March 24, 2016

Wiz Khalifa Kamsahau Amber Rose na Sasa Yupo na Huyu Mtoto Mkali.....

Baada ya kuachana na super model Amber Rose rapa Wiz Khalifa amekuwa akitajwa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti ila hakuna aliyewahi ... thumbnail 1 summary
Baada ya kuachana na super model Amber Rose rapa Wiz Khalifa amekuwa akitajwa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti ila hakuna aliyewahi kuthibitishwa na Wiz Mwenyewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO MASTAA WA BONGO FLAVA WALIOPOTEA NA KURUDI KWA KISHINDO

Muziki wa Bongo Flava unafanya vizuri kwa sasa, unashika nafasi ya tatu kwa Afrika baada ya Nigeria na Afrika Kusini. thumbnail 1 summary
Muziki wa Bongo Flava unafanya vizuri kwa sasa, unashika nafasi ya tatu kwa Afrika baada ya Nigeria na Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STARS YAWASILI LEO USIKU NA KUINGIA KAMBINI KUIKABILI CHAD JUMATATU YA PASAKA UWANJA WA TAIFA

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kimewasili leo saa 8 usiku katika ... thumbnail 1 summary
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kimewasili leo saa 8 usiku katika uwanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJABU? Kumbe diamond alimtoa chidi damu!!!!!! babu tale aeleza kila kitu

Akiongea kwenye kipindi cha eNews kinachorushwa na East Africa Television, Babu Tale ameweka wazi kuwa Diamond Platnums ambaye anamsimamia,... thumbnail 1 summary
Akiongea kwenye kipindi cha eNews kinachorushwa na East Africa Television, Babu Tale ameweka wazi kuwa Diamond Platnums ambaye anamsimamia, alishawahi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Johan Cruyff amepoteza maisha kwa kansa leo, Rais Kikwete na Shein watamkumbuka kwa hili

Ulimwengu wa soka March 24 2016 umepata taarifa za msiba wa nguli wa soka waUholanzi aliyewahi kuvichezea vilabu vya Ajax na FC Barcelona... thumbnail 1 summary
Ulimwengu wa soka March 24 2016 umepata taarifa za msiba wa nguli wa soka waUholanzi aliyewahi kuvichezea vilabu vya Ajax na FC Barcelona ya Hispania Johan

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utamjuaje anayekupenda kweli au anayekutamani??????

Hii sasa ni kwa wanawake. Hivi mnajua mwanaume anayekutaka kimapenzi au anayekutamani jinsi anavyouangalia mwili wako anawasilisha hisia z... thumbnail 1 summary

Hii sasa ni kwa wanawake. Hivi mnajua mwanaume anayekutaka kimapenzi au anayekutamani jinsi anavyouangalia mwili wako anawasilisha hisia zake juu yako.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ladies, Should You Allow Guys Suck Your Bre* asts? Find Out!

The female bre asts are very conspicuous parts of the female s*xual features. Because they have served as the most attractive parts of th... thumbnail 1 summary
The female bre asts are very conspicuous parts of the female s*xual features. Because they have served as the most attractive parts of the woman, many men have always craved for them but the question is on how cool it is to allow men

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUA MBINU ZA KUMTEKA AKILI MWANAUME WAKO HIZI HAPA, HAKUNA HAJA YA KUMWEKEA MUMEO LIMBWATA.

MPE MUMEO ANACHOHITAJI.WANAWAKE wengi wanashindwa kujua wao wanatofautiana na wanaume kwa hisia na hata mawazo ya mapenzi. Wanaume wa... thumbnail 1 summary


MPE MUMEO ANACHOHITAJI.WANAWAKE wengi wanashindwa kujua wao wanatofautiana na wanaume kwa hisia na hata mawazo ya mapenzi. Wanaume wana mambo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ndizo Sifa za Wanaume Katika Mahusiano na Mapenzi Kutokana na Majina yao

Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi thumbnail 1 summary

Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maumivu Wakati wa Kufanya Mapenzi Kwa Mwanamke

Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama dyspareunia. Maumivu haya yana... thumbnail 1 summary
Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama
dyspareunia. Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wa kufanya mapenzi au baada ya kufanya mapenzi. Sababu kuu za maumivu haya mara nyingi ni magonjwa ya zinaa na kupungua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROMA: MWAKA JANA NIMEREKODI NYIMBO NYINGI SANA, NAFIKIRI SIWEZI KUREKODI KABISA MWAKA HUU.

Mkali wa Hip Hop Bongo, Ibrahim ‘Roma’ Mussa, amesema hawezi kusahau mwaka 2015 kwa kuwa ni mwaka ambao alikuwa na ‘mzuka’ wa ajabu wa ka... thumbnail 1 summary
Mkali wa Hip Hop Bongo, Ibrahim ‘Roma’ Mussa, amesema hawezi kusahau mwaka 2015 kwa kuwa ni mwaka ambao alikuwa na ‘mzuka’ wa ajabu wa kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAN CITY KUMKOSA RAHEEM STERLING HADI MWISHONI MWA MSIMU

Mshambuliaji wa Man City, Raheem Sterling huenda akakaa nje ya uwanja kwa muda wa majuma manane na zaidi, kufuatia majeraha ya nyonga ali... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa Man City, Raheem Sterling huenda akakaa nje ya uwanja kwa muda wa majuma manane na zaidi, kufuatia majeraha ya nyonga aliyoyapata wakati wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BASATA: MARUFUKU DISCO TOTO.

Baraza la sanaa Tanzania wenye jukumu la kusimamia Sanaa na kuratibu Burudani, BASATA, wamepiga marufuku disco toto katika kumbi za stare... thumbnail 1 summary
Baraza la sanaa Tanzania wenye jukumu la kusimamia Sanaa na kuratibu Burudani, BASATA, wamepiga marufuku disco toto katika kumbi za starehe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PEP GUARDIOLA ATUMIKA KUMVUTA MESSI ETIHAD STADIUM

Klabu ya Manchester City inaamini ujio wa kocha Pep Guardiola, huenda ukamshawishi mshambuliaji hatari kutoka nchini Argentina na FC Barc... thumbnail 1 summary
Klabu ya Manchester City inaamini ujio wa kocha Pep Guardiola, huenda ukamshawishi mshambuliaji hatari kutoka nchini Argentina na FC Barcelona, Lionen Adres Leo Messi, kujiunga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TYGA BADO AMTAMANI BLACK CHYNA.

Tetesi mbelembele zinasema eti kuwa Rapper wa Nchini Marekani Tyga,amekuwa akimparapara mara kwa mara “baby mama” wake Blac Chyna,vyanzo ... thumbnail 1 summary
Tetesi mbelembele zinasema eti kuwa Rapper wa Nchini Marekani Tyga,amekuwa akimparapara mara kwa mara “baby mama” wake Blac Chyna,vyanzo vina eleza kuwa Tyga amakuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SISTER P ADAI HAKUNA MSANII MWENYE KASI KWA SASA UKILINGANISHA NA ENZI ZAO, ASEMA WOTE WANAJITAHIDI.

Rapa wa kike mkongwe kwenye muziki wa Bongo, Sister P, amesema kwa sasa hakuna msanii mwenye kasi iliyofikia enzi zao ama rapa wa kike mw... thumbnail 1 summary
Rapa wa kike mkongwe kwenye muziki wa Bongo, Sister P, amesema kwa sasa hakuna msanii mwenye kasi iliyofikia enzi zao ama rapa wa kike mwenye spidi kama alivyokuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VAN GAAL AACHWA KWENYE TANGAZO LA CHINA

Magwiji wa soka mjini Manchester, Man Utd wameacha mshangao kwa wadau wengi wa michezo duniani kote, baada ya kutoa tangazo la ziara yao ... thumbnail 1 summary
Magwiji wa soka mjini Manchester, Man Utd wameacha mshangao kwa wadau wengi wa michezo duniani kote, baada ya kutoa tangazo la ziara yao ya mashariki ya mbali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMENUKA:DUBAI SASA SHISHA YAPIGWA MARUFUKU

Dubai imepiga marufuku wanawake waja wazito kuvuta ama hata kuingia katika migahawa inayouza Shisha . thumbnail 1 summary
Dubai imepiga marufuku wanawake waja wazito kuvuta ama hata kuingia katika migahawa inayouza Shisha .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dkt. Shein Kuapishwa Leo

Rais Mteule wa Zanzibar Dk. Mohammed Shein aliyeshinda uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili iliyopita, ataapishwa leo katika Uwanja w... thumbnail 1 summary
Rais Mteule wa Zanzibar Dk. Mohammed Shein aliyeshinda uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili iliyopita, ataapishwa leo katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbunge Wa Chadema Afunguka Kuhusu Ishu Ya Chid Benz

Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ (pichani) amesema hali ya Mbongo F... thumbnail 1 summary
Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ (pichani) amesema hali ya Mbongo Fleva, Rashid Abdallah

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wafahamu Wabunge wapya walioteuliwa na NEC

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulifanyika huku baadhi ya majimbo ya uchaguzi, uchaguzi uliahirishwa kutokana na kuwepo kwa sababu mbalimbali. ... thumbnail 1 summary
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulifanyika huku baadhi ya majimbo ya uchaguzi, uchaguzi uliahirishwa kutokana na kuwepo kwa sababu mbalimbali. Tume ya Uchaguzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Vanessa Mdee katuletea hii mpya inaitwa ‘niroge’

Single yake iliyopita ilikua ‘Never Ever‘ na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa ‘Niroge’ naomba uki... thumbnail 1 summary
Single yake iliyopita ilikua ‘Never Ever‘ na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa ‘Niroge’ naomba ukishaitazama niachie comment hapa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Juma Nature katoa video mpya inaitwa ‘Kidaruso’ humo ndani kaonekana Miss Tanzania 2014/2015

Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wa... thumbnail 1 summary
Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukimya wa Reginal Mengi Serikali ya Rais Magufuli Wazua Maswali....Je Kaikubali ama Anaogopa....?

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP huwa mwepesi sana kutoa duku duku ya msitakabali wa nchi, nakumbuka enzi zile za mzee wamsoga alikuwa akim... thumbnail 1 summary
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP huwa mwepesi sana kutoa duku duku ya msitakabali wa nchi, nakumbuka enzi zile za mzee wamsoga alikuwa akimukosoa kila siku kwa utendaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE Warembo Chuchu Hans na Johari Wamaliza Bifu la Kumgombania Ray...

Habari mpya mjini kwa sasa ni kuwa wale mahasimu wawili wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao ni mastaa wenye maj... thumbnail 1 summary
Habari mpya mjini kwa sasa ni kuwa wale mahasimu wawili wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao ni mastaa wenye majina makubwa katika kiwanda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIMBA YASISITIZA KUSUSIA MICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA

Uongozi wa klabu ya soka ya Simba umetishia kujitoa katika ushiriki wa Ligi kuu soka Tanzania bara endapo Shirikisho la soka nchini Tanza... thumbnail 1 summary
Uongozi wa klabu ya soka ya Simba umetishia kujitoa katika ushiriki wa Ligi kuu soka Tanzania bara endapo Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF litaendelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LILE BIFU KUBWA KATI YA 50 CENTS NA THE GAME LIMEFIKA MWISHO SASA.

Nyota wa muziki wa hip hop, Jayceon Taylor (The Game), amemaliza tofauti zake na nyota mwenzake, 50 Cent, baada ya The Game kuisifia pomb... thumbnail 1 summary
Nyota wa muziki wa hip hop, Jayceon Taylor (The Game), amemaliza tofauti zake na nyota mwenzake, 50 Cent, baada ya The Game kuisifia pombe ya vodka ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UEFA YAWATOA HOFU MASHABIKI WA SOKA DUNIANI

Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA), limewatoa hofu mashabiki watakaokwenda katika fainali za mataifa ya barani humo (Euro 2016), kwa ... thumbnail 1 summary
Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA), limewatoa hofu mashabiki watakaokwenda katika fainali za mataifa ya barani humo (Euro 2016), kwa kusema hali ya kiusalama itaimarishwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHAA:NATAMANI BIFU LA DIAMOND NA KIBA LIISHE.

Sara Kaisi ‘Shaa’ ni miongoni mwa Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya anayekerwa na hatua ya kutoelewana kwa nyota wawili wa muziki huo Dia... thumbnail 1 summary
Sara Kaisi ‘Shaa’ ni miongoni mwa Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya anayekerwa na hatua ya kutoelewana kwa nyota wawili wa muziki huo Diamond na Ali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OZIL AKANUSHA KUONDOKA ARSENAL

Kiungo kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Arsenal, Mesut Ozil amekanusha taarifa zilizodai kwamba huenda akaondoka kaskazini mwa jijini ... thumbnail 1 summary
Kiungo kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Arsenal, Mesut Ozil amekanusha taarifa zilizodai kwamba huenda akaondoka kaskazini mwa jijini London (Emirates Stadium) mwishoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAALIM SEIF:: "CUF HAITASHIRIKI UCHAGUZI WOWOTE CHINI YA TUME YA JECHA SALIM JECHA"

SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Ha... thumbnail 1 summary
SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Hamad, Mgombea wa Urais wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAIBU WAZIRI ATUMBUA MAJIPU 3 UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Hamad Masauni amewasimamisha kazi watumishi wa tatu wa jeshi la Polisi kikosi cha zimamoto wa... thumbnail 1 summary
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Hamad Masauni amewasimamisha kazi watumishi wa tatu wa jeshi la Polisi kikosi cha zimamoto wa Uwanja wa ndege wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madee: Ningekuwa Nimeathirika na Matumizi ya Madawa ya Kulevya, Ningewataja Wanaoniuzia

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amesema kama angekuwa anatumia Madawa ya kulevya na tayari ameshaathirika basi angew... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amesema kama angekuwa anatumia Madawa ya kulevya na tayari ameshaathirika basi angewataja wale wanaomuuzia ili kuisaidia serikali kutokomeza matumizi ya madawa ya kulevya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Justin Bieber awakosesha raha mashabiki wake kwa uamuzi huu

Mashabiki wa Justin Bieber wana huzuni sababu hawataweza kukutana na kusalimiana naye kama afanyavyo siku zote. Amesema ameamua kuacha ut... thumbnail 1 summary
Mashabiki wa Justin Bieber wana huzuni sababu hawataweza kukutana na kusalimiana naye kama afanyavyo siku zote.
Amesema ameamua kuacha utaratibu huo kwasababu humfanya achoke, akose raha na kumpa matatizo makubwa kiakili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Samatta hajakubali kuona rekodi ya Tanzania ikivunjwa na Chad mikononi mwake

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 23 imeshuka katika dimba la Idriss Mahamat kucheza na wenyeji wao timu ya taifa ya Chad katik... thumbnail 1 summary
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 23 imeshuka katika dimba la Idriss Mahamat kucheza na wenyeji wao timu ya taifa ya Chad katika muendelezo wa michezo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZANZIBAR YASEMA IKO TAYARI KUFA NJAA KULIKO KUWANYENYEKEA WAZUNGU

Licha ya Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) kueleza kusikitishwa kwao na uchaguzi wa marudio Zanzibar kufanyika bila kuwapo maelewano ya pande... thumbnail 1 summary
Licha ya Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) kueleza kusikitishwa kwao na uchaguzi wa marudio Zanzibar kufanyika bila kuwapo maelewano ya pande zinazokinzana, baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia kushiriki, Serikali ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WEWE NI MTUMIAJI WA LUKU? TAARIFA HII INAKUHUSU USIPITE BILA YA KUISOMA USIKU HUU

TAARIFA KWA UMMA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kote nchini kuwa kutakuwa na maboresho katika mfumo wa... thumbnail 1 summary
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kote nchini kuwa kutakuwa na maboresho katika mfumo wake wa LUKU utakapolekea wateja kushindwa kununua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA YA TASWIRA YA UWANJA WA AMAN HIVI SASA, TAYARI KWA AJILI YA KUMWAPISHA RAIS MTEULE

Maandalizi ya kumwapisha Rais Mteule wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein hapo kesho katika uwanja wa Aman Zanzibar yamekamilika. thumbnail 1 summary
Maandalizi ya kumwapisha Rais Mteule wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein hapo kesho katika uwanja wa Aman Zanzibar yamekamilika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KR Mullah Adai Akinyoa Ndevu Zake, Anakufa

Baada ya mashakibiki kupitia mitandao ya kijamii kumtaka msanii mpya ya Radar Entertainment KR Mullah kubadili muonekano wake pamoja na kun... thumbnail 1 summary
Baada ya mashakibiki kupitia mitandao ya kijamii kumtaka msanii mpya ya Radar Entertainment KR Mullah kubadili muonekano wake pamoja na kunyoa ndevu, msanii huyo ametoa msimamo wake kuhusu muonekano wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli ya Juan Mata kuhusu tetesi za Zlatan Ibrahimovic kujiunga Man United

March 23 headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Sweden anayeichezea klabu yaParis Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, jina la... thumbnail 1 summary
March 23 headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Sweden anayeichezea klabu yaParis Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, jina lake limerudi kwenye headlines

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Paul Makonda hajalala, anaendelea kutafuta na leo kakutana na Balozi wa China…(+Video)

March 23 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alikutana na Balozi wa China nchini Tanzania na kujadiliana kuhusu namna ya kui... thumbnail 1 summary
March 23 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alikutana na Balozi wa China nchini Tanzania na kujadiliana kuhusu namna ya kuinua uchumi kwa vijana wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uko tayari kwa Ruby ? kaachia hii Sijutii Remix akiwa amemshirikisha Wakazi isikilize hapa

Hii ni single mpya ya msanii, Ruby ambaye time hii katuletea hii Sijutii Remix akiwa na msanii wa Hip Hop Wakazi. thumbnail 1 summary
Hii ni single mpya ya msanii, Ruby ambaye time hii katuletea hii Sijutii Remix akiwa na msanii wa Hip Hop Wakazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huwezi kuamini, hii ni ndio list ya wachezaji bora ambao hawajawahi kutwaa mataji timu ya taifa

Huenda ukitajiwa list ya majina ya baadhi ya wachezaji na mafanikio walioyapata katika vilabu vyao wanavyochezea, huwezi kuamini kusikia ... thumbnail 1 summary
Huenda ukitajiwa list ya majina ya baadhi ya wachezaji na mafanikio walioyapata katika vilabu vyao wanavyochezea, huwezi kuamini kusikia kuwa hajafanikiwa kushinda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Director Nisher; Nini Kimepoteza Umaarufu Wa Kazi Zake.

Director nisher nakumbuka kipind kile unafanya Mama Yeyo, Jikubali, na Nje ya box. Kila mtu anayependa muziki mzuri basi sio rahisi kukosa ... thumbnail 1 summary
Director nisher nakumbuka kipind kile unafanya Mama Yeyo, Jikubali, na Nje ya box. Kila mtu anayependa muziki mzuri basi sio rahisi kukosa kulitaja jina lako ukipost kipande cha video tu insta watu wanakurupusuana kila kona waje wakiangalie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AYMERIC LAPORTE KUTUA ETIHAD STADIUM

Hatimae klabu Manchester City imetajwa kuwa katika mikakati ya kutaka kumsajili beki kutoka nchini Ufaransa, Aymeric Laporte kama walivyo... thumbnail 1 summary
Hatimae klabu Manchester City imetajwa kuwa katika mikakati ya kutaka kumsajili beki kutoka nchini Ufaransa, Aymeric Laporte kama walivyoelekezwa na meneja wao mtarajiwa Pep Guardiola.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: