June 15, 2014

PICHA YA MILEY CYRUS ILIYOLETA UTATA MTANDAONI.

Is she always like this? Miley is fully back with her  normal crazy online stuffs, shares new eye popping  picture on her IG page, c... thumbnail 1 summary

Is she always like this? Miley is fully back with her normal crazy online stuffs, shares new eye popping picture on her IG page, check out the photo below..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAPPER EVE AOLEWA NA BILLIONAIRE WA UINGEREZA

Wawili hao waliodumu kwenye uhusiano kwa muda  wa miaka minne walifunga ndoa June 13 mwaka  huu, Ibiza, Hispania. Eve mwenye umri wa m... thumbnail 1 summary
Wawili hao waliodumu kwenye uhusiano kwa muda wa miaka minne walifunga ndoa June 13 mwaka huu, Ibiza, Hispania. Eve mwenye umri wa miaka 35 amefunga ndoa kwa mara ya kwanza katika maisha yake lakini mmewe aliwahi kuwa na ndoa na ana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY C:Natamani Kuzaa Mtoto......Ingawa Stori za Labour Zinatisha Lakini na Hamu Sana

Husika na kichwa cha habari hapo juu!! Kutoka kwenye mtando wa INSTAGRAM  dada yetu Rehema ameamua kufunguka yake thumbnail 1 summary
Husika na kichwa cha habari hapo juu!!

Kutoka kwenye mtando wa INSTAGRAM  dada yetu Rehema ameamua kufunguka yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meagan Good, Mke wa Mchungaji, Muigizaji, Nampenda Sana!

Plizi Hizi ni  Hisia zangu...... Najua kabisa ni ngumu kumpata, Lakini moyo wangu upo kwake, hata  mpenzi wangu hili analitambua (Ni... thumbnail 1 summary
Plizi Hizi ni  Hisia zangu......

Najua kabisa ni ngumu kumpata, Lakini moyo wangu upo kwake, hata  mpenzi wangu hili analitambua (Nimeshamuweka wazi) ...Unaweza ukashangaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA LULU ZILIZOVUJA BAADA YA KUFUNGA NDOA YA SIRI...KAMA UNATAKA KUMJUA MUMEWE SOMA HAPA UTASHANGAA MWENYEWE

Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali  wa ndoa kwa ndugu yetu….! thumbnail 1 summary

Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali wa ndoa kwa ndugu yetu….!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAJUA ALICHOKISEMA MH KOMBA KUHUSU MKE WAKE?....SOMA HAPA ALICHOKISEMA UTASHANGAA

“ Sijawahi  kuona  mwanamke  mzuri  na  mwenye  imani  kama  mama  Komba ( Salome ) jamani, unajua  kulea  watoto  ambao  mama  zao  wa... thumbnail 1 summary

Sijawahi  kuona  mwanamke  mzuri  na  mwenye  imani  kama  mama  Komba ( Salome ) jamani, unajua  kulea  watoto  ambao  mama  zao  wapo  duniani  ni  kazi  sana,” alisema  Komba  katika  kipindi  cha  mkasi  kinachorushwa  na  East  African  Television

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAIJAWAI KUTOKEA, MHITIMU WA CHUO AVUA NGUO ZOTE, ALIPOITWA KUKABIDHIWA CHETI

Wasomi wanapokutana hasa katika zoezi la kutunukiwa cheti kama kielezo cha uhitimu wa ngazi fulani kuna vitu huwezi kuvifikiria kama vit... thumbnail 1 summary

Wasomi wanapokutana hasa katika zoezi la kutunukiwa cheti kama kielezo cha uhitimu wa ngazi fulani kuna vitu huwezi kuvifikiria kama vitatokea hata kidogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE ALIYETANGAZA MASHARTI MAGUMU KWA ANAYETAKA KUMUOA

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Kibongo Husna Chobis ‘Awena’ amesema kuwa baada ya kurudi katika biashara zake nje ya nchi yupo tayari kuol... thumbnail 1 summary

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Kibongo Husna Chobis ‘Awena’ amesema kuwa baada ya kurudi katika biashara zake nje ya nchi yupo tayari kuolewa lakini kwa mwanaume mwenye fedha za kutosha na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIKI NI KIWANGO CHA PESA ANAYOLIPWA DAVIDO KWA SHOW, HUWEZI KUAMINI..

Kwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,0... thumbnail 1 summary
Davido
Kwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000 kwa show moja lakini sasa wasanii wanachukua hata zaidi ya milioni 5 kwa show ya ndani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU ADAKA MIMBA YA DIAMOND PLATNUMZ

'Beautiful Onyinye' na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya misukosuko ya muda mrefu ikiwemo kuporwa na... thumbnail 1 summary

'Beautiful Onyinye' na kipenzi cha
Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito.
Baada ya misukosuko ya muda mrefu
ikiwemo kuporwa na wasichana
wenzake penzi lake la Diamond, sasa
Wema amepata kile alichokuwa akikililia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva atafia Jukwaani kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa 2014

Nabii anayetikisa kwa maono ya vitu mbalimbali Hosea Chamungu 'Mzee wa maono' ameibuka na jambo zito baada ya kufunga kwa siku ... thumbnail 1 summary

Nabii anayetikisa kwa maono ya vitu mbalimbali Hosea Chamungu
'Mzee wa maono' ameibuka na jambo zito baada ya kufunga kwa
siku tatu mfululizo huku akifanya maombi nyikani......Akiongea
na mwanahabari wetu mapema wiki hii, nabii Chamungu alisema
kuwa amekuwa na desturi ya kufunga siku tatu kila wiki ili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Big Brother Africa 2014 Yatangaza Tarehe Ya Usaili Kwa Tanzania.

Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tar... thumbnail 1 summary

Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili
katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania
tarehe ya usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New Africa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS MPYA WA MALAWI KUOA WIKI IJAYO NI BAADA YA KUISHI MAISHA YA UKAPERA KWA ZAIDI YA MIAKA 30

Wiki mbili baada ya kuitwaa rasmi Ikulu ya Malawi, Rais mpya wa nchi hiyo, Profesa Peter Mutharika anatarajiwa kufunga ndoa na Gertrud... thumbnail 1 summary

Wiki mbili baada ya kuitwaa rasmi Ikulu ya
Malawi, Rais mpya wa nchi hiyo, Profesa
Peter Mutharika anatarajiwa kufunga ndoa
na Gertrude Maseko Jumamosi ijayo, baada
ya kuishi maisha ya ukapera kwa zaidi ya
miaka 30.
Mutharika, mdogo wa Rais wa Pili wa
Malawi, Bingu wa Mutharika ambaye kwa
sasa ni marehemu, alikuwa mume wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UGIRIKI HOI KWA COLOMBIA BAADA YA KUPATA KIPIGO CHA MAGOLI 3 - 0

Colombia wakishangilia bao la kwanza. thumbnail 1 summary
Colombia wakishangilia bao la kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

COSTA RICA YAICHEZESHEA KICHAPO URUGUAY 3 - 1 ....HUKU SUAREZ AKIWA NJE NA MAJONZI

Costa Rica wakiwashukuru mashabiki baada ya ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Uruguay. thumbnail 1 summary
Costa Rica wakiwashukuru mashabiki baada ya ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Uruguay.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ITALY YAIGALAGAZA ENGLAND BILA HURUMA 2 - 1

Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu. thumbnail 1 summary
Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMMH!! TAZAMA HIZI PICHA ZA X-GIRLFRIEND WA DAVIDO..NI BALAA

Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria thumbnail 1 summary

Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jokate:Mwanadada Wakwaza Tanzania Kumuiga Beyonce

Kama kawaida wenzetu wapo mbele na huwa FASHENI nyingi za kuvaa, kunyoa, kuongea,kutembea na LAIFU STAILI kwa ujumla tunaiga toka STETI.... thumbnail 1 summary
Kama kawaida wenzetu wapo mbele na huwa FASHENI nyingi za kuvaa, kunyoa, kuongea,kutembea na LAIFU STAILI kwa ujumla tunaiga toka STETI....Sioni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE MSANII LUCY KOMBA AVISHWA PETE

Msanii wa filamu Tanzania alitokea kwenye kundi la Kaole Sanaa Group Lucy Komba afumwa na pete mkononi kimya kimya katika msiba wa Sma... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu Tanzania alitokea
kwenye kundi la Kaole Sanaa Group Lucy
Komba afumwa na pete mkononi kimya
kimya katika msiba wa Small.
Baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIKIBA AFUNGUKA SABABU YA KUKAA KIMYA KWA MIAKA MITATU

Kwa muda mrefu wafuasi wa mwanamuziki Ally Salehe Kiba maarufu Alikiba, wamekuwa wakijiuliza sababu zilizomfanya mwimbaji huyo kukaa k... thumbnail 1 summary

Kwa muda mrefu wafuasi wa mwanamuziki
Ally Salehe Kiba maarufu Alikiba, wamekuwa
wakijiuliza sababu zilizomfanya mwimbaji
huyo kukaa kando ya muziki kwa muda
mrefu.
Alikiba ambaye aliachia wimbo wake wa
mwisho "My Everything" Novemba 2012
hajawahi kuachia tena wimbo mwingine,
licha ya kutoa kazi kadhaa alizokuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: