May 08, 2014

SOMA ANACHOKITAKA LULU KATIKA SANAA YA BONGO NI UCHAFU TUU

DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii wa... thumbnail 1 summary
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NYOTA YA DIAMOND YAZIDI KUNG'AA AFRICA , SASA AWASAMBARATISHA WASANII WA AFRICA KWENYE NOMINATION ZA KORA

Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake thumbnail 1 summary
Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUTESA SANA KWA STAILI YA NGOLOLO, SASA NI ZAMU YA "PROKOTO"..WIMBO MPYA WA VICTORIA KIMANI AKIWASHIRIKISHA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ..

Mwimbaji wa label ya  Chocolate City , Victoria Kimani amewashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond kwenye wimbo wake anaotarajia kuuachia May... thumbnail 1 summary
Mwimbaji wa label ya Chocolate City, Victoria Kimani amewashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond kwenye wimbo wake anaotarajia kuuachia May 14, unaitwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INASIKITISHA SANA: ANGALIA PICHA MWANAMKE AJIFUNGULIA KWENYE BESENI.....!!!

Hadija Mohammed, anayetuhumia kukitupa kichanga baada ya kuzaliwa. MWANAMKE  ALIYEJULIKANA KWA JINA LA HADIJA MOHAMMED, MKAZI WA MCHI... thumbnail 1 summary

Hadija Mohammed, anayetuhumia kukitupa kichanga baada ya kuzaliwa.

MWANAMKE ALIYEJULIKANA KWA JINA LA HADIJA MOHAMMED, MKAZI WA MCHIKICHINI, ILALA JIJINI DAR

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA RAY C :DR.CHENI NAE AAMBUKIZWA UGONJWA HATARI UNAOSAMBAA KWA KASI JIJINI DAR "HOMA YA DENGUE"..

sanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelezwa toka jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue. thumbnail 1 summary

Dr Cheni akiwa hospital

sanii wa filamu nchini, Dr Cheni amelezwa toka jana katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa Dengue.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAOMBA USHAURI:: ALINITAKA NITOE MIMBA SIKUTOA, SASA ANAMTAKA MTOTO

Mimi ni msichana wa miaka 24, mwaka juzi nilipata ujauzito kutoka kwa aliyekuwa boyfriend wangu,ambaye nilikaa nae miezi 6. Lak i ni ... thumbnail 1 summary


Mimi ni msichana wa miaka 24, mwaka juzi nilipata ujauzito kutoka kwa aliyekuwa boyfriend wangu,ambaye nilikaa nae miezi 6. Lakini nilivyomwambia, akanambia yeye hayuko tayari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!

Aunt Ezekiel.   BAADA  ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac S... thumbnail 1 summary


Aunt Ezekiel.
 BAADA ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac Sepetu, wiki hii tunaye supastaa mwingine.
 Anaitwa Aunt Ezekiel Grayson, si jina geni kwa wadau mbalimbali wa burudani nchini. Ni mrembo ambaye amepata jina kubwa kupitia sanaa yake ya uigizaji wa filamu aliyoianza miaka saba iliyopita.
Msanii huyo ambaye ni mtoto wa damu wa aliyekuwa mchezaji mahiri wa Simba Sports Club ‘Wekundu wa Msimbazi’ marehemu  Ezekiel Grayson.

 Aunt Ezekiel amepitia maisha  magumu sana kabla
 ya kufika alipo leo. Ili kujua maisha yake halisi ungana na mimi, Imelda Mtema.
Mwandishi:  Mambo Aunt? Natumaini uko mzima. Mimi ningependa kujua zaidi historia ya maisha yako kuanzia ulikotokea hadi ulipo sasa.

 Aunt: Duu! Sawasawa! Mimi nimezaliwa  mwaka 1988 hapahapa jijini Dar es Salaam. Ni mtoto wa pili kwa mama yangu mzazi kwa sababu kwa  baba  nina ndugu zangu wengine.
 Mwandishi: Kwa hiyo una maanisha kabla ya baba yako kuwa na mama yako alikuwa na mwanamke mwingine?
Aunt: Ndiyo.

 Mwandishi: Wakati huo ulikuwa ukiishi hapa Dar es Salaam sehemu gani?
Aunt: Nilikuwa nikiishi Ilala  na nilipata elimu yangu ya msingi katika Shule ya Msingi Bunge mwaka 1995 mpaka 1998, nikaenda kumalizia Kisarawe, Pwani.

 Mwandishi: Kwa nini ulikwenda kumalizia huko? Ilikuwa bording (shule ya bweni)?
Aunt: Hapana, baba yangu alipata matatizo akapelekwa jela hivyo kukawa hakuna mtu wa kunilipia ada pale Shule ya Bunge, hivyo wakanipeleka kule kwa babu na bibi yangu.
Mwandishi: Mama yako alikuwa wapi kipindi hicho?

 Aunt: Mama yangu alifariki dunia mwaka 1995, hivyo nilibaki na baba na ndugu zangu wengine.
Mwandishi: Sasa hukuona kama kuna tofauti wakati ulikuwa umeshazoea maisha ya mjini?
Aunt: Tofauti ilikuwepo kubwa sana lakini ilibidi nizoee niweze kusoma tu maana sikuwa na jinsi.

 Mwandishi: Ilikuwaje baada ya kumaliza shule, uliendelea kuishi Kisarawe?
Aunt: Yaani maisha yalizidi kuwa magumu sana, niliendelea kukaa huko lakini baadaye ilibidi nitoroke.
Mwandishi: Kwa nini ulitoroka, ulikuwa ukiteswa?

 Aunt: Hapana, nilipomaliza tu shule kuna mwanaume alikuja kwa babu akasema anataka kunioa.
“Sikuwa tayari kabisa lakini kwa vile alikuwa na pesa ndugu zangu waliona bora niolewe naye kwa kuwa hawakuwa na uwezo wa kunisomesha tena.

 “Ilibidi nitoroke, nikaja Gongo la Mboto (Dar es Salaam). Kuna sehemu inaitwa Mazizini.
“Nilisema nije nitafute kazi yoyote ile, popote pale ili niweze kujinusuru na kuolewa nikiwa katika umri mdogo.

 Aunt Ezekiel ametoroka nyumbani Kisarawe na kukimbilia Dar kutafuta kazi.
Je, ilikuwaje? Usikose wiki ijayo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA AUMBUKA..

Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendel... thumbnail 1 summary

Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SNURA MUSH AINGILIA UGOMVI WA WEMA NA KAJALA...

Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao. thumbnail 1 summary

Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: