December 31, 2013

KALI YA MWAKA..JAMAA MMOJA AGOMA KUSHUKA JUU YA MNARA MPAKA AONANE NA RAISI KIKWETE HUKO DAR UBUNGO..CHEKI MAPICHA HAPA

 Askari wa Kikosi cha Zima moto na Uokoaji Wakiwa wamepanda juu ya Mnara wa Simu Uliopo Ubungo J... thumbnail 1 summary

 Askari wa Kikosi cha Zima moto na Uokoaji Wakiwa wamepanda juu ya Mnara wa Simu Uliopo Ubungo Jijini Dar Es Salaam Muda mfupi uliopita kwaajili ya kumuokoa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Hassan ambaye alipanda juu ya mnara huo kwa lengo la kufikisha ujumbe wa kutaka kuonana na Rais

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIYO MATUKIO 10 YALIYOSHIKA VICHWA VYA HABARI MWAKA 2013..YASOME KUYAJUA HAPA

Zimebaki siku chache kabla ya kuuaga mwaka 2013, mwaka ambao umekuwa na matukio mengi yaliyoitikisa nchi ya Tanza... thumbnail 1 summary

Zimebaki siku chache kabla ya kuuaga mwaka 2013, mwaka ambao umekuwa na matukio mengi yaliyoitikisa nchi ya Tanzania, huku mengine yakiipa sifa kubwa.

Historia ya Tanzania kuwa na Katiba Mpya itakayopatikana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FISI AMHARIBU SURA KIJANA HUYU...INASIKITISHA JAMANI

Nhende Ng’wanandilima akipata matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar.   Jelard Lucas na Makong... thumbnail 1 summary


Nhende Ng’wanandilima akipata matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar. 
Jelard Lucas na Makongoro Oging'
“MSEMO wa wahenga, hujafa Hujaumbika ulikuwa sahihi kabisa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

'Wowowo' la Agness Masogange lamtoa Udenda Senga...!!

Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga” alishindwa amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja ... thumbnail 1 summary



Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga” alishindwa amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot filamu mpya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rasimu ya Pili ya Katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais Kikwete ...Pata fursa ya Kuisoma haapa...!!

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete (kulia) Rasimu ya Pili ya Ka... thumbnail 1 summary


Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete (kulia) Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya leo.
 ** Hii  ndo  Rasimu  ya  Pili  ya  Katiba  mpya  iliyokabidhiwa  kwa  Rais  Kikwete  leo...Nimejitahidi  kuikuza  ili  iweze  kusomeka  vizuri....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond atua Lindi kuchangia Tamasha la watoto yatima...!!

Tamasha kubwa la kuchangia watoto yatima wa mkoa wa lindi kufanyika leo saa 8 mchana hadi 5 usiku katika uwanja wa ilu... thumbnail 1 summary


Tamasha kubwa la kuchangia watoto yatima wa mkoa wa lindi kufanyika leo saa 8 mchana hadi 5 usiku katika uwanja wa ilulu likitumbuizwa na msanii maarufu,Tanzania na Afrika Diamond Platinum Chini ya udhamini wa Mhe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA SIMU (SEX PHONE)

  Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na bila kuingiza uume wala mwanamke kuing... thumbnail 1 summary
 

Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziwa uume kwenye uchi wake na akaridhika kabisa,kwa mfano kuchezeana sehemu za siri mpaka wote mkakojoa kama vile kunyonyana,au mwanamke kuyabana maziwa yake na mwanaume kuingiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KWENDA MAFUNZO YA JKT MPENZI WANGU ARUDI BILA BIKIRA

hello admin, naomba nisaidie hili mimi ni kijana wa chuo mwaka wa pili, nilitokea kumpenda binti mmoja aliyemaliza kidato c... thumbnail 1 summary


hello admin, naomba nisaidie hili
mimi ni kijana wa chuo mwaka wa pili, nilitokea kumpenda binti mmoja aliyemaliza kidato cha sita 2012 ambaye alikuwa ni jirani yangu na kwel tulipendana sana ,na tulipanga mimi na yeye tuje kuoana na kutokana na mazingira aliyolelewa baba yake akiwa mchungaji aliniambia kuwa yeye ni bikira na ataitunza hadi n

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAMPENDA DADA WA MPENZI WANGU

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kwa miaka 6 lakini hatujawah sex sababu yeye alikuwa anakaa mkoa mwingne na akija dar kwa dada yake ... thumbnail 1 summary

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kwa miaka 6 lakini hatujawah sex sababu yeye alikuwa anakaa mkoa mwingne na akija dar kwa dada yake anabanwa sana so tukawa hatuna muda wa kusex lakini tulikuwa na ndoto za kuoana na alikuwa ananiambia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 30, 2013

MPENZI WANGU AMENIAMBUKIZA GONJWA LA AJABU

Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku... thumbnail 1 summary
Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA, DIAMOND WAMTESA PENNY

ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa s... thumbnail 1 summary

ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ATAJA SABABU 5 ZILIZOMFANYA ARUDIANE NA WEMA

    Baada ya kimya kirefu juu ya tetesi za kurudiana kwa mwanadada Wema Sepetu na Diamond kuzagaa kwenye mitandao hasa baad... thumbnail 1 summary



  
Baada ya kimya kirefu juu ya tetesi za kurudiana kwa mwanadada Wema Sepetu na Diamond kuzagaa kwenye mitandao hasa baada ya picha za wawili hao waliokuwa wamechana kuonekana wakila “bata” pamoja maeneo ya Hong Kong huko kwenye bara la Asia, sababu na ukweli wa namna wawili hao walivyorudiana umewekwa waza baada ya hivi karibuni msanii diamond platnumz kuzungumza na mtandao wa paparazi na kuelezea jinsi tukio hilo zima lilivyokuwa.Katika mazungumzo hayo Diamond alitaja mambo haya makuu matano yaliyosababisha mpaka aamue kurudisha vikosi kwa mwanadada Sepetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANZA YAPAMBA MOTO ... MAANDAMANO YA WAFANYABIASHARA KUPINGA UWEPO WA MASHINE ZA TRA

  Hali  si  nzuri  sana  jijini  Mwanza  kutokana  na  mgomo  wa  wafanyabiashara  wa  jiji  la  mwanza  ulionza  leo  asubuhi....... thumbnail 1 summary


 
Hali  si  nzuri  sana  jijini  Mwanza  kutokana  na  mgomo  wa  wafanyabiashara  wa  jiji  la  mwanza  ulionza  leo  asubuhi....Kwa  mujibu  wa  paparazi wetu  aliyeko  jijini  Mwanza  muda  huu, maduka  yote  yamefungwa  na  wafanyabiashara  hao  wako  barabarani  muda  huu  na  mabango  yao  wakielekea  viwanja  vya  Tanganyika....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAJI WARIOBA KUILIZA AU KUIPA KICHEKO CCM LEO

Jaji Joseph Warioba. Ni rasimu ya pili mfumo wa Muungano. Nape: Tusubiri tuone kitakachotokea. Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo itakabidh... thumbnail 1 summary


Jaji Joseph Warioba.Ni rasimu ya pili mfumo wa Muungano.
Nape: Tusubiri tuone kitakachotokea.
Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo itakabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rasimu ya pili na ya mwisho ya katiba mpya, huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATIKA KUELEKEA KUMALIZA MWAKA ,,HAYA NDIO MATUKIO 10 YALIYO SHIKA VICHWA VYA HABARI 2013 KWENYE TASNIA YA MUZIKI...

10. Kala Jeremiah Kusaini Mkataba na pepsi Kala Jeremiah msanii mwenye tunzo 3 za hip hop kut... thumbnail 1 summary



10. Kala Jeremiah Kusaini Mkataba na pepsi
Kala Jeremiah msanii mwenye tunzo 3 za hip hop kutoka Kili Music Award 2013alisaini mkataba wa miezi 6 kutoka kampuni ya PEPSI kama balozi wa soda hiyo. Kala alisema mkataba huo umempa furaha sana na amejisikia faraja sana. Sasa kala anaonekana kwenye matangazo ya pepsi na ni kitu cha kufurahisha kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA BADO BASI SOMA HAPA MKASA MZIMA WA JACK CLIFF KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA

MADAI ya kukamatwa kwa tuhuma za kumeza madawa ya kulevya aina ya Heroin nchini China kwa msanii, Video Queen na mwanamiti... thumbnail 1 summary
MADAI ya kukamatwa kwa tuhuma za kumeza madawa ya kulevya aina ya Heroin nchini China kwa msanii, Video Queen na mwanamitindo maarufu Bongo, Jacqueline Patrick, kumeibua maswali ya kila aina,  mengi yamesemwa, uvumi umeenea, lakini Ijumaa Wikienda linadondosha hatua kwa hatua.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SNURA AZUNGUMZA MAZITO KUHUSU MADAME WEMA NA MUZIKI WAKE...SOMA HAPA KUJUA

Snura Mushi ‘Mama Majanga’. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshuk... thumbnail 1 summary

Snura Mushi ‘Mama Majanga’.
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshukuru aliyekuwa rafiki yake wa damu, Wema Sepetu kwa kuwa ndiye aliyembunia vazi la muziki na fedha ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASICHANA 20 WAREMBO ZAIDI AFRICA KWA MWAKA 2013...MTANZANIA MMOJA PIA YUMO..SOMA ZAIDI KUWAJUA

Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana 20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa) ambapo... thumbnail 1 summary
Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana 20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa) ambapo hata hivyo imetawaliwa na wanawake wa Nigeria na Ghana.
Millen-Magese-x-Joice-Jacobs_1-2

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARTIN KADINDA ANENA MAZITO BAADA YA ULE UJUMBE WA JACK CLIFF WA WOSIA KUSAMBAA MTANDAONI,,, NA HIKI NDICHO ALICHOKISEMA..

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapok... thumbnail 1 summary

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China alipokuwa akitokea nchini Thailand.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAAJABU YA MWAKA...MWANADADA HUYU ATOA MACHOZI NA JASHO LA DAMU...SOMA ZAIDI HAPA

Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa liki... thumbnail 1 summary



Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 29, 2013

PICHA ZA NUSU UCHI ZA GREEN CITY MBEYA WALIVYO MWAGA RADHI SIKU YA CHRISMAS.... JIONEE

Katika kusherehekea sikukuu ya crismas,mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la mbeya,hawa ni kanga moko wak... thumbnail 1 summary
Katika kusherehekea sikukuu ya crismas,mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la mbeya maeneo ya sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga ladhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAUME 3 WA FAMILIA MOJA WAOTA MATITI...... SOMA ZAIDI KUJUA KISA NA MKASA

VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyos... thumbnail 1 summary

VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDO KALI YA MWAKA...!!!WATUPWA JELA KWA KOSA LA KUTALII WAKIWA UCHI WA MNYAMA...JIONEE MWENYEWE HAPA

Mwanamke Melodine Roberts aliyefuatana naye aliachiwa na polisi kwa kuwa mara baada ya  kuonywa kuacha tabia hiyo, aliacha lakini mpenz... thumbnail 1 summary


Mwanamke Melodine Roberts aliyefuatana naye aliachiwa na polisi kwa kuwa mara baada ya kuonywa kuacha tabia hiyo, aliacha lakini mpenzi wake huyo aligoma na hii ni mara ya 14 akifanya hivyo licha ya kufungwa jela huko nyuma. 
jemba moja, Stephen Gough aliyewahi kuwa mwanajeshi amekamatwa na polisi katika Jiji la Portsmouth, Uingereza baada ya kukutwa na mpenzi wake wakidunda kutalii mitaani wakiwa uchi wa nyama. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uhaba wa madarasa wakosesha Wanafunzi 16,482 kuingia sekondari

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne... thumbnail 1 summary


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini akitangaza wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga  kidato cha kwanza, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake, Dar es Salam jana. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Zuberi Samataba.Picha na Joseph Zablon. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAKA AKIRI KUMCHINJA MDOGO WAKE BAADA YA BABA YAKE KUMUANDIKISHA MALI ZOTE MTOTO WA MKE MDOGO

Mtoto Kalebu Simwelu(6) enzi za uhai wake, mtoto huyu alichinjwa na kaka yake kwa madai kuwa baba yake alimrithisha mali ... thumbnail 1 summary

Mtoto Kalebu Simwelu(6) enzi za uhai wake, mtoto huyu alichinjwa na kaka yake kwa madai kuwa baba yake alimrithisha mali zote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHAWI AKAMATWA DAR NA KUUAWA LIVE BAADA YA KUDONDOKA NA UNGO ..ANGALIA PICHA ZA KILICHOMKUTA

WANANCHI wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amep... thumbnail 1 summary

WANANCHI wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam, Mtanzania limeshuhudia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YULE GAIDI WA KIKE SAMANTHA ANASWA AKIONDOKA KAMBI YA MAFUNZO YA KIGAIDI KWA NGAMIA...!!

Mjane mweupe wa Uingereza anaaminika kuwa anasuka mipango mipya ya mashambulio ya ugaidi kutoka kwenye kambi ya mafunzo inayoh... thumbnail 1 summary

Mjane mweupe wa Uingereza anaaminika kuwa anasuka mipango mipya ya mashambulio ya ugaidi kutoka kwenye kambi ya mafunzo inayohusishwa na Al Qaeda baada ya kuonekana akiondoka kwa kutumia ngamia katika msitu wa nyoka wa kufugwa nchini Somalia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TIMUA TIMUA YA MAWAZIRI MIZIGO KUJA JUU ..... MAWAZIRI WANASWA KWA SANGOMA WAKIPEWA KINGA

MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili il... thumbnail 1 summary
MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili iliyopita, Uwazi lilimnasa mmoja wa mawaziri (jina tunalo), kwenye nyumba ya sangoma aliyefahamika kwa jina moja la Bwehe, Kijiji cha Mlingotini, Bagamoyo, Pwani.
Rais Dk. Jakaya Kikwete.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BODABODA WAMKERA LOWASA BAADA YA KUMWITA RAIS

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa juzi Jumapili alitibuliwa na waendesha pikipiki (Bodaboda) wa wilaya zote za  jijini Dar Sal... thumbnail 1 summary
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa juzi Jumapili alitibuliwa na waendesha pikipiki (Bodaboda) wa wilaya zote za  jijini Dar Salaam katika Viwanja wa Leaders baada ya kusukuma gari lake huku wakiimba ‘rais, rais, rais. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI WA CBE ALIYEKUFA MAJI YAZUA KASHESHE..SOMA ZAIDI HAPA

  Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa k... thumbnail 1 summary

Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITO AWAOMBA WAKAZI WA KIGOMA KUUMUNGA MKONO DHIDI YA CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaomba wakazi wa Mkoa wa Kigoma kumuunga mkono katika mapambano yake ndani ya chama hicho.   ... thumbnail 1 summary
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaomba wakazi wa Mkoa wa Kigoma kumuunga mkono katika mapambano yake ndani ya chama hicho. 
Akizungumza Mjini Kasulu katika mkutano wa hadhara, Zitto alisema atahakikisha anapigania haki yake ndani ya Chadema kwa kufuata taratibu zote zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho ili aweze kurudishiwa nyadhifa zake, hususan nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Bara aliyovuliwa na Kamati Kuu Novemba 21, 2013.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MRS.SUPERSTAR YA YOUNG KILLER

  Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Supe... thumbnail 1 summary


20131223_144602 
Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
20131223_151757Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake  walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
20131223_152234
20131223_154547
20131223_144845
20131223_144549
20131223_144529
20131223_150313
20131223_151813
20131223_151843
20131223_151915

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND, WEMA WATANGAZA NDOA

HUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao,... thumbnail 1 summary


HUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao, mzee mzima Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametangaza kumuoa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARUFUKU KULIPUA FATAKI MKESHA WA MWAKA MPYA

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Da... thumbnail 1 summary



 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana na sababu za kiusalama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: