August 11, 2014

JACK CLIFF AYEYUKA GEREZANI KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA , SOMA MCHAPO WOTE HAPA

Nini kinaendelea?  Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kule... thumbnail 1 summary
Nini kinaendelea? Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ anadaiwa kuyeyuka gerezani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amshauri diamond asioe

IMEVUJA  kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asis... thumbnail 1 summary
IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHUCHU HANS ATAMBA NA KUJINADI JUU YA PENZI LA RAY

STAA  wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa kulinadi jina lake hadh... thumbnail 1 summary
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa kulinadi jina lake hadharani kwa kuvaa t-shirt iliyoandikwa; ‘Ray Kigosi’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NI KUHUSU YOUNG KILLER KUPIGWA HADI KUZIMIA ALIPOGUNDULIKA TU ANAFANYA MUZIKI,

Mama wa msanii wa muziki wa Hip Hop Young Killer Msodoki, amesema kuwa anafurahishwa sana na kipaji cha mtoto wake ambacho kinaendelea ... thumbnail 1 summary

Mama wa msanii wa muziki wa Hip Hop Young Killer Msodoki, amesema kuwa anafurahishwa sana na kipaji cha mtoto wake ambacho kinaendelea kuonekana siku hadi siku licha ya kwamba mwanzoni aliwahi kumkataza kwa kumpiga mwanaye huyo mpaka kuzimia ile aachane na muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pichaz za Rais Uhuru Kenyatta na Akon nchini Marekani.

President Uhuru Kenyatta wa Kenya ni miongoni mwa Marais wachache wenye umri mdogo kulinganisha na Marais wengi ambapo amekua akienda saw... thumbnail 1 summary
akon 12President Uhuru Kenyatta wa Kenya ni miongoni mwa Marais wachache wenye umri mdogo kulinganisha na Marais wengi ambapo amekua akienda sawa na baadhi ya mahitaji au tabia ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wewe ni shabiki wa George Clooney? kuna 7 facts hapa kuhusu harusi yake

Kama mojawapo ya starehe zako ni kufatilia movie za dunia najua George Clooney anaweza kuwa miongoni mwa waigizaji mastaa unaowafahamu am... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-11 at 6.13.53 AMKama mojawapo ya starehe zako ni kufatilia movie za dunia najua George Clooney anaweza kuwa miongoni mwa waigizaji mastaa unaowafahamu ambapo sasa anakaribia kufunga ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uliona alichopost msanii Tunda Man kuhusu Edward Lowassa? kiko hapa

Kutana na ya moyoni mwa Tunda Man, staa wa bongofleva kutokea kundi la Tiptop Connection ambapo amepost picha kadhaa na maelezo yake kwen... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-11 at 5.42.21 AMKutana na ya moyoni mwa Tunda Man, staa wa bongofleva kutokea kundi la Tiptop Connection ambapo amepost picha kadhaa na maelezo yake kwenye mtandao wa instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI YA NDEGE YAUA 48 IRAN

Ndege ya Iran iliyoanguka na kuua watu 48 leo asubuhi. WATU 48 wamefariki dunia baada ya ndege ndogo ya abiria waliyokuwemo thumbnail 1 summary

Ndege ya Iran iliyoanguka na kuua watu 48 leo asubuhi.
WATU 48 wamefariki dunia baada ya ndege ndogo ya abiria waliyokuwemo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARSENAL BINGWA NGAO YA JAMII

Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0. thumbnail 1 summary

Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI JACK WOLPER ANAFIKIRIA NINI KUVAA MAVAZI HAYA?? YAONE HAPA MWENYEWE

Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandik... thumbnail 1 summary

http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpa1/927125_783024195051484_1390320470_n.jpg

Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika kila kukicha.. lakini hilo si ambalo sana nataka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: