January 11, 2014

MWANAMKE MWENYE UMBO LA NYOKA AVUTIA WATU THAILAND ...... SOMA ZAIDI

Mai Li Fay The Snake Girl The girl in the above picture is Mai Li Fay by name, Mai Li Fay is 8-year-old and she is from Bangkok. Ma... thumbnail 1 summary
Mai Li Fay The Snake Girl

The girl in the above picture is Mai Li Fay by name, Mai Li Fay is 8-year-old and she is from Bangkok. Mai is far from living the usual life of a girl of her age. Everyday, thousands of people gather to the front of her family’s

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAA!! KASHFA YA MAPENZI YAMWANDAMA RAIS WA UFARANSA HOLLANDE... SOMA ZAIDI

Rais wa Ufaransa François Hollande, ametishia kuwachukulia hatua za kisheria wahariri wa jarida moja nchini humo lililochapisha taarif... thumbnail 1 summary
Rais wa Ufaransa François Hollande, ametishia kuwachukulia hatua za kisheria wahariri wa jarida moja nchini humo lililochapisha taarifa za uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mmoja muigizaji Julie Gayet.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VITU 10 WANAWAKE WANAVYOFIKIRIA PINDI WANAPOPISHANA NJIANI NA MWANAUME...SOMA HAPA UVIJUE

Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza. thumbnail 1 summary
Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SUPASTAA WADADA WA TZ WALIVYOTOKELEZEA KWENYE CAMERA "PHOTOGENIC"...WACHEKI HAPA...!

Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana ... thumbnail 1 summary

Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic.Mastaa waliofanikiwa kuingia katika list ni :-
Jokate Mwengelo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE TAJIRI AFRIKA MASHARIKI "QUEEN MEDIA"..TAZAMA MAPICHA YA UTAJIRI WAKE HAPA

Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwez... thumbnail 1 summary

Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATANZANIA WANAOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA SASA WANAFIKIA MIA NA KITU

Ni taarifa nyingi ambazo zimekua zikipokelewa na Watanzania kupitia Magazeti, mitandao na hata redio wakati m... thumbnail 1 summary


Ni taarifa nyingi ambazo zimekua zikipokelewa na Watanzania kupitia Magazeti, mitandao na hata redio wakati mwingine ambapo moja ya stori ambazo siwezi kuzisahau kwa 2013 ni ile ya Watanzania hamsini kudaiwa kunyongwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YANGA DIMBANI LEO DHIDI YA ANKARA SEKER SPOR

Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga leo wanacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya tim... thumbnail 1 summary
Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga leo wanacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya timu daraja la kwanza ya Ankara Seker Spor,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USTAKE NCHEKE


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXTRA BONGO KUPAMBA BONANZA LA JOGGING KESHO DAR LIVE

KWA wale wapenda michezo wote, kesho watakutana katika bonanza kubwa la Jogging litakalorindima ndani ya Dar Live , Mbagala-Zakhem, jiji... thumbnail 1 summary

KWA wale wapenda michezo wote, kesho watakutana katika bonanza kubwa la Jogging litakalorindima ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwa kushirikisha michezo mbalimbali pamoja na shoo  baab’kubwa kutoka kwa Ally Choki na Kundi la Wakali Dancers.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNGANA NASI FACEBOOK KWA HABARI KALI DUNIANI ....

KWA HABARI MOTOMOTO NJE NA NDANI YA NCHI UNGANA NASI KWENYE PAGE YETU YA FACEBOOK KWA KUBONYEZA LIKE ......... GONGA LIKE MARA MOJA UPAT... thumbnail 1 summary


https://www.facebook.com/pages/Bongo-Publisher/620529814649952?ref=hl

KWA HABARI MOTOMOTO NJE NA NDANI YA NCHI UNGANA NASI KWENYE PAGE YETU YA FACEBOOK KWA KUBONYEZA LIKE ......... GONGA LIKE MARA MOJA UPATE HABARI KALI ZOTE .. PAMOJA DAIMA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIG SHOW VS BLOCK LESNAR ....... MIELEKA SOMA ZAIDI

On Jan. 26 at Royal Rumble, Brock Lesnar returns to a WWE ring for a fight, though his opposition will not be any ordinary Superstar but ... thumbnail 1 summary

On Jan. 26 at Royal Rumble, Brock Lesnar returns to a WWE ring for a fight, though his opposition will not be any ordinary Superstar but rather a true giant in the form of the 7-foot, 425-pound Big

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UBALOZI WA TANZANIA CHINA HAUNA TAARIFA ZOZOTE KUKAMATWA JACK CLIFF NA MADAWA YA KULEVYA

Mwezi December 2013 taarifa zilitoka kwamba kuna binti wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 aliekamatwa na dawa za kulevya h... thumbnail 1 summary

Mwezi December 2013 taarifa zilitoka kwamba kuna binti wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 aliekamatwa na dawa za kulevya huko Macao China ambapo baadhi ya taarifa zilizoripotiwa na Waandishi wa Tanzania zilisema aliekamatwa ni mrembo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MISS VENEZUELA AKIPELEKWA KUZIKWA ..... SOMA ZAIDI

So sad. Friends, family and fans gathered to say their final goodbyes to former Miss Venezuela Monica Spear during an emotional service ... thumbnail 1 summary
Monica Spear Funeral

So sad. Friends, family and fans gathered to say their final goodbyes to former Miss Venezuela Monica Spear during an emotional service on Jan. 10. The funeral for Monica and ex-husband Thomas Henry Berry took place

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SELENA GOMEZ: BADO NAMPENDA JUSTIN BIEBER ....... FAHAMU KWANINI

Selena Gomez has already proven that she’s willing to stand by Justin Bieber through thick and thin, so it comes as no real surprise tha... thumbnail 1 summary
Justin Bieber Selena Gomez Back Together

Selena Gomez has already proven that she’s willing to stand by Justin Bieber through thick and thin, so it comes as no real surprise that Selena has decided to stay with

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Drake & Taylor Swift: ANATAKA KUTOKA NAE KIMAPENZI? UTHIBITISHO

A fan posted a picture on Instagram, suggesting that Taylor & Drake should date — and Drake liked it! Taylor Swift  has dated some of... thumbnail 1 summary
Drake Taylor Swift Dating

A fan posted a picture on Instagram, suggesting that Taylor & Drake should date — and Drake liked it!

Taylor Swift has dated some of the finest men in music, Joe Jonas and Harry Styles to name just a few. But is it possible she’ll soon be calling Drake her new boyfriend?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... Mimba ya Jini -06

ILIPOISHIA: Mustafa alimchukua mkewe na kumrudisha ndani akiwa katika hali ileile ya kupoteza fahamu. Baada ya kumlaza kwenye kochi a... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
Mustafa alimchukua mkewe na kumrudisha ndani akiwa katika hali ileile ya kupoteza fahamu. Baada ya kumlaza kwenye kochi alichukua simu ili kuwasiliana na Shehna.
Alipochukua simu alikuta bado ipo hewani aliita.
“Haloo Shehna.”
“Abee Mustafa.”
“Tayari.”
“Kile kichupa cha manukato kipo?”
“Sijui.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: