April 05, 2016

TAHADHARI: Mboga za Majani Wanazokula Wakazi wa Dar es Salaam ni Sumu Tupu

Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani thumbnail 1 summary
Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Halima Mdee Amshukia Rais John Magufuli, Soma Hapa

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee amemuomba Rais John Magufuli kuweka wazi posho na marupurupu anayoyapa... thumbnail 1 summary
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee amemuomba Rais John Magufuli kuweka wazi posho na marupurupu anayoyapata ili Watanzania wajue kiasi halisi anachokipata mbali na mshahara wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndoo Walizobeba Kigogo wa Zamani wa TRA na Miss Tanzania Wakati Wakipelekwa Gerezani Zaibua Utata

Kitendo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya pamoja na maofisa wawili waandamizi wa zamani wa B... thumbnail 1 summary
Kitendo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya pamoja na maofisa wawili waandamizi wa zamani wa Benki ya Stanbic, Tawi la Tanzania, Sioi Solomoni na Shose Sinare kubeba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mafuriko yafunga Barabara kuu Itokayo Dodoma Kwenda Morogoro kwa saa 10

Zaidi ya magari 1,500 jana, yalikwama katika eneo la Chalinze Nyama wilayani Chamwino mkoani Dodoma kwa zaidi ya saa 10, baada ya mafurik... thumbnail 1 summary
Zaidi ya magari 1,500 jana, yalikwama katika eneo la Chalinze Nyama wilayani Chamwino mkoani Dodoma kwa zaidi ya saa 10, baada ya mafuriko kuziba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wabunge Washtushwa TCRA kutumia Bilioni 18 kwa Semina na Warsha

] Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji (PIC) imeshtushwa baada ya kubaini Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitumia Sh18 bilioni ... thumbnail 1 summary
]
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji (PIC) imeshtushwa baada ya kubaini Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitumia Sh18 bilioni mwaka 2013/2014 kwa ajili ya mafunzo, semina na warsha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Muimbaji Huyu Wa Tanzania Aigiza Kwenye Msimu Mpya Wa Tamthilia Ya Empire

Koku Gonza Katika msimu huo, muimbaji wa Tanzania aishiye Marekani, Koku Gonza ameshiriki. Koku anaonekana kwenye scene moja akimfundi... thumbnail 1 summary
Koku Gonza
Katika msimu huo, muimbaji wa Tanzania aishiye Marekani, Koku Gonza ameshiriki. Koku anaonekana kwenye scene moja akimfundisha Hakeem kucheza piano.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Walimu Walazwa UCHI na Kuchapwa Viboko

Ofisi ya Elimu wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani imelazimika kuwapa likizo walimu saba wa Shule ya Msingi Mingwata ili kuwajenga kisaikolo... thumbnail 1 summary
Ofisi ya Elimu wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani imelazimika kuwapa likizo walimu saba wa Shule ya Msingi Mingwata ili kuwajenga kisaikolojia baada ya kukithiri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yaya Toure bye bye Manchester City… kesho kutwa tu

Ni kitambo toka tuanze kusoma vichwa vya habari kwenye Magazeti vikisema ….Yaya Toure kuondoka Man City >>> <<< Man Cit... thumbnail 1 summary
Ni kitambo toka tuanze kusoma vichwa vya habari kwenye Magazeti vikisema ….Yaya Toure kuondoka Man City >>> <<< Man City wamuahidi Yaya Toure asiondoke 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Belle 9 kahamia Dar es salaam, katuambia mambo muhimu kuyafahamu 2016

Post hii ni maalum kwa Belle 9, mwimbaji wa bongofleva aliyeamua kuongeza nguvu zaidi kwenye biashara thumbnail 1 summary

Post hii ni maalum kwa Belle 9, mwimbaji wa bongofleva aliyeamua kuongeza nguvu zaidi kwenye biashara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kesi imemgeukia Lyatonga Mrema, anatakiwa kulipa MILIONI 40 kabla ya tarehe 5 June

Kesi ya Lyatonga Mrema kupinga ushindi wa Ubunge wa James Mbatia jimbo la Vunjo ilikua Mahakamani tena April 4 2016 ambapo jipya lililota... thumbnail 1 summary
Kesi ya Lyatonga Mrema kupinga ushindi wa Ubunge wa James Mbatia jimbo la Vunjo ilikua Mahakamani tena April 4 2016 ambapo jipya lililotangazwa ni kwamba Mahakama kuu kanda ya Moshi imeridhia makubaliano yaliyofikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA: JACK WILSHERE AHOJIWA NA POLISI USIKU MNENE

Kiungo wa klabu ya Arsenal, Jack Wilshere amewashangaza mashabiki wa soka nchini humo na kwingineko duniani, kufuatia kuonekana akijivinj... thumbnail 1 summary
Kiungo wa klabu ya Arsenal, Jack Wilshere amewashangaza mashabiki wa soka nchini humo na kwingineko duniani, kufuatia kuonekana akijivinjari katika mitaa ya katikati ya jiji la London, usiku wa kuamkia jana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PSG KUMSAJILI NEYAMR KWA REKODI YA DUNIA

Pirikapirika za usajili wa mwishoni mwa msimu huu zimeenza kushika kasi kutokana na baadhi ya vilabu kuhusishwa na ugomvi wa kuwania wach... thumbnail 1 summary
Pirikapirika za usajili wa mwishoni mwa msimu huu zimeenza kushika kasi kutokana na baadhi ya vilabu kuhusishwa na ugomvi wa kuwania wachezaji wenye hadhi kubwa duniani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DYNA NYANGE: NAPENDA KUVAA NGUO ZINAZONIACHA ‘KIUNO’ NJE.

Msanii wa Kike wa Muziki wa Kizazi kipya, Dyna Nyange, amefunguka na kuwataka Watu kutomchambua mtu tabia zake kwa mavazi anayoyavaa. thumbnail 1 summary
Msanii wa Kike wa Muziki wa Kizazi kipya, Dyna Nyange, amefunguka na kuwataka Watu kutomchambua mtu tabia zake kwa mavazi anayoyavaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndio kocha mpya wa Chelsea atakayejiunga na timu mwisho wa msimu 2015/2016

Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyoJose Mourinho miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchuk... thumbnail 1 summary
Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyoJose Mourinho miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa mudaGuus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelsea umetangaza kocha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchezaji wa Tanzania mwenye dili jipya la kuvalishwa viatu na kampuni ya PUMA

Soka la Tanzania linazidi kusogea na kuzipiga hatua za kimaendeleo na mastaa wake nao wanagonga vichwa vya habari kila kukicha, sasa hivi... thumbnail 1 summary
Soka la Tanzania linazidi kusogea na kuzipiga hatua za kimaendeleo na mastaa wake nao wanagonga vichwa vya habari kila kukicha, sasa hivi kiungo Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anakaribia kuingia mkataba na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: