June 01, 2016

BAADA YA KUACHANA NA SHILOLE , NUHU MZIWANDA AMUWEKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA AKIWA NAE KITANDANI ..MTAZAME HAPA

Baada ya kutengana na Shilole, Mbongo fleva, Nuh Mziwanda alikuwa muoga kidogo kuonyesha jiko jipya alilovuta sababu kila aliyekuwa naye ... thumbnail 1 summary
Baada ya kutengana na Shilole, Mbongo fleva, Nuh Mziwanda alikuwa muoga kidogo kuonyesha jiko jipya alilovuta sababu kila aliyekuwa naye alilinganishwa na Shilole.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabondia wa kulipwa ruksa kushiriki kwenye Olimpiki mwaka huu

Mabondia wa kulipwa wameruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Olimpiki mwaka huu jijini Rio de Janeiro, Brazil baada ya chama cha ndondi ... thumbnail 1 summary
Mabondia wa kulipwa wameruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Olimpiki mwaka huu jijini Rio de Janeiro, Brazil baada ya chama cha ndondi cha kimataifa, AIBA kukubali kubadilika kwa katiba, Jumatano hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young Killer adai Khaligraph yupo real, ni baada ya kumtaja kama rapper wa Bongo anayependa kumshirikisha

Baada ya Khaligraph rapper kutoka Kenya kutoa ya moyoni kuwa Young Killer ndio rapper a nayevutiwa kufanya naye kazi kwa muda toka alivyom... thumbnail 1 summary
Baada ya Khaligraph rapper kutoka Kenya kutoa ya moyoni kuwa Young Killer ndio rapper anayevutiwa kufanya naye kazi kwa muda toka alivyomfahamu, hitmaker huyo wa Dear Gambe amedai amefarijika sana baada ya kusikia hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIFU LA LULU MICHAEL NA HAMISA MOBETO MTANDAONI LASABABISHA MANGE KIMAMBI KUMLIPUA MAJIZO KUWA NI MUUZA MADAWA YA KULEVYA

Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mo... thumbnail 1 summary
Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sioni tatizo la kuvaa nguo fupi kwenye filamu – Rose Ndauka

Msanii wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amesema haoni kama kuna tatizo mtu kuvaa nguo fupi kwenye filamu kama mguu unamruhusu. Alikuwa akijib... thumbnail 1 summary
Msanii wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amesema haoni kama kuna tatizo mtu kuvaa nguo fupi kwenye filamu kama mguu unamruhusu.
Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Bibi Hindu hivi karibuni kuhusu wasanii wa bongo movie kuvaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutumbuiza zaidi ya masaa matatu kwangu ni kama zoezi tu – Ruby

Diva mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Ruby amesema yeye kuimba kwa zaidi ya masaa matatu jukwaani kwake ni kama zoezi tu. Akiongea k... thumbnail 1 summary
Diva mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Ruby amesema yeye kuimba kwa zaidi ya masaa matatu jukwaani kwake ni kama zoezi tu.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ruby alisema,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bei za mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa zaanza kutumika leo…..

June 1, 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya taa na mafuta ya Petrol, Diesel... thumbnail 1 summary
June 1, 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya taa na mafuta ya Petrol, Diesel katika masoko yote ya jumla na rejareja zimeanza kutumika leo.
Mkoa ambao unaonekana kuwa na bei nafuu kati ya hizi ni Tanga mjini ambapo bei ya kikomo ni Sh.1795/= kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Watanzania 400 wamefungwa nje ya nchi kwa kosa la kusafirisha Madawa ya kulevya

Serikali imesema watanzania 408 wanatumikia vifungo nje ya nchi na wengine kukabiliwa na adhabu ya kifo baada ya kusafirisha dawa za kulevy... thumbnail 1 summary
Serikali imesema watanzania 408 wanatumikia vifungo nje ya nchi na wengine kukabiliwa na adhabu ya kifo baada ya kusafirisha dawa za kulevya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vita ya maneno yaanza kati ya Chris Brown na mzazi mwenzake

Chris Brown na mzazi mwenzake, Nia Guzman wameanza kutupiana maneno mtandaoni. Wiki iliyopita Chris Brown alifanikiwa kushinda kesi ya ku... thumbnail 1 summary
Chris Brown na mzazi mwenzake, Nia Guzman wameanza kutupiana maneno mtandaoni.
Wiki iliyopita Chris Brown alifanikiwa kushinda kesi ya kumlea mwanae, Royalty iliyofunguliwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto wa Blac Chyna na Rob Kardashian atarajia kuingiza dola milioni 10

Blac Chyna na Rob Kardashian watarajiwa kuingiza mkwanja wa dola milioni 10 ili kuiweka hadharani picha ya kwanza ya mtoto wao atakapozaliw... thumbnail 1 summary
Blac Chyna na Rob Kardashian watarajiwa kuingiza mkwanja wa dola milioni 10 ili kuiweka hadharani picha ya kwanza ya mtoto wao atakapozaliwa.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily News, thamani ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siri ya mpenzi mpya wa Drake yaanza kufahamika

Staa wa muziki wa Marekani, Drake ameanza kuhusishwa kuwa na mahusiano na mwanamitindo, Hailey Baldwin (19). Usiku wa Jumanne, Drake alio... thumbnail 1 summary
Staa wa muziki wa Marekani, Drake ameanza kuhusishwa kuwa na mahusiano na mwanamitindo, Hailey Baldwin (19).
Usiku wa Jumanne, Drake alionekana kwenye mitaa ya Los Angeles akiwa ameambatana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WCB waikana ngoma ya Cyrill anayodai kamshirikisha Raymond

Cyrill Kamikaze ameachia ngoma mpya anayodai amemshirikisha msanii wa WCB, Raymond. Hata hivyo WCB imedai kutoutambua wimbo huo. Meneja w... thumbnail 1 summary
Cyrill Kamikaze ameachia ngoma mpya anayodai amemshirikisha msanii wa WCB, Raymond. Hata hivyo WCB imedai kutoutambua wimbo huo.
Meneja wa Diamond na mmoja wa wakurugenzi wa bodi ya label hiyo, Sallam Sharaff lakini amedai kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Timu ya taifa ya Misri kuwasili leo

Timu ya taifa ya Misri, Pharaos, inatarajiwa kuwasili nchini leo Jumatano kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Af... thumbnail 1 summary
Timu ya taifa ya Misri, Pharaos, inatarajiwa kuwasili nchini leo Jumatano kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon 2017) dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mzee Majuto akanusha kustaafu kuigiza

Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatano hii, Mzee Majuto amedai sio kweli kwamba amestaafu kuigiza ila kuna baadh... thumbnail 1 summary


Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatano hii, Mzee Majuto amedai sio kweli kwamba amestaafu kuigiza ila kuna baadhi ya filamu ambazo hatafanya tena.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rashford aitwa kikiso cha wachezaji 23 cha Roy Hodgson kwa ajili ya michuano ya Euro 2016

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford ametajwa katika kikosi cha wachezaji 23 cha Roy Hodgson kwa ajili ya michuano ya... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford ametajwa katika kikosi cha wachezaji 23 cha Roy Hodgson kwa ajili ya michuano ya Euro 2016 Itakayofanyika nchini Ufaransa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BET wampa shavu mtoto wa Diamond, Tiffah

Nina miaka zaidi ya 10 kwenye tasnia ya habari lakini sijawahi kupata umaarufu kama alioupata mtoto wa Diamond Platnumz, Tiffah. Wanasema... thumbnail 1 summary
Nina miaka zaidi ya 10 kwenye tasnia ya habari lakini sijawahi kupata umaarufu kama alioupata mtoto wa Diamond Platnumz, Tiffah. Wanasema mtoto wa nyoka naye ni nyoka, hivyo kuwa binti wa mwanamuziki maarufu Afrika kama Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Mambo mengine manne ya Mbunge wa ‘sanamu ya Diamond’ bungeni

Baada ya May 31 2016 Wizara ya mambo ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na... thumbnail 1 summary
Baada ya May 31 2016 Wizara ya mambo ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi ya kiasi cha shilingi 151,396,775,000.00 kwa mwaka wa fedha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waliomtukana Rais uturuki wafikia 2000, Mrembo wa taifa kahukumiwa kwenda jela

Hata Tanzania imeshuhudia baadhi ya watu wakipelekwa Mahakamani kwa kumtusi Rais au kuandika habari za uongo kuhusu viongozi wengine wa n... thumbnail 1 summary
Hata Tanzania imeshuhudia baadhi ya watu wakipelekwa Mahakamani kwa kumtusi Rais au kuandika habari za uongo kuhusu viongozi wengine wa nchi na hii ni baada ya sheria mpya ya makosa ya mitandao kuanza kufanya kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 1, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 1 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 1 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diva azungumzia mabusu yake na GK yaliyozua mjadala mtandaoni

Diva the Bawse anasema hataki kusikia kitu kinachoitwa ‘mila na desturi’ za Mtanzania hasa pale anapofanya kitu kinachompa furaha. Wiki... thumbnail 1 summary
Diva the Bawse anasema hataki kusikia kitu kinachoitwa ‘mila na desturi’ za Mtanzania hasa pale anapofanya kitu kinachompa furaha.
Wiki hii mtangazaji huyo wa Clouds FM amesababisha mjadala mkubwa kwenye Instagram baada ya kupost video

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fid Q alia na wasanii wa Hip Hop wanaoshindwa kuuendesha muziki wao kibiashara

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amesema chanzo cha kuanguka kwa muziki wa Hip Hop kunasababishwa na wasanii wenyewe. ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amesema chanzo cha kuanguka kwa muziki wa Hip Hop kunasababishwa na wasanii wenyewe.
Akiongea katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Jumatatu hii, Fid Q amesema wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nyumba ya Michael Jackson yatangazwa kuuzwa

Hatimaye nyumba ya aliyekuwa staa wa muziki wa Pop duniani, Michael Jackson imetangaza kuuzwa. Nyumba hiyo iliyopo eneo la Nevada huko La... thumbnail 1 summary
Hatimaye nyumba ya aliyekuwa staa wa muziki wa Pop duniani, Michael Jackson imetangaza kuuzwa.
Nyumba hiyo iliyopo eneo la Nevada huko Las Vegas imetangazwa kuuzwa na familia ya marehemu kwa dau la dola milioni 9.5. Aliyekuwa meneja wa staa huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zlatan Ibrahimovic huenda akarudi kwao kumaliza soka lake

Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Sweden, Zlatan Ibrahimovic matumani ya kucheza soka nchini England msimu ujao, yameingia dosari... thumbnail 1 summary
Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Sweden, Zlatan Ibrahimovic matumani ya kucheza soka nchini England msimu ujao, yameingia dosari kufuatia kauli aliyoitoa usiku wa kuamkia hii leo alipo kuwa akiongea na waandishi wa habari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilio cha Maisha Magumu: Je, Tulikuwa Tunategemea Vipato Haramu?

Kuna kilio cha maisha magumu kila kona. Utasikia wakina mama,wafanyakazi, vijana hata wazee wanadai kipindi hiki cha awamu ya tano pesa ime... thumbnail 1 summary
Kuna kilio cha maisha magumu kila kona. Utasikia wakina mama,wafanyakazi, vijana hata wazee wanadai kipindi hiki cha awamu ya tano pesa imekuwa ngumu sana!.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: