April 08, 2015

KISA WIVU WA MAPENZI... MWANAMKE ASUTWA KWEUPE!,NI TUKIO LA AIBU HAIJAWAHI KUTOKEA

MSUTO! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Sina, mkazi wa Kawe jijini Dar amejikuta akisutwa mchana kweupe baada kumvujishia taarifa rafiki y... thumbnail 1 summary

MSUTO! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Sina, mkazi wa Kawe jijini Dar amejikuta akisutwa mchana kweupe baada kumvujishia taarifa rafiki yake aitwaye Cheka Komba Mbegere kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mrembo Mtanzania Afia China Baada ya Kuugua Kwa Muda Mrefu

Mrembo Mtanzania aliyejulikana kwa jina la Rehema Mohamed (30), anadaiwa kufia katika Mji wa Shanghai nchini China wiki mbili zilizopita ba... thumbnail 1 summary
Mrembo Mtanzania aliyejulikana kwa jina la Rehema Mohamed (30), anadaiwa kufia katika Mji wa Shanghai nchini China wiki mbili zilizopita baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi mauti yalipomfika huku ndugu zake wakichanganyikiwa kutokana na taarifa za kifo hicho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shahidi Aeleza Kisa cha Al Shabaab Kuuwa Wasichana Wengi Katika Shambulio la Kigaidi Chuo cha Garissa Kenya

A survivor of the deadly terror attack in Garissa University has told the media how the Al Shabaab tricked female students to draw them out... thumbnail 1 summary
A survivor of the deadly terror attack in Garissa University has told the media how the Al Shabaab tricked female students to draw them out in the open and kill them like insects.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Askofu Gwajima Aligomea Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mpaka Jana Kanisa Hilo Lilikuwa Bado Lipo katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam

Licha ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kumtaka Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, kuhamisha makazi ya kanisa l... thumbnail 1 summary
Licha ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kumtaka Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, kuhamisha makazi ya kanisa lake lililopo katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam, bado hajatekeleza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kakobe Amshukia Lowassa, Awataka Watanzania Kususia Kura Ya Maoni Kwa Madai Kuwa Katiba hiyo ni ya Kishetani na Mwandishi Wake Ni "Nyoka Wa Makengeza" ( Shetani)

Akihubiri siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge katika Jiji la Dar-Es-Salaam, Askofu Mkuu Zachary ... thumbnail 1 summary
Akihubiri siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge katika Jiji la Dar-Es-Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe alisema kwamba, inajulikana wazi kwamba Lowassa amekuwa anautaka Urais kwa udi na uvumba kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushahidi wa Laivu Kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford Wanapika na Kupakua Huu Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika ... thumbnail 1 summary
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waislamu Watoa Tamko, Kusomwa kila Msikiti Ijumaa kuhusu Tamko la Maaskofu, Kunyimwa Dhamana Kwa Mashehe na Issue ya Madrassa

SIKU chache kupita baada ya Mkutano wa 19 wa Bunge kumalizika,na serikali kuutupia mbali mswaada wa sheria ambao unaruhusu kuwepo makakama ... thumbnail 1 summary
SIKU chache kupita baada ya Mkutano wa 19 wa Bunge kumalizika,na serikali kuutupia mbali mswaada wa sheria ambao unaruhusu kuwepo makakama ya Kadhi nchini kutajadiliwa kwenye mkutano huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: