ya kichawi... thumbnail 1 summary
mke

MAKUBWA! Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Miinza Matoki (20), ameikimbia ndoa yake kisa kikielezwa kuwa ni mauzauza ya kichawi anayokutana nayo.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Minza ambaye ni mkazi wa Manyoni mkoani Singida

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ ACHENGUA UBELGIJI‏

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' pamoja na madansa wake wakiwapagawisha mashabiki thumbnail 1 summary
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' pamoja na madansa wake wakiwapagawisha mashabiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KEMMY: WASAMBAZAJI WANATUANGUSHA

LAWAMA!  Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Julieth Samson ‘Kemmy’ amesema wasambazaji wa filamu Bongo wamekuwa kikwazo cha ma... thumbnail 1 summary

LAWAMA! Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Julieth Samson ‘Kemmy’ amesema wasambazaji wa filamu Bongo wamekuwa kikwazo cha mafanikio yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARIANNA ANGEL: Awatukana Wafrika na hawzi Ku-DATE na Mtu Mweusi.....Kisa Wakenya!!!

  Daah hii ni NOUMA kweli: Mwana dada mwenya umbo na sura nzuri inayotuchanganya wengi huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM...ARIANNA ANGEL ... thumbnail 1 summary
http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-ash/10354455_1490790361139324_313010333_n.jpg 
Daah hii ni NOUMA kweli: Mwana dada mwenya umbo na sura nzuri inayotuchanganya wengi huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM...ARIANNA ANGEL  amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuwakashifu watu weusi kwenye mtandao wa TWITA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUTOKA INSTAGRAM: Corazon na Masogange Wakutana Uso kwa Uso

Daah NOUMA sana, Katika hali ya kufurahisha wadada wanaotikisa  hapa Afrika Mashariki kwa kuwa na Maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Ken... thumbnail 1 summary
Daah NOUMA sana, Katika hali ya kufurahisha wadada wanaotikisa  hapa Afrika Mashariki kwa kuwa na Maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Kenya na Masogange kutoka hapa 255.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ungejiskiaje ukiwa unapata raha ya tendo la ndoa kwa saa 3 mfululizo!? Huyu dada alikuwa anajiskia hivi. Ingia hapa

Ni ajabu sana kusikia mtu anapata 'orgasm' kwa muda wa saa 3 mfululizo na pia unaweza kuhisi mtu huyo anapata raha ilioje. Liz m... thumbnail 1 summary
Ni ajabu sana kusikia mtu anapata 'orgasm' kwa muda wa saa 3 mfululizo na pia unaweza kuhisi mtu huyo anapata raha ilioje.
Liz mkazi wa Settle mwanamke(kwenye picha hapo chini) ambaye alikuwa na tatizo la kupata 'orgasm' (kufikia kilele) kwa muda wa saa 3 mfululizo mara 12 kwa siku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA MKASA HUU WA MADAWA YA KULEVYA YALIVYOMHARIBU MAMA HUYU

Wakati anazungumzia kilichomsababisha ajiingize kwenye kazi hiyo alisema ni ugumu tu wa maisha ndio sababu kubwa. Alisema hakuweza tena ... thumbnail 1 summary
Wakati anazungumzia kilichomsababisha ajiingize kwenye kazi hiyo alisema ni ugumu tu wa maisha ndio sababu kubwa.
Alisema hakuweza tena kuwahudumia watoto wake wanne ambao walikuwawametelekezwa na baba yao mzazi, kulipa kodi ya nyumba nayo ulikuwa mtihani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sekretarieti ya Ajira Yazipa Rungu Serikali za Mitaa

Serikali za mitaa zitaruhusiwa kuanza kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za chini katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akihojiwa kati... thumbnail 1 summary

Serikali za mitaa zitaruhusiwa kuanza
kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za
chini katika mwaka wa fedha wa
2014/2015.
Akihojiwa katika Maonyesho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, Msemaji wa
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa
Umma, Riziki Abraham, alithibitisha kuwa
Sekretarieti hiyo itakasimu sehemu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kampuni Mbili za Umeme kuanzishwa badala ya TANESCO

Mpango wa kuligawa Shirika la Umeme (Tanesco) kuwa mashirika mawili umeiva, baada ya Serikali kupitisha Mkakati na Mwelekeo wa Sekta N... thumbnail 1 summary

Mpango wa kuligawa Shirika la Umeme
(Tanesco) kuwa mashirika mawili umeiva,
baada ya Serikali kupitisha Mkakati na
Mwelekeo wa Sekta Ndogo ya Umeme (ESI).
Mpango huo utekelezaji wake unaanza
Agosti mwaka huu, na lengo lake ni
kuhakikisha uzalishaji wa umeme,
unaongezeka kutoka megawati 1,583
zinazozalishwa kwa sasa hadi kufikia
uzalishaji wa megawati 10,000 ifikapo
mwaka 2025.
Ugawanyaji wa Tanesco maandalizi yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mzee Majuto: Maisha Yangu ni Komedi tosha

Mchekeshaji wa muda mrefu Amri Athuman 'Mzee Majuto' ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa maisha yake ni komedi tosha kut... thumbnail 1 summary

Mchekeshaji wa muda mrefu Amri
Athuman 'Mzee Majuto' ametoa kali ya
mwaka baada ya kusema kuwa maisha
yake ni komedi tosha kutokana na
kumvunja mtu mbavu bila kujali yuko
mahala gani....
Akizungumza na mwandishi wetu, Mzee
Majuto alisema yeye hutoa shoo muda
wowote bure bila kujali yuko katika
wakati gani kwani maisha yake ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkojo, mbegu za kiume zinapotokea kwenye paja...nini tatizo soma hapa

Paja la mguu wa kushoto wa Hubert Mkenda (49) mkazi wa Kijiji cha Msaranga, Kata ya Kitale, Rombo mkoani Kilimanjaro, limetoboka na kuten... thumbnail 1 summary

Paja la mguu wa kushoto wa Hubert Mkenda (49) mkazi wa Kijiji cha Msaranga, Kata ya Kitale, Rombo mkoani Kilimanjaro, limetoboka na kutengeneza sehemu ambayo inapitisha haja ndogo (mkojo) na mbegu za kiume.
Mkenda ambaye ni baba wa watoto saba amekuwa katika hali ya ugonjwa kwa miaka 11 sasa na jitihada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA

MAJANGA!   Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo... thumbnail 1 summary

MAJANGA! Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FUMANIZI:MUME WA MTU APEWA KICHAPO KWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU,MCHEPUKO NOOMAAAA

AMA  kweli duniani kuna vituko! Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42... thumbnail 1 summary
AMA kweli duniani kuna vituko! Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kondomu zanaswa ukumbi wa bunge

Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha wabunge vin... thumbnail 1 summary
ndomu

Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha wabunge vinywa wazi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKUBWA TU: HII NI LAANA SASA YAZIDI KUTANDA MADENTI WAPIGA PICHA ZA UTUPU WAKISAGANA HOTELINI, MAADILI YAKO WAPI JAMANI

katika hali inayoonyesha wimbi la mmomonyoko wa maadili hapa tanzania, wasichana wengi wameendelea kujihusisha na mchezo mchafu wa usagaj... thumbnail 1 summary
katika hali inayoonyesha wimbi la mmomonyoko wa maadili hapa tanzania, wasichana wengi wameendelea kujihusisha na mchezo mchafu wa usagaji, hawa ni wasichana ambao walinaswa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: