January 22, 2016

Exclusive: Nahreel kuhusu maisha, anavyotoza studio kwake, Mkenya aliemkatalia, kazi za usiku studio na mengine

Nahreel  ni producer kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva ambaye mikono yake imehusika kwenye hits kama  Don’t bother ya Joh Makini na... thumbnail 1 summary
Nahreel ni producer kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva ambaye mikono yake imehusika kwenye hits kama Don’t bother ya Joh Makini na A.K.A , Zigo ya Ay na nyingine, alikutana na Millard Ayo kwenye Interview na kuifanya hii Exclusive, jinsi alivyoanza muziki na kufanya kazi za bure, wasiopenda kulipia studio, maisha na mengine mtazame kwenye hii video hapa chini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari kaamua kujibu kwa wanaomsema mitandaoni kwamba mtoto sio wa Diamond.. (+Audio)

Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao thumbnail 1 summary

Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REPEAT: Diamond alichojibu kuhusu stori za mtoto kuwa sio wake na watoto aliowakuta na Zari

Ni Exclusive Interview ya  Millard Ayo  na  Diamond Platnumz  thumbnail 1 summary
Ni Exclusive Interview ya Millard Ayo na Diamond Platnumz 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, hii ndio list ya mastaa waliosajiliwa Uingereza …

  By Rama Mwelondo TZA on January 22, 2016 42 SHARES SHARE TWEET SHARE SHARE COMMENTS Mtu wan... thumbnail 1 summary

 

on
Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha dogo la usajili la mwezi January halijafungwa kwa vilabu vya Ulaya, January 22 imenifikia ripoti ya vilabu vya Ligi Kuu Uingereza, list ya  wachezaji iliyowasajili hadi sasa katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January.
AFC Bournemouth
  • Juan Iturbe kutoka AS Roma kwa mkopo
  • Benik Afobe kutoka Wolves. thamani £12.1m
  • Lewis Grabban kutoka Norwich City (ada siri)
Afobe
Arsenal
  • Mohamed Elneny kutoka FC Basel. ada £5.5m
Mohamed
Everton 
  • Matty Fouldes kutoka Bury.
  • Shani Tarashaj kutoka GC Zurich.
Leicester City
  • Demarai Gray kutoka Birmingham City.
Liverpool
  • Marko Grujic kutoka Red Star Belgrade.
  • Kevin Stewart kutoka Swindon Town. amerudi alipokuwa kwa mkopo
  • Tiago Ilori kutoka Aston Villa amerudi alipokuwa kwa mkopo
  • Steven Caulker kutoka QPR kwa mkopo
Marko-Grujic1
Manchester United 
  • Adnan Januzaj kutoka Borussia Dortmund. amerudishwa alikokuwa kwa mkopo
Januzaj1
Norwich City
  • Matt Jarvis kutoka West Ham United.
  • Ivo Pinto kutoka Dinamo Zagreb.
  • Ben Godfrey kutoka York City.
  • Timm Klose kutoka Wolfsburg.
  • Steven Naismith kutoka Everton.
Naismith-
Southampton
  • Charlie Austin kutoka QPR.
Sunderland
  • Jan Kirchhoff kutoka Bayern Munich. 
  • Dame N’Doye kutoka Trabzonspor. kwa mkopo
Watford
  • Nordin Amrabat kutoka Malaga.
  • Costel Pantilimon kutoka Sunderland.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: