December 16, 2016

VIDEO: Aliyetobolewa macho alivyofika mahakamani kutoa ushahidi kesi ya Scorpion

Leo December 14 2016 Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeendelea katika mahakama ya w... thumbnail 1 summary
Leo December 14 2016 Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeendelea katika mahakama ya wilaya ya Ilala wakati shauri hilo lilipoletwa kwa ajili ya kusikilizwa.

Kesi hiyo ina mashahidi sita na mpaka sasa ameshasikilizwa mmoja ambaye ni shahidi namba moja Said Mrisho ‘aliyetobolewa macho’ ambaye ametoa ushahidi wake mahakamani hapo akielezea tukio alilofanyiwa.

Baada ya kusikiliza kesi, mahakama hiyo imeahirisha shauri hilo hadi December 28 mwaka huu ambapo itaendelea na shahidi wa pili. Video:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments