April 08, 2014

WEMA KUMSINDIKIZA MUMEWE DIAMOND MAREKANI,UNAJUA KWANINI DIAMOND ANAONGOZANA NA MPENZIWE?? SOMA HAPA ZAID...

  Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Mrs Diamond Wema Sepetu amedaiwa kujiandaa na safari ya kuelekea Maarekani thumbnail 1 summary
 

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Mrs Diamond Wema Sepetu amedaiwa kujiandaa na safari ya kuelekea Maarekani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII DUDU BAYA AMKATA SIKIO MAMA YAKE , KUJUA CHANZO TAFADHALI SOMA ZAID HAPA

  Kupitia U Heard ya leo na Gossip Cop, story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamloga ndio maa... thumbnail 1 summary
 
Kupitia U Heard ya leo na Gossip Cop, story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamloga ndio maana hafanyi vizuri katika kazi zake za mziki.


Kwa mujibu wa mdogo wake kabisa (baada ya kuzaliwa yeye) amethibitisha kutokeakwa tukio hilo"yah kafanya hivyo,  ni jambo la kusikitisha unajua ni hivyo, lakini sasa ndio hivyo kashafanya, kaenda kule kwa mama mkubwa kamkata skio, sababu haijulikani ni kwasababu gani kaenda kufanya hivyo, hata kama alikuwa na sababu halikuwa jambo la busara kumkata skio"




"nilienda nikamuuliza nani amemkata skio akasema ni mheshimiwa, akadai kwamba alikuwa anamwambia anamloga sijui nini, mambo ambayo hayana hatiaya msingi kwa ujumla, kwasababu hata ukiangalia yeye ni motto wala haumwi chochote wala wala mwanae hawaumwi ni mzima sasa amemroga nini........"

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO YA MR FLAVOUR WIMBO UNAITWA "BLACK IS BEAUTIFUL"

Mr  Flavour aliwahi kufika Tanzania kwa ajili ya show na video yake iliyopita alifanya na mshindi wa big brother Dillish Mathew. thumbnail 1 summary
flavpr
Mr  Flavour aliwahi kufika Tanzania kwa ajili ya show na video yake iliyopita alifanya na mshindi wa big brother Dillish Mathew.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NANI ATAKUWA BABA WA MTOTO?? RIHANA SASA YASEMEKANA ANA MIMBA, TAARIFA RASMI NA PICHA ZIASHIRIA ANA TUMBO TAZAMA HAPA

  Kwa mujibu wa   MediaTakeOut ,   Walipata   taarifa kutoka kwa watu   karibu sana na   Rihanna   na wao zinazokusanywa   Baadhi ya   thumbnail 1 summary

riri-tea 

Kwa mujibu wa MediaTakeOut, Walipata taarifa kutoka kwa watu karibu sana na Rihanna na waozinazokusanywa Baadhi ya 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI ATUMBUKIA KWENYE SHIMO LA MAJI NA KUFARIKI DUNIA HUKO MBEYA

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Nandanga wa kidato cha kwanza Lukas Msukwa amefariki dunia baada ya kutumbukia katika shimo... thumbnail 1 summary
Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Nandanga wa kidato cha kwanza Lukas Msukwa amefariki dunia baada ya kutumbukia katika shimo la Maji lililochimbwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA BADO UNATUMIA WINDOW XP KWENYE COMPUTER YAKO HII HABARI INAKUHUSU

Are you still using Windows XP as your operating system? From today Microsoft will no longer offer support their operating system Windo... thumbnail 1 summary

Are you still using Windows XP as your operating system? From today Microsoft will no longer offer support their operating system Windows XP.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJIA RAHISI ZA KUKUTENGENEZEA UTAJIRI

Warren Buffett Akiwa na mali yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 62, Warren Buffett ndiye binadamu tajiri kuliko wote duniani. Mwak... thumbnail 1 summary

Warren Buffett Akiwa na mali yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 62, Warren Buffett ndiye binadamu tajiri kuliko wote duniani. Mwaka 1962 wakati akianza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DULLY SYKES" DIAMOND HAENDI KWA WAGAGA ..HII NDIO SIRI YA MAFANIKIO YAKE"

Jina la Diamond Platinumz mtoto wa Tandale mwenye historia ya kuishi maisha ya ukata, sasa hivi ni moja kati ya majina makubwa kimuziki b... thumbnail 1 summary
Jina la Diamond Platinumz mtoto wa Tandale mwenye historia ya kuishi maisha ya ukata, sasa hivi ni moja kati ya majina makubwa kimuziki barani Afrika huku akishiriki kwenye project kubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZUNGU KICHAA AMPONDA ALI KIBA KWA KUDANGANYA ANGELIPWA MIL 100 KWA SHOW MOJA UJERUMANI

Kati ya vitu ambavyo husaidia kuongeza thamani ya msanii katika macho ya mashabiki ni pamoja na watu kuona akipata dili kubwa na kulipw... thumbnail 1 summary

Kati ya vitu ambavyo husaidia kuongeza thamani ya msanii katika macho ya mashabiki ni pamoja na watu kuona akipata dili kubwa na kulipwa pesa nyingi katika shows.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAJI AKATAA MAOMBI YA KUFUTA KESI INAYOMKABILI CHRISS BROWN

Kesi ya Chris Brown itaendelea kuunguruma baada ya jaji Patricia Wynn wa Washington kukataa maombi ya wanasheria wa mwimbaji huyo yaliyom... thumbnail 1 summary

Kesi ya Chris Brown itaendelea kuunguruma baada ya jaji Patricia Wynn wa Washington kukataa maombi ya wanasheria wa mwimbaji huyo yaliyomtaka amfutie kesi inayomkabiri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SINTA SAHAU SIKU NILIYOLALA NA MKE WA MTU

Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu. thumbnail 1 summary

Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI MR NICE ASIMULIA:NILIWAHI KUWA ANA ZAIDI YA MILIONI 600 NA SASA SINA HATA SENTI TANO!

Hivi karibuni baada ya kuchezea kichapo kisa kikidaiwa kuwa mke wa mtu na hapo alipigwa chupa ya bia iliyomchana chana thumbnail 1 summary

Hivi karibuni baada ya kuchezea kichapo kisa kikidaiwa kuwa mke wa mtu nahapo alipigwa chupa ya bia iliyomchana chana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO HII UONE JINSI WANAUME WALIVYO MGOMBANIA HUKO MWANZA WAKITAKA KUCHEZA NAE MUZIKI

Elizabeth Michael a.k.a Lulu hivi majuz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanaume kumgombania na kutaka kucheza nae mziki... thumbnail 1 summary


Elizabeth Michael a.k.a Lulu hivi majuz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanaume kumgombania na kutaka kucheza nae mziki huko mwanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOVIE YA SIWEMA WA NEY WA MITEGO BADO YAENDELEA INSTAGRAM...DOUGIE MASTA13 AMPA ZINGINE ZA USO

Huko Instagram kuna Jamaa Anajiita Dougiemasta13 sijui Siwema ambae ni mchumba wa Ney wa Mitego kamkosea nini Maana madogo thumbnail 1 summary

Huko Instagram kuna Jamaa Anajiita Dougiemasta13 sijui Siwema ambae ni mchumba wa Ney wa Mitego kamkosea nini Maana madogo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA MATAJIRI WACHUNGUZWA KISA MADAWA YAKULEVYA

KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mast... thumbnail 1 summary

KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mastaa’ Bongo ambao wameibuka na utajiri wa ghafla, Uwazi limeambiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJEMBA YAMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE

NI AIBU!Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Iddi Mgosi anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Wazo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma thumbnail 1 summary

NI AIBU!Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Iddi Mgosi anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Wazo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU NDIO UJIO MPYA WA RAY C...

Subira ya mashabiki wa Ray C inaelekea ukingoni huku hamu ya kusikia sauti yake tena ikiongezeka kila anapo-tease ujio wake. thumbnail 1 summary

Ray C kuonekana kwenye TV na Cover ya wimbo mpya hivi punde, apiga picha za ujio wake

Subira ya mashabiki wa Ray C inaelekea ukingoni huku hamu ya kusikia sauti yake tena ikiongezeka kila anapo-tease ujio wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, MAPYA YAIBUKA MASANJA, DIAMOND, JOTI, KAJALA, DIDA WA MCHOPSI NA WATU WA DINI WATAJWA KWENYE SAKATA HILI..!!

KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa thumbnail 1 summary

KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IZZO BUSINESS ALIGOMA KUMPIGIA KAMPENI RIDHIWANI JAPO ALIOMBWA KUFANYA HIVYO

Jumapili iliyopita (April 6), Ridhiwani Kikwete alitangazwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kiti cha ubungo wa jimbo thumbnail 1 summary
Jumapili iliyopita (April 6), Ridhiwani Kikwete alitangazwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kiti cha ubungo wa jimbo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WANGU HAJAWAHI NIAMBIA NIMECHOKA..JE NI MWAMINIFU?

Nimekuwa nikimpa dozi za uhakika,nimekuwa nikimpiga romance za nguvu. namfikisha hata mara nne lakini haniambii kama kachoka thumbnail 1 summary
Nimekuwa nikimpa dozi za uhakika,nimekuwa nikimpiga romance za nguvu. namfikisha hata mara nne lakini haniambii kama kachoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AY KUKIPELEKA KIPINDI CHA TV MKASI SHOW KENYA

Mkasi ni kipindi cha TV kilichoanzishwa na msanii na mfanyabiashara Ambwene Yessaya aka AY, kipindi kilichojipatia umaarufu mkubwa nchini... thumbnail 1 summary
Mkasi ni kipindi cha TV kilichoanzishwa na msanii na mfanyabiashara Ambwene Yessaya aka AY, kipindi kilichojipatia umaarufu mkubwa nchini Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBINU MPYA YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA YANGUNDULIKA..WAJAWAZITO WATUMIKA

Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya ..sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya thumbnail 1 summary
Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya ..sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REDIO MPYA DAR 93.7 YAWANYIMA WATU USINGIZI..JE NI KWELI NI YA LADY JAY DEE?

Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika thumbnail 1 summary
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASANII/WATU MAARUFU BONGO AMBAO WAPENZI WAO HAWAJULIKANI

1. Martin Kadinda Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. thumbnail 1 summary
1. Martin Kadinda
Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA JINSI SHOW ROOM YA MAGARI KARIBU NA MLIMANI CITY ILIVYOUNGUA MOTO

Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto thumbnail 1 summary
Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: