October 24, 2014

Breaking: Polisi wamezungumza kuhusu Chidi Benz kukamatwa Airport leo na dawa za kulevya

Kuna taarifa zilitoka on millardayo.com leo jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya  kati... thumbnail 1 summary
Dar es Salaam International Airport
Kuna taarifa zilitoka on millardayo.com leo jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akiwa anaelekea Mbeya kwenye show ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALI KIBA CHUNGA SANA WATU HAWA,WATAKUFANYA USHINDWE KUFANIKIWA,SOMA HAPA

Dear Ali Kiba 4real kuwa makini na hawa watu wanaofurahia kuzomewa kwa Diamond.Hawa watu wanaomchukia Diamond leo ni hawa hawa thumbnail 1 summary

ali-kiba

Dear Ali Kiba 4real kuwa makini na hawa watu wanaofurahia kuzomewa kwa Diamond.Hawa watu wanaomchukia Diamond leo ni hawa hawa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KILE KILICHOMKUTA POLISI...SOMA HAPA

Dar es Salaam. Mwanamuziki Nassib Abdul, ‘Diamond Platnumz’ amesalimisha nguo zake za kijeshi kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Da... thumbnail 1 summary

Diamond tuzo_fullDar es Salaam.

Mwanamuziki Nassib Abdul, ‘Diamond Platnumz’ amesalimisha nguo zake za kijeshi kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VYAKULA VINAVYOFAA KWA WATOTO WENYE UMRI WA MIEZI SITA

Mara nyingi tumekuwa tukishauriwa kuwaanzishia watoto wetu chakula cha ziada tofauti na mziwa ya mama pale wanapofikisha umri wa miezi s... thumbnail 1 summary
Mara nyingi tumekuwa tukishauriwa kuwaanzishia watoto wetu chakula cha ziada tofauti na mziwa ya mama pale wanapofikisha umri wa miezi sita kwa ajili ya ukuaji mzuri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAIDA NA JINSI YA KUPANGA RATIBA YA CHAKULA KWA AFYA YAKO.

Ili kuwa na siha njema ni muhimu kula vizuri. Kula vizuri si rahisi, ingawa wengi wetu tunadhani kula vizuri ni kula chakula tunachokipe... thumbnail 1 summary
Ili kuwa na siha njema ni muhimu kula vizuri. Kula vizuri si rahisi, ingawa wengi wetu tunadhani kula vizuri ni kula chakula tunachokipenda – chips, kuku, mayainyama na vingine. Hii ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NI FAIDA ZA BIZARI KIAFYA KATIKA MBOGA.

Bizari, almaarufu kama kiungo cha chakula, ina ladha ya pilipili na harufu kali kiasi kwa kunusa. Ni mojawapo ya viungo muhimu kwenye ch... thumbnail 1 summary
Bizari, almaarufu kama kiungo cha chakula, ina ladha ya pilipili na harufu kali kiasi kwa kunusa. Ni mojawapo ya viungo muhimu kwenye chakula, hasa pilau. Bizari inatokana na mizizi, ni jamii ya tangawizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UGONJWA WA MABUSHA, DALILI ZAKE, ATHALI ZAKE NA TIBA YAKE

Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando u... thumbnail 1 summary
Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na
mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani. Kwa hapa nchini,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kolabo ya MwanaFA na Ali Kiba inazidi kuchukua nafasi, ichukue hapa kama ilikupita

MwanaFA ambae hivi karibuni alitajwa na producer maarufu Hermy B kama Mkali miongoni mwa wachache bongoflevani wenye uwezo mkubwa wa kuan... thumbnail 1 summary
MwanaFAMwanaFA ambae hivi karibuni alitajwa na producer maarufu Hermy B kama Mkali miongoni mwa wachache bongoflevani wenye uwezo mkubwa wa kuandika pia mashairi, ameungana na Ali Kiba kuziteka headlines za bongofleva kwa single yao ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ya noti ya shilingi elfu moja Tanzania umeipata? kama bado… nimekuwekea hapa

Kumbukumbu zako ziko sawa kuhusu yale malalamiko ya kukosewa kwa picha ya baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere kwenye noti ya shilingi el... thumbnail 1 summary
Shillingi elfu 1Kumbukumbu zako ziko sawa kuhusu yale malalamiko ya kukosewa kwa picha ya baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere kwenye noti ya shilingi elfu moja? basi kama hazipo sawa, ichukue hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni wasanii gani wa bongo walimshtua Davido kwa shangwe kwenye Fiesta Dsm?

Unaambiwa weekend iliyopita kwenye Fiesta ya Dar es salaam mwimbaji  Davido  wa Nigeria alitumia dakika zake zote kutazama screen zilizok... thumbnail 1 summary
Davido 33Unaambiwa weekend iliyopita kwenye Fiesta ya Dar es salaam mwimbaji Davido wa Nigeria alitumia dakika zake zote kutazama screen zilizokua zimewekwa nyuma ya stage ya Fiesta baada ya kusikia shangwe zilizokua zinapigwa baada ya Wakali wengine

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldo kipenzi cha mademu – angalia walivyomlilia baada ya kumuona

Real Madrid superstar Cristiano Ronaldo ameiweka dunia ya soka kwenye nyayo zake. Akiwa na marafiki zaidi ya 135 katika mitandao ya kij... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-10-23 at 12.46.30 PM
Real Madrid superstar Cristiano Ronaldo ameiweka dunia ya soka kwenye nyayo zake.
Akiwa na marafiki zaidi ya 135 katika mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

T.I amehojiwa tena Marekani na kuzungumzia mengine mapya kuhusu Tanzania

Clifford Joseph Harris, Jr. a.k.a T.I mkali kutoka Marekani aliyeangusha show ya nguvu katika jukwaa la Fiesta 2014 siku ya Jumamosi Okto... thumbnail 1 summary
T.IClifford Joseph Harris, Jr. a.k.a T.I mkali kutoka Marekani aliyeangusha show ya nguvu katika jukwaa la Fiesta 2014 siku ya Jumamosi Oktoba 18 2014 katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam, bado ameendelea kuyasimulia mazuri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa ndio wanafunzi wanaofanya mitihani ya Sekondari wakiwa na mimba.

Afisa elimu katika kaunti ya Bungoma Kenya, ametoa taarifa kuhusiana na wanafunzi 53 wanaofanya mitihani wa kumaliza elimu ya sekondari i... thumbnail 1 summary
Pregnant School GirlAfisa elimu katika kaunti ya Bungoma Kenya, ametoa taarifa kuhusiana na wanafunzi 53 wanaofanya mitihani wa kumaliza elimu ya sekondari iliyoanza siku ya Jumanne wiki hii, ni wajawazito.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unafahamu ‘kibarua kipya’ alichopewa Chris Brown na Mahakama? Soma hapa mtu wangu.

Stori mpya ninayokuletea mtu wangu wa nguvu inamhusu mwanamuziki Chris Brown, huenda hujapata nafasi ya kukutana na stori zake hivi karib... thumbnail 1 summary
Chris_brown_court_APStori mpya ninayokuletea mtu wangu wa nguvu inamhusu mwanamuziki Chris Brown, huenda hujapata nafasi ya kukutana na stori zake hivi karibuni, nakuletea hii ambayo ni latest zaidi kuhusiana na jamaa huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MGOMBEA 2015 ANASWA NA DENTI GESTI

HILI nalo janga!  Mwanaume mmoja anayesemekana ni mfanyabiashara ambaye pia anatajwa kugombea udiwani wa kata moja iliyopo  Kinondoni jij... thumbnail 1 summary
HILI nalo janga! Mwanaume mmoja anayesemekana ni mfanyabiashara ambaye pia anatajwa kugombea udiwani wa kata moja iliyopo  Kinondoni jijini Dar es Salaam, aliyetajwa kwa jina moja la  mzee Beno amenaswa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHAA, LINAH WACHUANA KI-NUSU UTUPU

Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuan... thumbnail 1 summary
Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOFU YATANDA,MSHITUKO WA VIFO VYA WASANII... NDANI YA MASAA 24 WAFARIKI DUNIA WANNE

Misiba kila kona! Achilia mbali watu wasiokuwa na majina hasa vijana wadogo, ndani ya saa 24 wamefariki dunia wasanii wanne wa kutoka kweny... thumbnail 1 summary

Misiba kila kona! Achilia mbali watu wasiokuwa na majina hasa vijana wadogo, ndani ya saa 24 wamefariki dunia wasanii wanne wa kutoka kwenye tasnia za Bongo Movies na Bongo Fleva, Amani lina habari yenye kuumiza moyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:HALI YAZIDI KUWA TETE KWA MISS TANZANIA, BASATA KUMVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Sakata la lililojitokeza la mrembo wa Taifa wa mwaka huu ‘Redd’s Miss Tanzania 2014′, Sitti Mtemvu kudaiwa kudanganya umri, limeingia katik... thumbnail 1 summary

miss tanzania 2015Sakata la lililojitokeza la mrembo wa Taifa wa mwaka huu ‘Redd’s Miss Tanzania 2014′, Sitti Mtemvu kudaiwa kudanganya umri, limeingia katika sura mpya baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kueleza kuwa litamvua taji hilo endapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIO MAMBO AMBAYO DIAMOND NA WEMA SEPETU TU,NDIO WANAOWEZA KUFANYA HAPA BONGO!!

Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuk... thumbnail 1 summary

Diamond-Wema-Hong-Kong--slide-vibe-co-tz
Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee
kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko
kwenye movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya celebrity couple

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA WEMA SEPETU AZUA KIZAAZAA HUKO KWENYE GEREZA LA CHINA

Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda. KUONESHA  ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘M... thumbnail 1 summary

Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda.

KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU! HABARI KAMILI SOMA HAPA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani. Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Na... thumbnail 1 summary

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani.
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA MISS TZ NA.3 ATOBOA SIRI, AFUNGUKIA KUHUSU USHINDI WA SITTI

Miss Tanzania namba tatu, Jihan Dimachk. Gumzo mtaani kwa sasa kwenye ulimwengu wa urembo ni ushindi wa mwanadada Sitti Abbas Mte... thumbnail 1 summary



Miss Tanzania namba tatu, Jihan Dimachk.

Gumzo mtaani kwa sasa kwenye ulimwengu wa urembo ni ushindi wa mwanadada Sitti Abbas Mtevu ambaye hivi karibuni aliibuka mshindi katika Shindano la Miss Tanzania 2014. Tutakumbuka baada ya Sitti kutangazwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: