December 08, 2016

Kajala Masanja,Siwezi kumsahau Jb kwenye maisha yangu.

Kuutambua uwezo wa mtu na kuuthamini ipasavyo kwa kukiri yale aliyoyatenda kwako ni jambo lililowashinda watu wengi hasa katika tasnia ya... thumbnail 1 summary
Kuutambua uwezo wa mtu na kuuthamini ipasavyo kwa kukiri yale aliyoyatenda kwako ni jambo lililowashinda watu wengi hasa katika tasnia ya sanaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aina ya Wanawake Ambao Watafanya Maisha Yako Kuwa Magumu.

Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia amb... thumbnail 1 summary
Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake. Katika mahusiano, utapata kuwa wanawake wanakuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Simu Mpya za iPhone 7 Zawapa Wasiwasi Apple, Zinashika Moto.

Kampuni ya Apple inahaha baada ya simu za iPhone kudaiwa kuanza kushika moto. Kampuni hiyo imedai sababu hiyo imetokana na madhara ya n... thumbnail 1 summary
Kampuni ya Apple inahaha baada ya simu za iPhone kudaiwa kuanza kushika moto.

Kampuni hiyo imedai sababu hiyo imetokana na madhara ya nje ya simu ambayo yameripotiwa kusababisha simu kulipuka au kushika moto nchini China.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Athibitisha Kuwa Hana Tatizo na Mama Mkwe Wake na Bado Zinaiva.

Kuliwahi kuwepo uvumi kuwa Zari na mama yake Diamond Platnumz hawaelewani. Tetesi hizo zilikuwa kubwa zaidi hivi karibuni baada ya Bi... thumbnail 1 summary
Kuliwahi kuwepo uvumi kuwa Zari na mama yake Diamond Platnumz hawaelewani.

Tetesi hizo zilikuwa kubwa zaidi hivi karibuni baada ya Bi. Sandra kumchunia Zari kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa lakini akamtumia salamu ex wa mwanae, Wema Sepetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sio lazima kuwa na record label kwa sababu msanii fulani anayo – Lady Jay Dee

Msanii mkongwe wa muziki Lady Jay Dee amesema hana mpango wa kuanzisha record label kwa kuwa kuna baadhi ya wasanii wanafanya hivyo. thumbnail 1 summary




Msanii mkongwe wa muziki Lady Jay Dee amesema hana mpango wa kuanzisha record label kwa kuwa kuna baadhi ya wasanii wanafanya hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya kuvurunda mechi ya Yanga na Simba, hawa ni waamuzi waliotemwa ligi kuu

Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya ... thumbnail 1 summary


Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao likipelekwa kwenye Kamati ya Waamuzi ili ishughulikie tatizo lao kitaalam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mfumuko wa bei waongezeka kutoka asilimia 4.5 hadi 4.8

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba 2016 umeongezeka hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 4.5 iliyokuwapo mwezi Oktoba, 201... thumbnail 1 summary




Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba 2016 umeongezeka hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 4.5 iliyokuwapo mwezi Oktoba, 2016 kutokana na kuongezeka kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mesut Ozil aishika pabaya timu ya Arsenal

Huenda timu ya Arsenal ikapata pigo jingine kutoka kwa Mesut Ozil. thumbnail 1 summary
Huenda timu ya Arsenal ikapata pigo jingine kutoka kwa Mesut Ozil.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro yaanza kujitetea kuhusu kupotea kwa Faru John

Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha umesema umeanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu la kutaka kuwasilisha nyaraka... thumbnail 1 summary


Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha umesema umeanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu la kutaka kuwasilisha nyaraka zote za kumhamisha Faru ajulikanae kama John na maelezo ya kupotea kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee adai wazo la wimbo ‘Cash Madame’ amelipata baada ya kuzinguliwa na promota

Msanii wa kike wa muziki, Vanessa Mdee amedai wazo la kuandika wimbo ‘Cash Madame’ alilipata baada ya kuzinguliwa malipo yake ya show ... thumbnail 1 summary


Msanii wa kike wa muziki, Vanessa Mdee amedai wazo la kuandika wimbo ‘Cash Madame’ alilipata baada ya kuzinguliwa malipo yake ya show ya promota.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ripoti: Kanye West aanza kutengeneza muziki mpya akiendelea na matibabu

Ni ngumu kumtenganisha Kanye West na muziki. Kwa mujibu wa ripoti ya TMZ, rapper huyo ameanza kupika kazi mpya wakati akiendelea na ma... thumbnail 1 summary



Ni ngumu kumtenganisha Kanye West na muziki. Kwa mujibu wa ripoti ya TMZ, rapper huyo ameanza kupika kazi mpya wakati akiendelea na matibabu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nay wa Mitego: Biashara ya mimi na Mr T Touch ilishaisha

Nay wa Mitego anaweza akawa anamiss midundo ya producer wake wa zamani, Mr T Touch lakini hana mpango wa kufanya naye tena kazi. thumbnail 1 summary

Nay wa Mitego anaweza akawa anamiss midundo ya producer wake wa zamani, Mr T Touch lakini hana mpango wa kufanya naye tena kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Remy Ma asherehekea kuwa msanii wa kike pekee wa hip hop kutajwa kuwania tuzo za Grammy

Remy Ma amekuwa msanii pekee wa kike wa hip hop aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy mwakani thumbnail 1 summary

Remy Ma amekuwa msanii pekee wa kike wa hip hop aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy mwakani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maofisa wa United waanza kukerwa na tabia za Mourinho

Maofisa wa klabu ya soka ya Manchester United inasemekana kwamba wameanza kuchoshwa na mwenendo na tabia za kocha wao Jose Mou... thumbnail 1 summary






Maofisa wa klabu ya soka ya Manchester United inasemekana kwamba wameanza kuchoshwa na mwenendo na tabia za kocha wao Jose Mourinho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Machinga wafunga mitaa Dar, Maduka yahamia barabarani

Baada ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kutoa tamko kuwa wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama ‘Machinga’ baadhi ya mitaa katika ... thumbnail 1 summary


Baada ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kutoa tamko kuwa wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama ‘Machinga’ baadhi ya mitaa katika miji iliyopo makao makuu ya mikoa mbalimbali nchini imefurika wafanyabiashara hao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtanzania Jennifer Shigoli ashinda tuzo ya ‘African Entreprenureship Award 2016’

Mtanzania Jennifer Shigoli ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investments amefanikiwa kushinda tuzo ya ujasiriamali ya ‘Afric... thumbnail 1 summary



Mtanzania Jennifer Shigoli ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investments amefanikiwa kushinda tuzo ya ujasiriamali ya ‘African Entreprenureship Award 2016’ kwenye kipengele ch

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ndizo changamoto zinazoikabili sekta ya elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametaja moja ya changamoto zinazokabili sera ya elimu m... thumbnail 1 summary
ndalichakoWaziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametaja moja ya changamoto zinazokabili sera ya elimu msingi bure, kuwa ni upungufu wa fedha za kila mwezi zinazotolewa, kutotosheleza kulipia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mnigeria huyu alikataa ofa ya kufanya kazi na bilionea Bill Gates, Sababu…

Katika stori zilizotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya kijana kutoka Nigeria, Chris Kwekowe ambaye ameripotiwa kuit... thumbnail 1 summary


Katika stori zilizotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya kijana kutoka Nigeria, Chris Kwekowe ambaye ameripotiwa kuitolea nje ofa ya kufanya kazi kwenye kampuni ya Microsoft ya bilionea Bill Gates na kusema kwamba watu wengi nchini kwake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kazi atakayofanya Cristiano Ronaldo baada ya kustaafu soka

Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya HispaniaCristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye head... thumbnail 1 summary


Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya HispaniaCristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kutoka kwa interview yake aliyofanya na FourFourTwo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maiti 6 zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo huku zikiwa zimearibika vibaya

Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko y... thumbnail 1 summary
03-ruvu-river-bagamoyoMaiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mzee aliyeweka tangazo la kutafuta mke aongeza sharti jipya

Mzee Athuman Mchambua (76),mkazi wa Mtoni Mtongani,jijini Dar ambaye ameweka tangazo nyumbani kwake la kutafuta mke, ameongeza sharti jipya... thumbnail 1 summary
Mzee Athuman Mchambua (76),mkazi wa Mtoni Mtongani,jijini Dar ambaye ameweka tangazo nyumbani kwake la kutafuta mke, ameongeza sharti jipya kwa mke anayemuhitaji.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kim Kardashian ameanza mipango ya kufungua kesi ya kudai Talaka dhidi ya Kanye West

Kama ilivyo kawaida, kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote, na leo nimeipata hii kutoka kwa Kim Kardashian ambaye ni mke wa ... thumbnail 1 summary


Kama ilivyo kawaida, kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote, na leo nimeipata hii kutoka kwa Kim Kardashian ambaye ni mke wa rapa Kanye West anayedaiwa kuanza mipango ya kufungua kesi ya madai ya talaka dhidi ya mume wake huku akitaka mahakama impe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu Ndiye Msanii Maarufu Zaidi Katika Instagram 2016.

Nyota wa muziki wa pop Selena Gomez ndiye msanii maarufu zaidi katika mtandao wa Instagram mwaka huu. thumbnail 1 summary

Nyota wa muziki wa pop Selena Gomez ndiye msanii maarufu zaidi katika mtandao wa Instagram mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Apple wahaha kufuatia ripoti za iPhone kushika moto

Kampuni ya Apple inahaha baada ya simu za iPhone kudaiwa kuanza kushika moto. thumbnail 1 summary


Kampuni ya Apple inahaha baada ya simu za iPhone kudaiwa kuanza kushika moto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto mwenye jinsia mbili akubaliwa na mahakama kuondoa ya kiume

Mtoto wa miaka mitano raia wa Australia aliyezaliwa huntha; akiwa na sehemu za siri za kike na kiume amekubaliwa na makahama kubadilisha ... thumbnail 1 summary
_92865069_48b00ed7-7bec-41f3-8b38-3c9fe64df8cbMtoto wa miaka mitano raia wa Australia aliyezaliwa huntha; akiwa na sehemu za siri za kike na kiume amekubaliwa na makahama kubadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke japo hatakuwa na uwezo wa kuzaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KBC wa Kwanza Unit: Hip hop ni utamaduni unaobadilika kulingana na maeneo, trap pia ni hip hop

Kumekuwepo na mjadala mkubwa sana kuhusiana na mabadiliko ya hip hop na kama aina fulani ya muziki wa sasa inaweza kuwa sehemu ya utamadun... thumbnail 1 summary

hip-hop-graffitiKumekuwepo na mjadala mkubwa sana kuhusiana na mabadiliko ya hip hop na kama aina fulani ya muziki wa sasa inaweza kuwa sehemu ya utamaduni huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maiti 6 zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo huku zikiwa zimearibika vibaya

Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko thumbnail 1 summary


Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Darassa ajiwekea rekodi hii mpya Youtube

Uamuzi wa kubadilisha muziki wake, umeendelea kumzalia matunda matamu rapper Darassa. Akiwa na wimbo ambao hakuna anayeweza kubisha kuwa ndio thumbnail 1 summary

Uamuzi wa kubadilisha muziki wake, umeendelea kumzalia matunda matamu rapper Darassa. Akiwa na wimbo ambao hakuna anayeweza kubisha kuwa ndio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nikitaka kutoa wimbo hujipima kwa nyimbo za Diamond na Alikiba kwanza – Christian Bella

Christian Bella amesema kabla hajatoa wimbo wowote, huzipima kwanza nyimbo zake dhidi ya nyimbo za Diamond na Alikiba na kuangalia kwanin... thumbnail 1 summary
Christian Bella amesema kabla hajatoa wimbo wowote, huzipima kwanza nyimbo zake dhidi ya nyimbo za Diamond na Alikiba na kuangalia kwanini zao zimependwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond na Zari wamtamanisha Vera Sidika kupata mtoto

Kuna uwezekano mkubwa hamu ya Vera Sidika kutamani mtoto imekuja baada ya kumuona mtoto wa pili wa Zari aliyejifungua Jumanne hii. thumbnail 1 summary
Kuna uwezekano mkubwa hamu ya Vera Sidika kutamani mtoto imekuja baada ya kumuona mtoto wa pili wa Zari aliyejifungua Jumanne hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: