December 19, 2015

Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..

Najua nina watu ambao wanapenda kwenda  Cinema  kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big... thumbnail 1 summary
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…

Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida d... thumbnail 1 summary
Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida duniani kote. Najua weekend inaweza ikaboa kama utakosa mahala pazuri pakwenda kuenjoy

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines... thumbnail 1 summary
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno.

Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambaye ametajwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam... thumbnail 1 summary

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 18, 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AWAKERA BAADHI YA MASHABIKI KWA VIDEO HII YENYE UJUMBE WA UTATA

Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Ug... thumbnail 1 summary

Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZIARA YA LOWASSA NCHI NZIMA YAOTA MBAWA GHAFLA..CHADEMA WATOA UFAFANUZI

Siku moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama ... thumbnail 1 summary
Siku moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama hicho kimesema hakilitambui zuio la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa lililowahi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZIKIONYESHA UNYAMA UNAOFANYIKA NCHINI BURUNDI,WATU WANAUWANA KAMA WANYAMA VILE

Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe. thumbnail 1 summary
Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAGUFULI AIPONGEZA TRA KWA KUKUSANYA TRILIONI 1.3 NDANI YA MWEZI MMOJA

Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato i... thumbnail 1 summary

Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND NA KAJALA NDANI YA SKENDO NZITO, YADAIWA WANATOKA KIMAPENZI,PICHA HIZI HAPA

HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigiz... thumbnail 1 summary

HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NILIBAKWA NA MAJAMBAZI WALIOTUVAMIA NYUMBANI USIKU ....NIMEPATA UJAUZITO MSAADA TAFADHALI

Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ni... thumbnail 1 summary
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ninaujauzito na siko tayari kuzaa na mtu nisiye mjua.iko hivi, ni mwezi sasa umepita

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: