December 29, 2013

PICHA ZA NUSU UCHI ZA GREEN CITY MBEYA WALIVYO MWAGA RADHI SIKU YA CHRISMAS.... JIONEE

Katika kusherehekea sikukuu ya crismas,mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la mbeya,hawa ni kanga moko wak... thumbnail 1 summary
Katika kusherehekea sikukuu ya crismas,mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la mbeya maeneo ya sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga ladhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAUME 3 WA FAMILIA MOJA WAOTA MATITI...... SOMA ZAIDI KUJUA KISA NA MKASA

VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyos... thumbnail 1 summary

VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDO KALI YA MWAKA...!!!WATUPWA JELA KWA KOSA LA KUTALII WAKIWA UCHI WA MNYAMA...JIONEE MWENYEWE HAPA

Mwanamke Melodine Roberts aliyefuatana naye aliachiwa na polisi kwa kuwa mara baada ya  kuonywa kuacha tabia hiyo, aliacha lakini mpenz... thumbnail 1 summary


Mwanamke Melodine Roberts aliyefuatana naye aliachiwa na polisi kwa kuwa mara baada ya kuonywa kuacha tabia hiyo, aliacha lakini mpenzi wake huyo aligoma na hii ni mara ya 14 akifanya hivyo licha ya kufungwa jela huko nyuma. 
jemba moja, Stephen Gough aliyewahi kuwa mwanajeshi amekamatwa na polisi katika Jiji la Portsmouth, Uingereza baada ya kukutwa na mpenzi wake wakidunda kutalii mitaani wakiwa uchi wa nyama. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uhaba wa madarasa wakosesha Wanafunzi 16,482 kuingia sekondari

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne... thumbnail 1 summary


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini akitangaza wanafunzi  waliochaguliwa kujiunga  kidato cha kwanza, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake, Dar es Salam jana. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Zuberi Samataba.Picha na Joseph Zablon. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAKA AKIRI KUMCHINJA MDOGO WAKE BAADA YA BABA YAKE KUMUANDIKISHA MALI ZOTE MTOTO WA MKE MDOGO

Mtoto Kalebu Simwelu(6) enzi za uhai wake, mtoto huyu alichinjwa na kaka yake kwa madai kuwa baba yake alimrithisha mali ... thumbnail 1 summary

Mtoto Kalebu Simwelu(6) enzi za uhai wake, mtoto huyu alichinjwa na kaka yake kwa madai kuwa baba yake alimrithisha mali zote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHAWI AKAMATWA DAR NA KUUAWA LIVE BAADA YA KUDONDOKA NA UNGO ..ANGALIA PICHA ZA KILICHOMKUTA

WANANCHI wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amep... thumbnail 1 summary

WANANCHI wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam, Mtanzania limeshuhudia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YULE GAIDI WA KIKE SAMANTHA ANASWA AKIONDOKA KAMBI YA MAFUNZO YA KIGAIDI KWA NGAMIA...!!

Mjane mweupe wa Uingereza anaaminika kuwa anasuka mipango mipya ya mashambulio ya ugaidi kutoka kwenye kambi ya mafunzo inayoh... thumbnail 1 summary

Mjane mweupe wa Uingereza anaaminika kuwa anasuka mipango mipya ya mashambulio ya ugaidi kutoka kwenye kambi ya mafunzo inayohusishwa na Al Qaeda baada ya kuonekana akiondoka kwa kutumia ngamia katika msitu wa nyoka wa kufugwa nchini Somalia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TIMUA TIMUA YA MAWAZIRI MIZIGO KUJA JUU ..... MAWAZIRI WANASWA KWA SANGOMA WAKIPEWA KINGA

MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili il... thumbnail 1 summary
MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili iliyopita, Uwazi lilimnasa mmoja wa mawaziri (jina tunalo), kwenye nyumba ya sangoma aliyefahamika kwa jina moja la Bwehe, Kijiji cha Mlingotini, Bagamoyo, Pwani.
Rais Dk. Jakaya Kikwete.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BODABODA WAMKERA LOWASA BAADA YA KUMWITA RAIS

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa juzi Jumapili alitibuliwa na waendesha pikipiki (Bodaboda) wa wilaya zote za  jijini Dar Sal... thumbnail 1 summary
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa juzi Jumapili alitibuliwa na waendesha pikipiki (Bodaboda) wa wilaya zote za  jijini Dar Salaam katika Viwanja wa Leaders baada ya kusukuma gari lake huku wakiimba ‘rais, rais, rais. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI WA CBE ALIYEKUFA MAJI YAZUA KASHESHE..SOMA ZAIDI HAPA

  Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa k... thumbnail 1 summary

Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITO AWAOMBA WAKAZI WA KIGOMA KUUMUNGA MKONO DHIDI YA CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaomba wakazi wa Mkoa wa Kigoma kumuunga mkono katika mapambano yake ndani ya chama hicho.   ... thumbnail 1 summary
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaomba wakazi wa Mkoa wa Kigoma kumuunga mkono katika mapambano yake ndani ya chama hicho. 
Akizungumza Mjini Kasulu katika mkutano wa hadhara, Zitto alisema atahakikisha anapigania haki yake ndani ya Chadema kwa kufuata taratibu zote zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho ili aweze kurudishiwa nyadhifa zake, hususan nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Bara aliyovuliwa na Kamati Kuu Novemba 21, 2013.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MRS.SUPERSTAR YA YOUNG KILLER

  Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Supe... thumbnail 1 summary


20131223_144602 
Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
20131223_151757Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake  walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
20131223_152234
20131223_154547
20131223_144845
20131223_144549
20131223_144529
20131223_150313
20131223_151813
20131223_151843
20131223_151915

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND, WEMA WATANGAZA NDOA

HUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao,... thumbnail 1 summary


HUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao, mzee mzima Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametangaza kumuoa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARUFUKU KULIPUA FATAKI MKESHA WA MWAKA MPYA

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Da... thumbnail 1 summary



 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana na sababu za kiusalama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATU WA KARIBU WA JACK CLIFF WATHIBITISHA KUKAMATWA KWAKE CHINA

Rafiki wa karibu wa video vixen maarufu nchini, Jackie Cliff amethibitisha taarifa zinazoendelea... thumbnail 1 summary






Rafiki wa karibu wa video vixen maarufu nchini, Jackie Cliff amethibitisha taarifa zinazoendelea kukua kwa sasa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIFUATA HAYA ,MAHUSIANO YAKO NA MPENZI WAKO KWA MWAKA MPYA 2014 YATADUMU MILELE..!!!SOMA HAPA .

HUU ni msimu wa sikukuu! Juzi, tumesherehekea Sikukuu ya Krismasi na sasa tunaelekea Mwak... thumbnail 1 summary



HUU ni msimu wa sikukuu! Juzi, tumesherehekea Sikukuu ya Krismasi na sasa tunaelekea Mwaka Mpya 2014. Kwa nguvu za Mungu tutafika salama. Ndugu zangu, hebu tutafakari vizuri kuhusu mwaka uliopita na kuangalia cha maana tulichofanya kwa wenzi wetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZIFAHAMU DALILI ZA MWANAMKE ANAPOTAKA KUFIKA KILELENI...SOMA HAPA KUPATA MAUTUNDU..!!!

Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa. Ukweli uliopo ni rahisi... thumbnail 1 summary

Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa. Ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke, hali hiyo inatokana na sababu nyingi. Kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA ANENA KUUSU DIAMOND NA UMAARUFU WAKE KUPITIA MADADA..... PATA KUJUA NI NINI

WIKI kadhaa zilizopita tulisikia msanii wa filamu na muziki Baby Madaha akifunguka na kusema kuwa Dia... thumbnail 1 summary


WIKI kadhaa zilizopita tulisikia msanii wa filamu na muziki Baby Madaha akifunguka na kusema kuwa
Diamond siyo msanii bali ni malaya na anatumia wasichana maarufu ili apate kiki katika muziki anaoufanya. Baby Madaha alizidi kufunguka na kusema endapo wasanii maarufu wa kike wakipata uelewa na wakamgundua Diamond basi ndiyo mwisho wa msanii huyo kusikika hewani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAYNA NYANGE ANENA MAZITO KWA KUFUMWA UFUKWENI NA NJEMBA...TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani    Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha  ... thumbnail 1 summary
Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani    Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha 
zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njemba nusu uchi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIYO MAISHA HALISI YA SNURA MAJANGA..!!!SOMA ZAIDI KUJUA KAPITIA WAP

KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wan... thumbnail 1 summary

KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wanaofuatilia mambo ya sanaa na burudani, wanamfahamu kitambo. Ninamzungumzia Snura Mushi, ambaye anatamba sana na kibao chake cha Majanga...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACKLINE WOLPER AZUA BALAA JIJINI DAR KUTOKANA NA KIVAZI HIKI ALICHOVAA..!!!JIONEE MWENYEWE HAPA

Mastaa bongo movie walibaki hoi;wolper huu mwendo wake ni noumaaa...amekua gumzo sana katika Skukuu ya Krismas jinsi al... thumbnail 1 summary




Mastaa bongo movie walibaki hoi;wolper huu mwendo wake ni noumaaa...amekua gumzo sana katika Skukuu ya Krismas jinsi alivyo pendeza yani kama alicia keys vile..mtazame hapa pichani....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UFUNDI WA MAUNO NA KUTUMIA VIUNGO NDO MAFANIKIO YA SNURA MUSHI NA SHILOLE...????SOMA ZAIDI HAPA KUFAHAMU

KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wanaofuatilia mambo ya sa... thumbnail 1 summary

KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wanaofuatilia mambo ya sanaa na burudani, wanamfahamu kitambo. Ninamzungumzia Snura Mushi, ambaye anatamba sana na kibao chake cha Majanga...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATU WATANO WAKIWEMO WABUGNE WA CCM WAJISALIMISHA KWA TUHUMA ZA KUUZA MADAWA YA KULEVYA..!!SOMA ZAIDI KUJUA UKWELI

Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa CCM wanaodaiwa ku... thumbnail 1 summary


Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya kidini inayojihusisha na maadili nje na ndani ya makanisa.
WABUNGE WATATU WAUZA UNGA WA CCM WAJISALIMISHA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK CLIFF AMUANDIKIA UJUMBE MARTIN KADINDA IKATOKEA AKINYONGWA HUKO CHINA...SOMA MWENYEWE UJUMBE HUU

Baada ya kukamatwa na kilo 1.1 za heroin nchini China, mrembo Jackie Cliff kwa sasa anasubiria hatima yake ... thumbnail 1 summary
Baada ya kukamatwa na kilo 1.1 za heroin nchini China,
mrembo Jackie Cliff kwa sasa anasubiria hatima yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. Ikiwa nchini humo kuna adhabu tofauti za kuwahukumu watu wanao jihusisha na madawa ya kulevya.kc

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO SIRI NZITO ZILIZO SABABISHA MAWAZIRI HAWA KUTIMULIWA...!!!SOMA ZAIDI HAPA KUJUA WALIYOFANYA ...

SIRI mbalimbali zimeanza kufichuka kuhusiana na ‘madudu’ yaliyokuwa yakifanyika, katika utekelezaji wa Op... thumbnail 1 summary

SIRI mbalimbali zimeanza kufichuka kuhusiana na ‘madudu’ yaliyokuwa yakifanyika, katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza, iliyowang’oa madarakani mawaziri wanne. 
Siri hizo zimeanza kuvuja baada ya kubainika kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliandikiwa barua mara mbili na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi juu ya ‘madudu’ hayo, lakini hakuweza kuchukua hatua.
Habari za uhakika ambazo MTANZANIA Jumamosi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: