May 08, 2016

“Narudisha Status Yangu Sasa” – Nuh Mziwanda

Msanii Nuh Mziwanda amesema hajutii maisha yake aliyoyapitia akiwa na mpenzi wake wa zamani, kwani amesha move on (kusonga mbele).Nuhu Mz... thumbnail 1 summary
Msanii Nuh Mziwanda amesema hajutii maisha yake aliyoyapitia akiwa na mpenzi wake wa zamani, kwani amesha move on (kusonga mbele).Nuhu Mziwanda ambaye hivi karibuni ameachia kazi yake ya ‘Jike Shupa’ aliyomshirikisha Ali Kiba,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bado Sijajua Watu Wanaupendea Nini Muziki wa Diamond Platnumz

Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua ... thumbnail 1 summary
Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DONALD Trump Atashinda Uchaguzi USA..Akosekana wa Kumzuia

1.Wapinzani wa Donald Trump wamejitoa wote baada ya matumaini yao kumzuia kushindikana. 2.Hakuna namna tena ya kumzuia billionea Donald T... thumbnail 1 summary
1.Wapinzani wa Donald Trump wamejitoa wote baada ya matumaini yao kumzuia kushindikana.
2.Hakuna namna tena ya kumzuia billionea Donald Trump kuwa mgombea urais wa Republican.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa Ndio Wafanyabiashara Wakubwa wa Sukari Nchini

Rais Magufuli ana vita pevu kuhusu mstakabali wa sukari na hatima ya viwanda vya sukari nchini. Sukari yote nchini inayoagizwa kutoka nj... thumbnail 1 summary
Rais Magufuli ana vita pevu kuhusu mstakabali wa sukari na hatima ya viwanda vya sukari nchini.
Sukari yote nchini inayoagizwa kutoka nje kwa kiasi kikubwa ilikuwa inaagizwa na hawa matajiri wakubwa nchini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RIYAMA Afunguka Kutomsamehe Mtu Huyu kwa Kumdhulumu Pesa

MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii ... thumbnail 1 summary
MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu, huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Itazame List 10 ya gari za thamani kubwa wanazomiliki Mastaa wa Rap Duniani

Kama ni mpenzi wakuafuatilia maisha ya mastaa wa Rap Duniani na vitu wanavyomiliki, basi hii isikupite, May 08 2016 nimekuwekea list ya m... thumbnail 1 summary
Kama ni mpenzi wakuafuatilia maisha ya mastaa wa Rap Duniani na vitu wanavyomiliki, basi hii isikupite, May 08 2016 nimekuwekea list ya mastaa wa Rap wanaopush ndinga kali na za thamani kubwa Duniani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Top 10 ya sherehe za gharama zaidi zilizowahi kufanyika, moja ni harusi ya Staa wa Man United

Nimekutana nazo hizi sherehe 10 ambazo zimewahi kuwa na bajeti kubwa zaidi moja katika hizo ipo harusi ya staa wa Machester Uni... thumbnail 1 summary



Nimekutana nazo hizi sherehe 10 ambazo zimewahi kuwa na bajeti kubwa zaidi moja katika hizo ipo harusi ya staa wa Machester United Wyne Rooney ambayo imeshika nafasi ya 7 ikiwa na bajeti ya Dola MILIONI 7.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Leicester City walivyopokea Kombe lao la kwanza la EPL leo May 7 2016

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Uingereza klabu ya Leicester City, leo May 7 2016 baada ya mchezo dhidi ya Everton katika uwanja wao wa King P... thumbnail 1 summary
Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Uingereza klabu ya Leicester City, leo May 7 2016 baada ya mchezo dhidi ya Everton katika uwanja wao wa King Power walipokea Kombe lao la kwanza la Ligi Kuu Uingereza baada ya wiki iliyopita Tottenham

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: