November 11, 2014

RAIS KIKWETE AANZA KAZI NYEPESI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko thumbnail 1 summary
unnamedRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CARLO ANCELOTTI AFICHUA SIRI YA KUMUACHA ANGEL DI MARIA ATIMUKIE MANCHESTER UNITED.

Kocha wa klabu ya Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema Angel Di Maria alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji waliokuwa wanaighalimu san... thumbnail 1 summary

Di Maria has replicated the form he left Real Madrid with in the Premier League, scoring three goalsKocha wa klabu ya Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema Angel Di Maria alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji waliokuwa wanaighalimu sana timu hiyo haswa inapokuwa uwanjani kutokana na tabia yake ya kupoteza mipira mara kwa mara na ndio maana haikuwa tabu sana kwake hata mabosi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

kama unajua unajua tu diamond azidi kuwafumba midomo waongeaji na kuwapunguzia kasi kina kobe kwa kutoa kipande cha ngoma yake mpya embu ... thumbnail 1 summary
kama unajua unajua tu diamond azidi kuwafumba midomo waongeaji na kuwapunguzia kasi kina kobe kwa kutoa kipande cha ngoma yake mpya embu kisikilize

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chidi Benz Mahakamani tena leo, picha na alichokiandika kwa Watanzania viko hapa.

. Rapper  Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz  ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Da... thumbnail 1 summary
.
.
Rapper  Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz  ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA MKASA WA ASKOFU WA KANISA LA KILOKOLE SINSA ALIYENASWA NA MADAWA YA KULEVYA

             KIMENUKA!  Vigogo wa madawa ya kulevya wakiwemo viongozi wa dini sasa wanaanza kupukutika kutoka kwenye mstari wa siri huku ba... thumbnail 1 summary

            KIMENUKA! Vigogo wa madawa ya kulevya wakiwemo viongozi wa dini sasa wanaanza kupukutika kutoka kwenye mstari wa siri huku baadhi yao wakikimbilia nje ya nchi kufuatia oparesheni kali inayofanywa na Kikosi cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani, nina picha zake 5 za alichokifanya hapa.

Jumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagram alitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-11 at 11.42.39 AMJumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagram alitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White House) ambapo hizi ni picha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: