March 17, 2014

NI WAKATI SASA WA MBOWE KUACHIA NGAZI CHADEMA

Kutokana na trend ya maendeleo ya chama ya siku za hivi karibuni, kuanzia kwenye uchaguzi wa madiwani, nashawishika kwamba thumbnail 1 summary


Kutokana na trend ya maendeleo ya chama ya siku za hivi karibuni, kuanzia kwenye uchaguzi wa madiwani, nashawishika kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATAKAOHUDHURIA HARUSI YA KIM NA KANYE HAWATARUHUSIWA KUINGIA NA SIMU, JAY Z NA BEYONCE TU RUKSA

Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi thumbnail 1 summary


Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA DIAMOND, JOHARI, RAY NA UWOYA ZATUMIKA KUPAMBA RESTAURANT CHINA

Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa thumbnail 1 summary

Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOYES AONDOKE MAN UNITED - NA HIZI SABABU KWANINI HAFAI KUENDELEA KUIFUNDISHA KLABU HIYO

Manchester United lazima imtimue David Moyes mwishoni mwa msimu huu. David Moyes hana uwezo wa kuiongoza Manchester United kuendeleza maz... thumbnail 1 summary

Manchester United lazima imtimue David Moyes mwishoni mwa msimu huu. David Moyes hana uwezo wa kuiongoza Manchester United kuendeleza mazuri ya aliyemrithi na kuipeleka timu kwenye kilele cha mafanikio, jambo ambalo ndilo linalotegemewa katika klabu ya ukubwa wa United. Badala ya kuendelea uongozi mbovu wa Moyes, klabu inabidi ubora na uimara wa timu kupitia kocha na benchi la ufundi ambalo huko nyuma tayari wameshaongoza timu kwa mafanikio. United ina ufuasi mkuwa wa mamilioni ya mashabiki duniani kote na kutokana na hili United inastahili kupata uongozi bora zaidi kuliko huu wa Moyes. 

Sababu kwanini Moyes aondoke Manchester United: 

Kukosa uzoefu wa kushinda - Moyes hajawahi kushinda kombe katika career yake ya ukocha - ukiondoa kombe la nguo la hisani, ambalo alikuta timu yake imeshafikishwa kwenye mchezo huo tena dhidi ya timu ya ligi ya daraja ya kwanza ya Wigan. 

Ukosefu wa uwezo wa kufundisha wachezaji wakubwa - Ukweli wa kwamba hajawahi kuwa na bahati ya kuwa na kikosi chenye wachezaji wakubwa unamaanisha kwamba hajui namna nzuri ya kudili na aina ya wachezaji wa aina hiyo, kuwafurahisha na kuwapa motisha au kujua namna ya kupata kiwango kilicho bora kutoka kwao. Ni vigumu kutegemea wachezaji walioshinda kila kitu na matajiri kumheshimu kocha ambaye hajawahi kushinda kitu chochote. 

  Ukosefu wa uzoefu wa kudili na mategemeo makubwa - Baada ya kuwa Everton kwa miaka 11, mahala ambapo alikuwa akifaulu kumaliza ligi katikati mwa msimamo akiwa na bajeti ndogo ya usajili, Moyes hana uzoefu wa kudili na presha ya mategemeo makubwa ambayo huja pamoja na kazi yake ndani ya United - na hilo tayari limeshaonekana.  

Mbinu zilizopitwa na wakati - Ukosefu wake wa mbinu bora mwanzoni na kati kati ya mchezo zimeigharimu sana timu msimu huu. Baada ya mechi ya Fulham Rene Maulesteen alisema ilikuwa kazi rahisi sana kucheza na United yenye mbinu zilezile zilikosa mabadiliko, pia beki wa kati wa Fulham Dan Burn alizidharau mbinu za Moyes kwamba zilikuwa rahisi sana kuzuia. Akiichezesha timu kwa mfumo wa kizamani 4-4-2 - timu haionyeshi kuwa na maendeleo bora katika kipindi cha miezi tisa ya utawala wake, lakini pamoja na haya yote bado haonekani kulitambua tatizo hili la mfumo na kulitafutia ufumbuzi. 

Wasaidizi wabovu - Makocha wasaidizi wa United chini ya Sir Alex walikuwa Meulensteen, Mike Phelan na Eric Steele. Wote kwa pamoja walikuwa na uzoefu wa ukocha wa level ya juu kwa miaka 25 na walikuwa walikuwa wanajua namna ya kuwaandaa vijana kushinda mechi na kushinda makombe. Uamuzi wa Moyes kuwaondoa hawa wasaidizi umezidi kuwa mbovu baada ya kuwaleta wabadala wao: Phil Neville (hakuwa mchezaji wa daraja la juu, hana uzoefu mzuri wa ukocha zaidi ya kuhusika na timu ya  England U21, ambayo ilikuwa ikifanya vibaya), Steve Round (alikuwa mmoja ya makocha walioishusha timu mpaka daraja la kwanza kutoka EPL, hana uzoefu wa kufundisha timu kubwa), Ryan Giggs (mchezaji wa daraja la juu - lakini ni kocha ambaye hana uzoefu), na Moyes mwenyewe (mbinu zake hasi - anaendekeza zaidi mazoezi magumu badala ya mazoezi ya kiufundi). Je watu hawa wana uwezo na wanafaa kuliongoza benchi la ufundi na kupata kilicho bora kutoka kwa wachezaji wa hadhi ya juu, na kwa mtazamo wa sasa inaonekana jibu ni hapana, wameishindwa kazi hiyo. 

Namna mbovu ya kudili na vyombo vya habari - Namna Moyes anavyodili na vyombo vya habari tangu sio sawa kabisa tangu alivyofika Old Trafford. Hana approach nzuri - Amekuwa akisisitiza kwenye jibu moja kwamba timu ina "bahati mbaya" na kurudia rudia msemo wake wa "Nadhani tumecheza vizuri" (Timu iwe imefungwa, imeshinda, au suluhu) - hii kauli inaonyesha ambition. Manchester United inabidi isiwe na mtazamo wa kukubali suluhu au vipigo kwa namna Moyes anavyochukulia. Inabidi tutegemee ujuzu, mbinu, na nguvu katika kutafuta ushindi kuliko kutegemea bahati kama Moyes anavyosema. 

Usajili - Jaribio la kusajili wachezaji wakubwa dirisha kubwa la usajili lilopita lilionyesha kufeli. Baada ya hapo akamleta Marouane Fellaini (kwa £27.5m, £4m zaidi ya fedha ambayo angeweza kumsajili kabla) kuja kucheza kama kiungo mkabaji. Moyes alifanya kazi na Fellaini kwa miaka kadhaa Everton na kwa maana hiyo alikuwa akijua kabisa uwezo wa kucheza kwenye hiyo nafasi na aliamini angeweza kucheza. Hata hivyo, ameonekana hayupo ccomfortable kuicheza nafasi hiyo kwa kuangalia kiwango chake mpaka sasa - hivyo haukuwa usajili mzuri kwa United.  Usajili Juan Mata umekuwa wa kuvutia, lakini ukweli unabaki kwamba Wayne Rooney anacheza kama namba 10, nafasi ambayo Mata huicheza kwa ubora, hivyo matokeo yake Mhispania huyo huchezeshwa pembeni. Mata anakosa mbio na nguvu ya kucheza kama winga asilia, hivyo Moyes anavyoendelea na mfumo wa 4-4-2 sioni mabadiliko chanya ya kupata kilicho bora kutoka Juan Mata. Akiwa tayari kashatumia kiasi cha £65.5m huku kukiwa hakuna mabadiliko yoyte yanayoonekana katika kiwango cha timu, United haipaswi kumuamini Moyes na fedha zao katika dirisha la usajili lijalo pia kutegemea yeye na wasaidizi wake kupata kilicho bora kutoka wachezaji waliopo na watakaosajiliwa.  
Moyes amekuwa akivunja rekodi nzuri kwa matokeo mabaya kila kukicha. Ile hali ya timu kuiogopa Man United iliyojengwa kwa miaka mingi iliyopita imeondoka ndani ya miezi michache. Akiwa na rekodi mbovu kuliko zote dhidi ya timu za Top 6 kama kocha wa Everton, ilikuwa wazi kwamba Moyes hana uwezo wa kuiongoza United. Hali inaonekana itaendelea kuwa hivyo wakati wote Moyes atakapoendelea kuwa kocha - uongozi wake ndani ya United dhidi ya timu za Top 6 msimu huu ameambulia pointi sita tu - akiambulia sare 3 na ushindi mmoja tu. Mechi dhidi ya timu kubwa kwenye ligi ni muhimu sana - kwa pointi pia kisaikolojia. Huku United wakishindwa kuzifunga timu hizi, inaonekana wazi ni vigumu kwa United kupata mafanikio chini ya Moyes. 
-shaffihdauda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAA: MKE WA MHESHIMIWA MBUNGE SUGU ATUKANWA MATUSI YA NGUONI HUKO INSTAGRAM TAZAMA HAPA

Huko instagram kumekuwa hakuna amani kabisa watu wamekuwa wanafunguka vile wanavyojisikia kwa wakati wowote ule. safari hii thumbnail 1 summary

Huko instagram kumekuwa hakuna amani kabisa watu wamekuwa wanafunguka vile wanavyojisikia kwa wakati wowote ule. safari hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAA: WOLPER AONYESHA KIUNO HADHARANI AKIWA AMEVAA NA CHENI KIUNONO ... JIONEE HAPA

Kupitia Akaunti yake ya instagram Jackline Wolper Masawe ameamua kuachia picha inayoonyesha kiuno thumbnail 1 summary

Kupitia Akaunti yake ya instagram Jackline Wolper Masawe ameamua kuachia picha inayoonyesha kiuno

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"KAMA MIMI SIO CLASS YA HUDDAH MONROE IWEJE ALINIVULIA NGUO?" MUSTAPHA

Speaking on Tuva’s show, Mambo Mseto, Mustapha started by saying that Huddah is lying and that they were in love until most recently thumbnail 1 summary

Speaking on Tuva’s show, Mambo Mseto, Mustapha started by saying that Huddah is lying and that they were in love until most recently

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JERRY TEGETE "YANGA HAUNA CHAKO RUDI SHULE AMA UHAME TEAM"

BABA mzazi wa straika wa Yanga Jerry Tegete, John Tegete amemtaka mwanae achague mawili ifikapo mwisho wa msimu huu iwapo thumbnail 1 summary

BABA mzazi wa straika wa Yanga Jerry Tegete, John Tegete amemtaka mwanae achague mawili ifikapo mwisho wa msimu huu iwapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"SIWEZI KUINGIA MAPENZI NA MSANII WA BONGO MOVIESWENGI WAPO KIMASLAHI" MBOTO

Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Haji Salum aka Mboto amesema kuwa hawezi kuanzisha uhusiano wa mapenzi na wasanii wa thumbnail 1 summary

Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Haji Salum aka Mboto amesema kuwa hawezi kuanzisha uhusiano wa mapenzi na wasanii wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIRECTOR NICK DIZZO AACHANA NA E-MEDIA SASA AMEANZISHA KAMPUNI YAKE MWENYEWE INAITWA FOCUS FILMS

Kama umeshaiona video mpya ya rapper anaeiwakilisha Mbeya City, Izzo Bizness ‘Tummoghele’ iliyotoka rasmi Ijumaa iliyopita, utagundua thumbnail 1 summary

Kama umeshaiona video mpya ya rapper anaeiwakilisha Mbeya City, Izzo Bizness ‘Tummoghele’ iliyotoka rasmi Ijumaa iliyopita, utagundua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPOLISI WAIPEKUA NYUMBA YA RUBANI WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA

Kuala Lumper. Polisi nchini Malaysia wamevamia nyumba aliyokuwa akiishi rubani wa ndege iliyopotea na kuendesha msako mkali, ikiwamo kuku... thumbnail 1 summary

Kuala Lumper. Polisi nchini Malaysia wamevamia nyumba aliyokuwa akiishi rubani wa ndege iliyopotea na kuendesha msako mkali, ikiwamo kukusanya nyaraka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA MPENZI WA RAPPER YOUNG KILLER WAKIWA WANAKULA BATA MAENEO

Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni thumbnail 1 summary

79182bc0aa2011e3907e121b5d90bda3_8
Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU MADHARA YA KULA NYAMA KILA SIKU SOMA HAPA KUJUA

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani, umegundua kwamba watu wanaopenda kula nyama kila siku thumbnail 1 summary




Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani, umegundua kwamba watu wanaopenda kula nyama kila siku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIKU HIZI WANAUME HAWAPENDI RECEIPTION WANAPENDA MWANAMKE MWENYE UELEWA ... SOMA ZAIDI HAPA

Siku za nyuma, wanaume walijali zaidi uzuri wa sura na mwili wakati walipokuwa wanatafuta mke. Lakini utafiti uliofanywa duniani kote u... thumbnail 1 summary
Siku za nyuma, wanaume walijali zaidi uzuri wa sura na mwili wakati walipokuwa wanatafuta mke. Lakini utafiti uliofanywa duniani kote unaonesha kwamba,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE MAPAJA NDIYO YANAYOMPA KIBURI NDEGE MNANA LINAH SOMA ZAIDI HAPA...

AISEEE!  Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna kitu anach... thumbnail 1 summary

AISEEE! Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna kitu anachokipenda kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI MREMBO WA KUTUPIAMO ZA UT*PU REHEMA FABIAN APATA GONJWA LILILOMUUA BABA'AKE SOMA ZAIDI HAPA...

  Rehema Fabian. NOOO!  Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 Bongo, Rehema Fabian anasumbuliwa na tatizo la maini na mapafu kuharibika, ugo... thumbnail 1 summary

 Rehema Fabian.
NOOO! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 Bongo, Rehema Fabian anasumbuliwa na tatizo la maini na mapafu kuharibika, ugonjwa uliomuua baba’ke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKWARA MZITO LULU AWAONYA WANAOMMENDEA BWANA' AKE SOMA ZAIDI HAPA....

Aunty Lulu. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa ha... thumbnail 1 summary

Aunty Lulu.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA WA BONGO JAMANI: AGNESS MASOGANGE NAYE ATUPIAMO UPAJA WAKE MTANDAONI JIONEEE HAPA

Haya sasa AGNES MASOGANGE baada ya kuonyesha sana umbo lake akiwa amevaa nguo, sasa ameamua kutuonyesha upaja wake.. thumbnail 1 summary


Haya sasa AGNES MASOGANGE baada ya kuonyesha sana umbo lake akiwa amevaa nguo, sasa ameamua kutuonyesha upaja wake..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMBO LIMEZUA MAMBO RIHANNA NA DRAKE WASHINDWA KUJIZUIA SOMA ZAIDI HAPA..

. Baada ya kuwepo tetesi nyingi kuwahusu, sasa imethibitishwa kuwa Drake na Rihanna ni wapenzi. Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa thumbnail 1 summary

.

Baada ya kuwepo tetesi nyingi kuwahusu, sasa imethibitishwa kuwa Drake na Rihanna ni wapenzi. Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUH BALAA: MH DIWANI ANASWA LIVE GUEST AKIFANYA YAKE NA KIMADA SOMA HAPA ZAIDI

HII ni ni fedheha! Mzee Mbonde, mkazi wa Kimara jijini Dar, anadaiwa kutelekeza familia na kwenda kuishi na mwanamke mwingine gesti kish... thumbnail 1 summary

HII ni ni fedheha! Mzee Mbonde, mkazi wa Kimara jijini Dar, anadaiwa kutelekeza familia na kwenda kuishi na mwanamke mwingine gesti kisha kufumwa laivu na mkewe, Herieth Mngodo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: