December 11, 2013

MAMBO AMBAYO NI VEMA KUOMBA RUHUSA KWA MPENZI WAKO KABLA YA KUFANYA ....

Kuchat kwenye mtandao mara baada ya kurudi nyumbani au kama una kazi za ofisini ambazo inakulazimu uzifanyie nyumbani. ... thumbnail 1 summary



Kuchat kwenye mtandao mara baada ya kurudi nyumbani au kama una kazi za ofisini ambazo inakulazimu uzifanyie nyumbani. Ni vyema kumuomba mwenzi wako ruhusa kama hatajali kabla ya kukurupuka na kufungua lap top na kuendelea na kazi zako.Ni muhimu kuomba ruhusa kwa mwenzi wako kwa sababu huwezi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIKU HIZI WASICHANA/MWANAUME BIKIRA SI DEAL KABISA.

Leo wakati nakuja hapa nilipo muda huu nilikuwa nimeongozana na wadada kama  wa-4 hivi inaonekana wanaishi jirani na... thumbnail 1 summary

Leo wakati nakuja hapa nilipo muda huu nilikuwa nimeongozana na wadada kama
 wa-4 hivi inaonekana wanaishi jirani na wanakofanyia kazi au wanakoishi ni kumoja.

Wadada hawa walikua na story

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NINI TATIZO KATIKA HILI..MAUMBILE MADOGO YA KIUME AMA MAUMBILE MAKUBWA YA KIKE?

Bandugu..kumekuwa na malalamiko mengi sana katika swala zima la mapenzi kwa siku hizi za karibuni na hii inasabanisha ... thumbnail 1 summary

Bandugu..kumekuwa na malalamiko mengi sana katika swala zima la mapenzi kwa siku hizi za karibuni na hii inasabanisha kuongezeka kwa waganga na matangazo mengi mara ya Kuongeza uume.Kutight uke.Kuleta hamu ya mapenzi.Kuongeza nguvu za kiume.Hii inanipa maswali kwamba tatizo ni nn.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHINDANO LA KUMPATA MREMBO MWENYE MAKALIO MAZURI HUKO BRAZIL......!!

Rear of the year: Dai Macedo won Miss Bum Bum 2013 with her 42in bottom ( Eliana Amaral, from Pernambuco in no... thumbnail 1 summary

Bums the word: Dai Macedo is awarded the accolade of having the best bottom in BrazilRear of the year: Dai Macedo won Miss Bum Bum 2013 with her 42in bottom (
Rear of the year: Dai Macedo won Miss Bum Bum 2013 with her 42in bottom (
Eliana Amaral, from Pernambuco in north Brazil, was awarded second place while bringing up the rear was Jessica Amaral from the central northern region of Para who came third.
Ms Macedo, an administration student,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIJANA WA MIAKA 32 AFUMWA NA KIKONGWE CHA MIAKA 80...

Kuna mengi ya kushangaza duniani lakini hili la kijana Hamad Issa (32) kunaswa faragha na bibi kizee Adela Mkalau (80) linaongeza... thumbnail 1 summary
Kuna mengi ya kushangaza duniani lakini hili la kijana Hamad Issa (32) kunaswa faragha na bibi kizee Adela Mkalau (80) linaongeza rekodi ya mambo yanayoshangaza,.Tukio hilo la kustaajabisha limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita, nyumbani kwa bibi huyo, Yombo –Buza, jijini Dar es Salaam ambapo wajukuu wa bibi huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WHY?? UMNYIME MWEZI WAKO PENZI

Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hi... thumbnail 1 summary

Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.

Hata kama kuna kisa kilichosababisha mgombane, usiruhusu hali hiyo itokee, mwanamke mwenzangu fahamu ugomvi ndani ya nyumba ni mgeni wa kuingia na kutoka, ni shetani huyu, usimruhusu kwako.
Pia elewa mwanamke mwenzangu kuwa ndoa ni kifundo cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KOMBE LA DUNIA : GHANA WAKATI MGUMU NA KUNDI LAKE

Makundi yamejulikana , na pia imejulikana nani atamenyana na nani. ... thumbnail 1 summary

Makundi yamejulikana , na pia imejulikana nani atamenyana na nani.
Hapana shaka wapenzi wa soka barani Afrika pamoja na kuomboleza kifo cha Nelson Mandela wamekuwa wanafuatilia Droo ya kombe la dunia kufahamu nani wapinzani wa timu tano zinazowakilisha bara hilo.
Cameroon wamejikuta katika kundi gumu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU ZA WABUNIFU WA KIUME KWENYE MITINDO KUWA MASHOGA

Bila shaka umeshajiuliza sana kwanini wabunifu wengi wa nguo wa kiume duniani ni mashoga. Haya ndio majibu: Kwanza, ta... thumbnail 1 summary
Marc Jacobs
Bila shaka umeshajiuliza sana kwanini wabunifu wengi wa nguo wa kiume duniani ni mashoga. Haya ndio majibu: Kwanza, tasnia ya mitindo (fashion industry) kiutamaduni imekuwa ikiwakubali zaidi mashoga wanaojulikana wazi (openly gay men) tofauti na fani zingine. Hata leo, ni changamoto kubwa kwa shoga kufikia level ya kuwa CEO ama Mkurugenzi kuliko wanaume wa kawaida. Tofauti ni kwamba shoga kwenye fashion anaweza kuheshimika na kuenziwa kwenye fani hiyo na kufanikiwa binafsi na kifedha bila kudhihakiwa kama ambavyo anaweza kujikuta akifanyiwa kwenye fani zingine kama upolisi, jeshi na kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msanii wa Hip pop 'THE GAME' kuchora tattoo ya MANDELA mwilini mwake..!!

Rapper kutoka pande za Marekani The Game ameonyesha jinsi anavyompenda Nelson Mandela kwa kujichora tattoo ili kumuenzi Ne... thumbnail 1 summary
Rapper kutoka pande za Marekani The Game ameonyesha jinsi anavyompenda Nelson Mandela kwa kujichora tattoo ili kumuenzi Nelson Mandela. Kupitia mtandao wake wa instagram, The Game alisema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Roy Keane amponda Ferguson na Kudai kuwa ana tamaa ya Madaraka makubwa ndio maana Man utd inaboronga...!!

Nahodha wa zamani wa Manchester United, Roy Keane amesema kwamba kocha aliyeng’atuka katika klabu hiyo, Sir Alex Ferguson bado ana uchu... thumbnail 1 summary
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Roy Keane amesema kwamba kocha aliyeng’atuka katika klabu hiyo, Sir Alex Ferguson bado ana uchu wa madaraka. Keane aliyeondoka baada ya kukosana na klabu hiyo na pia amekuwa akitupiana maneno na Fergie amedai kwamba Ferguson anatafuta nguvu za kimadaraka na kimamlaka ili adhibiti mambo Old Trafford. Fergie alistaafu Mei mwaka huu na kumpendekeza raia mwenzake wa Scotland, David Moyes aliyekuwa Everton kuchukua nafasi yake, huku Fergie akiingia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tend... thumbnail 1 summary


http://theclicktz.blogspot.com/
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU AFUNGUKA..."Siwezi kushindana na DIAMOND kwasababu mimi sio Mwimbaji"

Je wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na Diamond Platnumz wanashin... thumbnail 1 summary










Je wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na Diamond Platnumz wanashindana kwa namna yoyote? Star wa kipindi cha ‘In My Shoes’ Wema Sepetu ameshare ujumbe kwa wote wanaofikiria hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASHOGA WAPEWA VYEO VIKUBWA SERIKALINI

Hii itakua ya kwanza duniani kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kupata vyeo vikubwa kwenye serikali kuu ya... thumbnail 1 summary


Hii itakua ya kwanza duniani kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kupata vyeo vikubwa kwenye serikali kuu ya nchi.
Makundi mengi yenye maoni tofauti yamekuwa yakipinga mapenzi ya jinsia moja na makundi mengine yakitetea, huko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NORA afunguka..."RAY Alishanitongoza Nikamkataa"

Muigizaji wa kike aliyefanya vizuri kupitia kundi la Kaole Sanaa Group, Nuru Nassoro aka Nora amedai kuwa... thumbnail 1 summary

Muigizaji wa kike aliyefanya vizuri kupitia kundi la Kaole Sanaa Group, Nuru Nassoro aka Nora amedai kuwa amekuwa akifanyiwa fitina na muigizaji mwenzake Vicent Kigosi aka Ray kwa kuwa aliwahi kumtaka kimapenzi akamkataa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 9 ZA BIRTHDAY PARTY YA NICK MINAJ AKITIMIZA MIAKA 31

First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj amesherekea birthday yake akitimiza miaka 31 na mafanikio ya kuj... thumbnail 1 summary


nicki-minaj-birthday First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj amesherekea birthday yake akitimiza miaka 31 na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya muziki.
nicki-minaj-birthday2

Party hiyo ikifanyika huko L.A na restaurant nzima ilibadilika rangi yake na kuwa ya pink maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo ilihudhuliwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa Nicki Minaj na watu wengine.
nicki-minaj-birthday-3

Nicki aliletewa keki mbalimbali pamoja na stripper pole maalum kwa ajili ya party hiyo.
nicki-minaj-birthday-4

nicki-minaj-birthday-5


nicki-minaj-birthday-6

nicki-minaj-birthday-7
nicki-minaj-birthday-8

nicki-minaj-birthday-9

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

'BABU SEYA, PAPII LAZIMA WATAACHIWA HURU'

Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’. NGUZA Mbangu, mtoto mkubwa wa mwanamuziki mahiri wa muziki wa dans... thumbnail 1 summary

Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’.
NGUZA Mbangu, mtoto mkubwa wa mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya, amesema mzazi wake pamoja na mdogo wake, Papii, ni lazima wataachiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bifu la Huddah na Prezzo lafikia Pabaya..sasa waanza kutoleana siri zao za ndani mtandaoni

Uhasama mkali unaozidi kuchemka kati ya rapa mbishi CMB Prezzo na 'msocialite’ Huddah Monroe wameamua kuanika... thumbnail 1 summary

Uhasama mkali unaozidi kuchemka kati ya rapa mbishi CMB Prezzo na 'msocialite’ Huddah Monroe wameamua kuanikana wazi na kuzitoa siri zao za ndani kwenye mtandao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIYO MADHARA 7 KWA WANAWAKE WANAOFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE...

      Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-   K... thumbnail 1 summary


 
  
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-  
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maraisi zaidi ya 100 wahudhuria kwenye msiba NELSON MANDELA

  Hizi  ni  picha  mbalimbali  toka SA wakati  wa  kuuaga  mwili  wa  mzee Mandela         ... thumbnail 1 summary


 

Hizi  ni  picha  mbalimbali  toka SA wakati  wa  kuuaga  mwili  wa  mzee Mandela
Inside the stadium 
Members of the public attend the Nelson Mandela memorial service  
US President Barack Obama addresses the crowd  
US President Barack Obama (L) shakes hands with Cuban President Raul Castro 
Members of the crowd salute
Graca Machel listens to speakers  
Former British Prime Minister John Major (centre) greets former US Presidents George W Bush (right) and Bill Clinton (left) 
  People holding umbrellas  
People wave flags  
Former South African president FW De Klerk gestures as he arrives with his wife Elita  
Former South African president Thabo Mbeki and his wife Zanele  
Irish band U2's lead singer Bono and South African actress Charlize Theron

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KILIMANJARO STARS YAONDOLEWA KWENYE MASHINDANO YA CHALLANGE

TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoen... thumbnail 1 summary



TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao 1-0 katika mechi iliyomalizika hivi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BEYONCE KUPIGA PICHA YA CHUPA YA POMBE NA MSOKOTO WA BANGI.......

Mama wa Blue Ivy na mke wa Rapper Jay Z, Beyonce Knowlence Carter aliwashangaza mashabiki na wapenzi wa kazi zake za kimzik... thumbnail 1 summary




Mama wa Blue Ivy na mke wa Rapper Jay Z, Beyonce Knowlence Carter aliwashangaza mashabiki na wapenzi wa kazi zake za kimziki hivi karibuni kupitia mtandao wa kijamii wa Tumblr.  Beyonce akiwa na marafiki zake na dada yake Solange amabaye ni mwanamuziki pia, walikuwa  katika matembezi ya mapumziko huko nchini Jamaica, Beyounce alipost picha ambayo ameonekana akiwa ameshikilia mkono mmoja bia na mkono mwingine kitu kama msokoto wa bangi …

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: