June 03, 2014

HONGERA RAY C: Ray C Foundation Pamoja inawezekana...

Kwama nyingine tena DOMOZEGE INC tunapenda kumpongeza na kumpa moyo Dada yetu  RAY C  ambae ni mwanzilisha na mkurugenzi wa RAY C FOU... thumbnail 1 summary

Kwama nyingine tena DOMOZEGE INC tunapenda kumpongeza na kumpa moyo Dada yetu RAY C ambae ni mwanzilisha na mkurugenzi wa RAY C FOUNDATION...kwakile anacho kifanya katika kuelimisha jamii juu ya madhara ya MADAWA YA KULEVYA....BIGAPU MAMA..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sikiliza Mume Wa Flora Mbasha Akikubali Kubaka Na Kuomba Msamaha Kwa Shemeji Yake. Sikiliza Hapa

 Daah hii nimeikuta BONGOCLAN.COM....Nacopy kama ilivyo: thumbnail 1 summary

 Daah hii nimeikuta BONGOCLAN.COM....Nacopy kama ilivyo:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

#TRENDING PHOTOS ON INSTAGRAM: Rihana, Serena Williams, Hamisa, Flaviana, Arianna, etc

  Huyu ni Balaa Shekh kama ndio mara ya Kwanza ... thumbnail 1 summary

Huyu ni Balaa Shekh kama ndio mara ya Kwanza ...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bei ya Kiatu Hiki cha K-Lyinn.....Ni Zaidi ya Bei ya VITZ

Leo katika pitapita kwenye kurasa za  WAREMBO   huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha  mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka  ... thumbnail 1 summary

Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO  huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha  mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi Milioni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serena Williams Avamia Harusi na Nguo za Kuogea 'Bikini wedding crasher!'

Hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams  kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandik... thumbnail 1 summary

Hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams  kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika kama " Bikini wedding crasher!" na nyingine akaiandika kama "Wedding crasher!! Congrats" akionekana amevalia kingua cha kuogea ....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: