December 13, 2013

NIMESOMESHWA PRIMARY HADI CHUO LAKIN SIMPENDI ..... NAOMBA USHAURI WENU JAMAN

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28, Naishi Tabata jijini Dar Es Salaam nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mi... thumbnail 1 summary




Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28, Naishi Tabata jijini Dar Es Salaam nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AGNESS MASOGANGE ATOKA KIVINGINE

Kimwana Agness Masogange thumbnail 1 summary




Kimwana Agness Masogange

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

maneno ya koleta juu ya wanaume

MSANII wa maigizo na filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka na kutoboa siri ya moyoni juu ya chanzo cha kuwachu... thumbnail 1 summary



MSANII wa maigizo na filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka na kutoboa siri ya moyoni juu ya chanzo cha kuwachukia wanaume huku akisisitiza kuendelea kuwa peke yake na kuifanya pombe ndiyo faraja kubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WAJUA FILAMU ZA KIBONGO HAZIUZI BILA KUTUMIA WASICHANA WAREMBO

Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na fam... thumbnail 1 summary


Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na familia zao

Kwa mujibu wa Tino, wasichana warembo ni ‘chambo’ kinachowavuta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO 10 MUHIMU YA KUMFANYIA MPENZI WAKO ILI ASIKUACHE NA PENZI LENU KUDUMU MILELE

  Habari yako ndugu msomaji wa Majamboz. Natumaini u mzima na mwenye afya njema. Leo napenda kushea na nyinyi mamb... thumbnail 1 summary


 
Habari yako ndugu msomaji wa Majamboz. Natumaini u mzima na mwenye afya njema.
Leo napenda kushea na nyinyi mambo ya mahusiano (uhusiano wa kimapenzi). Siku hizi mapenzi hayana 'garantii' leo unaye kesho (umepigwa bomba) kibuti, Fanya mambo yafuatayo ili kuimarisha penzi lako.
1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ ATINGA SURUWALI YAKE YENYE UTATA NA KUOMBA DUA ILI ASICHAMBWE

Hahaha Diamond kanichekesha sana leo. Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wa... thumbnail 1 summary



Hahaha Diamond kanichekesha sana leo. Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUSINGIZIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA BRAZIL ASHA BUI AONEKANA SALOON SINZA.

Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui am... thumbnail 1 summary
Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha iliyopo maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: