December 16, 2016

KIUKWELI KABISA HUU NDIO UTHIBITISHO WA KWANINI WADADA HAWAPENDI KUVAA CHUPI...HEBU JIONEE MWENYEWE HAPA

Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo ... thumbnail 1 summary


Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO...SOMA HAPA UJIJUE

Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...Wanaume walio na ... thumbnail 1 summary




Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katikamahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SEHEMU ZIFUATAZO NDIZO ZENYE HISIA KALI ZAIDI KWENYE MWILI WA MWANAMKE

Tendo la ndoa ni sanaa, na sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za mwanadamu. Hivyo basi kwa kuwa tendo la ndoa ni ... thumbnail 1 summary


Tendo la ndoa ni sanaa, na sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za mwanadamu. Hivyo basi kwa kuwa tendo la ndoa ni sanaa inatakiwa ufundi na ubunifu ili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Trailer: Jay Z akamilisha filamu yake ya kijana aliyejiua akiwa na miaka 22

Rapper Jay Z amekamilisha stori ya filamu yake fupi ya kijana aliyejipiga risasi itakayoanza kuruka kwenye runinga kuanzia mwakani. thumbnail 1 summary



Rapper Jay Z amekamilisha stori ya filamu yake fupi ya kijana aliyejipiga risasi itakayoanza kuruka kwenye runinga kuanzia mwakani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Chris Brown Ft Usher & Gucci Mane – Party

Msanii Chris Brown katoa video mpya ya wimbo “Party” akiwa amewashirikisha Usher na Gucci Mane, thumbnail 1 summary
Msanii Chris Brown katoa video mpya ya wimbo “Party” akiwa amewashirikisha Usher na Gucci Mane,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kampuni ya Facebook yaanzisha mbinu mpya kukabiliana na akaunti feki

Kampuni ya mtandao wa Facebook imesema kuwa wameanzisha upelelezi ili kubaini akaunti feki zilizoanzishwa na watumiaji kupitia mtand... thumbnail 1 summary



Kampuni ya mtandao wa Facebook imesema kuwa wameanzisha upelelezi ili kubaini akaunti feki zilizoanzishwa na watumiaji kupitia mtandao huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Navy Kenzo waonesha nyimbo zilizomo kwenye album yao AIM

Kundi la Navy Kenzo limeonesha kwa mara ya kwanza nyimbo zitakazopatikana kwenye album yao, Above In A Minute (AIM). thumbnail 1 summary

Kundi la Navy Kenzo limeonesha kwa mara ya kwanza nyimbo zitakazopatikana kwenye album yao, Above In A Minute (AIM).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

The Weeknd atanua kwenye chati za Billboard

The Weeknd ameendelea kufanya vizuri kwenye chati za Billboard. Muimbaji huyo amejiwekea rekodi yake ya kuwa msanii wa tano k... thumbnail 1 summary


The Weeknd ameendelea kufanya vizuri kwenye chati za Billboard.


Muimbaji huyo amejiwekea rekodi yake ya kuwa msanii wa tano kukaa kwa muda mrefu kwenye chati za Billboard Hot 100 akiwa amekaa kwa kwa wiki 10 mpaka sasa huku albamu ake mpya ya ‘Star Boy’ ikishika nafasi ya pili kwenye chati za Billboard Top 200.

Wasanii wengine waliowahi kukaa kwenye chati hizo kwa muda mrefu ni pamoja na Taylor Swift (31), Drake (23), Justin Bieber (11) na Adele (10).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bosi wa Jamii Forums asomewa mashikata matatu, arudishwa rumande

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, kampuni inayomiliki mtandao maarufu, Jamii Forums, Maxence Melo ameshtakiwa kwa Makosa 3 likiwemo la... thumbnail 1 summary

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, kampuni inayomiliki mtandao maarufu, Jamii Forums, Maxence Melo ameshtakiwa kwa Makosa 3 likiwemo la kuendesha na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jaydee na Spicy wathibitisha kuwa wapenzi, waeleza walivyokutana (Exclusive Video)

Lady Jaydee na Spicy wamethibisha rasmi kuwa ni wapenzi. Kwenye mahojiano na Bongo5, wawili hao wamedai kuwa wamekuwa pamoja kwa zaidi... thumbnail 1 summary


Lady Jaydee na Spicy wamethibisha rasmi kuwa ni wapenzi. Kwenye mahojiano na Bongo5, wawili hao wamedai kuwa wamekuwa pamoja kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Prince Harry na mpenzi wake Meghan Markle waonekana pamoja kwa mara ya kwanza

Maisha ya uhusiano ya Prince Harry wa Uingereza yamekuwa yakifuatiliwa kwa muda sasa huku akidaiwa kuwa na uhusiano na muigizaji thumbnail 1 summary


Maisha ya uhusiano ya Prince Harry wa Uingereza yamekuwa yakifuatiliwa kwa muda sasa huku akidaiwa kuwa na uhusiano na muigizaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwasiti aachia wimbo mpya ‘Kaa Nao’ exclusively Mkitoni

Moja kati ya wanamuziki wakali na wakongwe wa kike Tanzania Mwasiti ametoa wimbo wake mpya – KAA NAO ambao umeandaliwa na mtayar... thumbnail 1 summary






Moja kati ya wanamuziki wakali na wakongwe wa kike Tanzania Mwasiti ametoa wimbo wake mpya – KAA NAO ambao umeandaliwa na mtayarishaji wa muziki mahiri nchini maarufu kama EMATHE BOY na unaweza kuupakua hapa;


Mwasiti akizungumzia ujio wake mpya amesema, “najua mashabiki wangu wamenisubiri kwa muda mrefu sana ila kwa sasa hawatosubiri tena kuanzia sasa nitatoa nyimbo baada ya nyimbo hivyo nawaomba wakae mkao wa kula na kutoa support kama ambavyo wamekuwa wakinipa muda wote.”

KAA NAO – Ni wimbo ambao unamzungumzia mtu ambaye yuko kwenye mahusiano lakini mpenzi wake hathamini mapenzi yake kiasi kwamba ina mfanya amwambie ‘Kama mapenzi yangu kwako ni adhabu moyo kaa nao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Walimu wa masomo ya Sayansi wapewa mtego

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema thumbnail 1 summary


Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli amwapisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemwapish thumbnail 1 summary




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemwapish

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabalozi wa Brazil na Kenya nchini waipongeza serikali kuifufua ATCL

Mabalozi wa Brazil na Kenya nchini wameipongeza serikali ya Tanzania kwa mipango na mikakati yake ya thumbnail 1 summary


Mabalozi wa Brazil na Kenya nchini wameipongeza serikali ya Tanzania kwa mipango na mikakati yake ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Mr Nay – Sijiwezi

Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, ameachia video mpya ya single yake ambayo inaitwa ‘Sijiwezi’. Video imeongozwa na Hanscana. thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, ameachia video mpya ya single yake ambayo inaitwa ‘Sijiwezi’. Video imeongozwa na Hanscana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cpwaa aifufua lebo yake ya muziki

Baada ya kimya cha muda mrefu, Cpwaa ameifufua lebo yake ya muziki, Brainstorm Music. Rapper huyo aliiambia 255 kupitia kipindi... thumbnail 1 summary

Baada ya kimya cha muda mrefu, Cpwaa ameifufua lebo yake ya muziki, Brainstorm Music.


Rapper huyo aliiambia 255 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa bado lebo yake inawasimamia Wadananda.

“Tayari nimeshasaini Wadananda, bado kuna vijana wengi wanahitaji msaada, Mungu atusaidie tupate pesa tuweze kuwasaidia. Sometimes sio pesa tu hata muongozo unatosha kwahiyo Mungu aendelee kutupa hekima na busara. Kwa hiyo I ‘ll sign more artist na kuna wengi ambao mpaka sasa hivi sitaki kuwataja majina lakini mchango wangu upo mkubwa,” amesema.

“Walipokwama wanahitaji connections mimi nimewasaidia, wanahitaji media connection nimewasaidia, wanahitaji ideas nimesaidia, yaani vitu vingi kwahiyo bado ni kitu ambacho nitaendela kukifanya mpaka siku naingia kaburini,” ameongeza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rapper huyu mwenye collabo na Diamond asaini na Roc Nation

Jay Z amevua samaki mkubwa kumjumuisha kwenye kapu la Roc Nation. Ni rapper Yo Gotti. thumbnail 1 summary
Jay Z amevua samaki mkubwa kumjumuisha kwenye kapu la Roc Nation. Ni rapper Yo Gotti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tunda Man ataja sababu ya kutoelewana na Babutale

Tunda Man amefunguka sababu ilinayomfanya asielewane na bosi wake wa Tip Top Connection, Babutale. thumbnail 1 summary





Tunda Man amefunguka sababu ilinayomfanya asielewane na bosi wake wa Tip Top Connection, Babutale.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yvonne Chaka Chaka azungumzia collabo yake na Alikiba

Alhamis hii niliandika kwa kina kuhusu collabo ya Alikiba na mwanamuziki mkongwe wa nchini Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka. thumbnail 1 summary

Alhamis hii niliandika kwa kina kuhusu collabo ya Alikiba na mwanamuziki mkongwe wa nchini Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasanii wanaosema sifanyi hip hop hawaniwezi jukwaani – Nay wa Mitego

Jamii ya hip hop nchini Tanzania imegawanyika katika matababa mawili. La kwanza ni la wale wanaosema wanazingatia misingi ya hip hop na wa... thumbnail 1 summary
Jamii ya hip hop nchini Tanzania imegawanyika katika matababa mawili. La kwanza ni la wale wanaosema wanazingatia misingi ya hip hop na wale ambao wanafanya ile wanayoiita hip hop ya biashara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Suarez hatimaye amekubali kujitia kitanzi Barcelona

Mchezaji wa klabu ya Barcelona Luis Suarez hatimaye amekubali kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa soka nchini Uhispania utakaoafikia th... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa klabu ya Barcelona Luis Suarez hatimaye amekubali kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa soka nchini Uhispania utakaoafikia thamani ya Euro milioni 167 ikijumuisha kipengele cha kumuuza kwa timu itakayomuhitaji.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yvonne Chaka Chaka azungumzia collabo yake na Alikiba

Wimbo huo ambao tayari unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa muziki Afrika hususan wa Alikiba, ulirekodiwa jijini Johannesburg. Al... thumbnail 1 summary

Wimbo huo ambao tayari unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa muziki Afrika hususan wa Alikiba, ulirekodiwa jijini Johannesburg. Alikiba tayari ameshaelezea hisia zake baada ya kufanya kazi na muimbaji huyo na kueleza kuwa ni heshima kubwa kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha10: Nyumba aliyowahi kuishi Nelson Mandela kabla na baada ya kutoka jela Afrika Kusini

December 05, 2013, zilitoka taarifa za msiba wa hayati Nelson Mandela Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwili wake ulizikwa t... thumbnail 1 summary


December 05, 2013, zilitoka taarifa za msiba wa hayati Nelson Mandela Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwili wake ulizikwa tarehe kama ya leo December 15 katika kijiji cha Qunu mkoa wa Eastern Cape Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Aliyetobolewa macho alivyofika mahakamani kutoa ushahidi kesi ya Scorpion

Leo December 14 2016 Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeendelea katika mahakama ya w... thumbnail 1 summary
Leo December 14 2016 Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeendelea katika mahakama ya wilaya ya Ilala wakati shauri hilo lilipoletwa kwa ajili ya kusikilizwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Wanachama CUF walivyopigana nje ya Mahakama kuu na Kuumizana

December 14 2016 mahakama kuu ya Tanzania imesikiliza kesi iliyofunguliwa na Bodi ya wadhamini CUF dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (A... thumbnail 1 summary
December 14 2016 mahakama kuu ya Tanzania imesikiliza kesi iliyofunguliwa na Bodi ya wadhamini CUF dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) George Masaju, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, Profesa Ibrahimu Lipumba na wanachama 11 wa chama hicho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tevez: Atoa neno kwa wanao mzushia amestaafu soka

Mchezaji wa zamani wa wavilabu vya Manchester City na Manchester United, Carlos Tevez ambaye saivi ana miaka 32 amefungukia kuhusu uzushi a... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa zamani wa wavilabu vya Manchester City na Manchester United, Carlos Tevez ambaye saivi ana miaka 32 amefungukia kuhusu uzushi ambao ume enea kuwa amestaafu soka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nay wa Mitego ampa tano Young Dee

Rapper Nay wa Mitego amedai kuwa amefurahishwa na kitendo cha Young Dee kumkubali mtoto wake Tamar. Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha C... thumbnail 1 summary
Rapper Nay wa Mitego amedai kuwa amefurahishwa na kitendo cha Young Dee kumkubali mtoto wake Tamar.
Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM Alhamisi hii, Nay

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jokate atumia Snapchat kueleza kwa mafumbo anavyoumizwa na ampendaye!!

Huenda mwanaume ambaye Jokate Mwegelo anampenda kwa dhati ameshindwa kutambua thamani yake kiasi cha kumpa kidonda cha moyo anachokiuguza... thumbnail 1 summary
Huenda mwanaume ambaye Jokate Mwegelo anampenda kwa dhati ameshindwa kutambua thamani yake kiasi cha kumpa kidonda cha moyo anachokiuguza sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chuchu Hansy: Muda ukifika watu watajua kama nina mimba au sina

Muigizaji wa kike filamu Bongo, Chuchu Hansy amefunguka sababu ya kuficha ujauzito wake. Chuchu ameiambia EATV kuwa ameamua kufanya hivyo... thumbnail 1 summary
Muigizaji wa kike filamu Bongo, Chuchu Hansy amefunguka sababu ya kuficha ujauzito wake.
Chuchu ameiambia EATV kuwa ameamua kufanya hivyo kwa kuwa hivyo huwa ni vitu vya mtu binafsi ila muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Akaunti ya Insta ya mtoto wa pili wa Diamond ‘Prince Nillan’ yafikisha followers 56,756

Mtoto wa pili wa Diamond Platnumz, Prince Nillan ameendelea kuwa maarufu katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kufikisha follower... thumbnail 1 summary
Mtoto wa pili wa Diamond Platnumz, Prince Nillan ameendelea kuwa maarufu katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kufikisha followers 56,756 ikiwa ni siku 10 toka mtoto huyo atambulishwe kwenye mtandao huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bow Wow aingia kwenye bifu zito na Dj Funkmaster

Rapper Bow Wow ameingia kwenye bifu zito na Dj maarufu wa New York, Funkmaster Flex. Bifu hilo limeibuka baada ya Dj huyo kumdiss Bow W... thumbnail 1 summary
Rapper Bow Wow ameingia kwenye bifu zito na Dj maarufu wa New York, Funkmaster Flex.
Bifu hilo limeibuka baada ya Dj huyo kumdiss Bow Wow kwenye mtandao wake wa Twitter kwa kumtaja kuwa ni msanii ambaye hajielewi na hafanyi vizuri kutokana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pogba achukizwa na maneno ya uzushi juu yake

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba amekerwa sana kwa taarifa ambazo yeye anadai kuwa ni za upotoshaji ambazo zinaelezea j... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba amekerwa sana kwa taarifa ambazo yeye anadai kuwa ni za upotoshaji ambazo zinaelezea juu ya tabia yake kipindi akiwa na Juventus kabla ya kwenda United.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabadiliko yaleta faraja bandari ya Dar

Mabadiliko yaliyofanywa katika bandari ya Dar es salaam yamewezesha mzigo kuongezeka katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita ukilingani... thumbnail 1 summary
Mabadiliko yaliyofanywa katika bandari ya Dar es salaam yamewezesha mzigo kuongezeka katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita ukilinganisha na kipindi kama hicho kwa mwaka jana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watu 3 wahukumiwa kifungo cha miaka 73 jela kwa kosa la kuua tembo

Watu watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 73 jela kila mmoja na mahakama ya wilaya ya Serengeti kwa kosa la kupatikana na hatia ya kuing... thumbnail 1 summary
Watu watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 73 jela kila mmoja na mahakama ya wilaya ya Serengeti kwa kosa la kupatikana na hatia ya kuingia kwenye hifadhi ya mbuga ya wanyama ya Serengeti na kuua tembo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto wa Rais auawa kwa kupigwa risasi

Mtoto wa kike wa Rais wa zamani nchini Msumbiji, Armando Guebuza, Valentina Guebuza ameripotiwa kupigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu ... thumbnail 1 summary
Mtoto wa kike wa Rais wa zamani nchini Msumbiji, Armando Guebuza, Valentina Guebuza ameripotiwa kupigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Maputo. Mumewe, Zofino Muiuane amekamatwa na polisi kufuatia tukio hilo lililofanyika Jumatano.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Joh Makini asema ndani ya mwaka 2016 anajivunia kuutangaza vizuri muziki wa hip hop kimataifa

Msanii wa hip hop wa Kundi la Weusi, Joh Makini amefunguka na kuzungumzia mafanikio ya muziki wake ndani ya mwaka 2016 ambao unaenda ukingo... thumbnail 1 summary
Msanii wa hip hop wa Kundi la Weusi, Joh Makini amefunguka na kuzungumzia mafanikio ya muziki wake ndani ya mwaka 2016 ambao unaenda ukingoni kumalizika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

John Legend amchana bosi wake Kanye West

Kitendo cha Kanye West kukutana na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, kimewakera watu wengi, wakiwemo watu wake wa karibu. thumbnail 1 summary
Kitendo cha Kanye West kukutana na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, kimewakera watu wengi, wakiwemo watu wake wa karibu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lowassa awataka wanachama wa Chadema kuwa na umoja

Lowassa ameandika maneno hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook. “Jambo kuu na la msingi ambalo tunatakiwa kuwa nalo kwa sasa katika c... thumbnail 1 summary
Lowassa ameandika maneno hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook.

“Jambo kuu na la msingi ambalo tunatakiwa kuwa nalo kwa sasa katika chama chetu ni umoja na mshikamano kati yetu. Umuhimu wa umoja na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasanii wanaosema sifanyi hip hop hawaniwezi jukwaani – Nay wa Mitego

Jamii ya hip hop nchini Tanzania imegawanyika katika matababa mawili. La kwanza ni la wale wanaosema wanazingatia misingi ya hip hop na w... thumbnail 1 summary
Jamii ya hip hop nchini Tanzania imegawanyika katika matababa mawili. La kwanza ni la wale wanaosema wanazingatia misingi ya hip hop na wale ambao wanafanya ile wanayoiita hip hop ya biashara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: