August 26, 2014

JE, WAJUA?! 'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI

Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana thumbnail 1 summary
Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARSENAL WAKIJIANDAA NA LIGI YA MABINGWA SIKU YA KESHO

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, akiongea na wachezaji wake   leo wakijiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi... thumbnail 1 summary
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, akiongea na wachezaji wake leo wakijiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Beskitas utakapigwa kesho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Muziki unalipa: Davido anunua private Jet (ndege)yake icheki hapa

Mwimbaji wa ‘Ayee’ Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezes... thumbnail 1 summary

Mwimbaji wa ‘Ayee’ Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LA LIGA:MATOKEO NA WAFUNGAJI WA MECHI KATI YA REALMADRID vs CORDOBA UWANJA WA BERNABEU

REAL Madrid jana imeuanza vyema msimu mpya wa La Liga kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cordoba iliyopanda daraja Uwanja wa Bernabeu. ... thumbnail 1 summary

REAL Madrid jana imeuanza vyema msimu mpya wa La Liga kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cordoba iliyopanda daraja Uwanja wa Bernabeu. Shukurani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAPATA AJALI

Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. thumbnail 1 summary

Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMIA WAJUMUIKA KUMUOMBEA MWANDISHI JAMES FOLEY ALIYEUAWA KWA KUKATWA KICHWA, WAZAZI WAONGEA YA MOYONI

mamia wamejumuika pamoja katika kanisa katoliki kushiriki ibada ya kumkumbuka na kuomboleza kifo cha mwanahabari james foley ambaye aliuawa... thumbnail 1 summary
mamia wamejumuika pamoja katika kanisa katoliki kushiriki ibada ya kumkumbuka na kuomboleza kifo cha mwanahabari james foley ambaye aliuawa kwa kukatwa kichwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASHABIKI WAMUUA MCHEZAJI ALGERIA

MCHEZAJI kutoka Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati thumbnail 1 summary
MCHEZAJI kutoka Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NESI MUHIMBILI AKATWA MIGUU

Flora Nathaniel Shayo (60) mkazi wa Chanika, wilayani Ilala, Dar ameiomba serikali pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete imsaidie baada ... thumbnail 1 summary


Flora Nathaniel Shayo (60) mkazi wa Chanika, wilayani Ilala, Dar ameiomba serikali pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete imsaidie baada ya kukatwa miguu kutokana na kuugua ugonjwa wa kisukari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI,MKE WAKAMANDA BARLOW NUSRA AUAWE KWA MAWE

UONEVU!  Ikiwa imepita takribani miaka miwili tangu aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, ACP Liberates Barlow (53) (picha ndogo) ... thumbnail 1 summary

UONEVU! Ikiwa imepita takribani miaka miwili tangu aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, ACP Liberates Barlow (53) (picha ndogo) afariki dunia usiku wa Oktoba 13, 2012 kwa kupigwa risasi na watu waliodhaniwa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMA SANA HII,DENTI WA CHUO AUA MWANAE NA KUMFICHA CHINI YA UVUNGU

MWANAFUNZI  wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya,  Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa ... thumbnail 1 summary

MWANAFUNZI wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya,  Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga, kumtumbukiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASANII MAARUFU WA WANASWA LIVE BILA CHENGA WAKIVUNJA AMRI YA SITA

Wasanii hawa ambao ni maarufu sana kwa jiji kumasi Ghana huko ghana kutokana na kufanya pamoja movie na wasanii wa nigeria hivi juzi wame... thumbnail 1 summary

Wasanii hawa ambao ni maarufu sana kwa jiji kumasi Ghana huko ghana kutokana na kufanya pamoja movie na wasanii wa nigeria hivi juzi wamejikuta katika skendo nzito baada ya picha zao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: