June 15, 2014

Meagan Good, Mke wa Mchungaji, Muigizaji, Nampenda Sana!

Plizi Hizi ni  Hisia zangu...... Najua kabisa ni ngumu kumpata, Lakini moyo wangu upo kwake, hata  mpenzi wangu hili analitambua (Ni... thumbnail 1 summary
Plizi Hizi ni  Hisia zangu......

Najua kabisa ni ngumu kumpata, Lakini moyo wangu upo kwake, hata  mpenzi wangu hili analitambua (Nimeshamuweka wazi) ...Unaweza ukashangaa
au kucheka... BATI mimi nampenda sana huyu mwanamke, kwamara ya kwanza nilimuona kwenye MUVI ya Think Like A Man. Daah ile kumuona tu nika FOLU INI LAVU.....Kinacho niumiza zaidi huyu ni mke wa mtu (tena mchungaji)...Ila najipa moyo NITAMPATA TU!! ...uwezi jua dunia hii kuna SAPRAIZI nyingi sana....Hehehe kwani Diamond ajua atakuja kula MISS TZ...(2005)...Kwanini mimi nisimpateMeagan...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: